nahitaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nahitaji LOGO ya Biashara, Motion na Logo ya kawaida Wakufunzi wa After Effect naomba mnisaidie

    Biashara yangu ina Jina lakini haina Logo nimekua nikiwaza kuhusu hili muda mrefu lakini sikua nalipa kipaumbele sana ila sasa naona linaelekea kuni cost huko mbeleni. Sina pesa wakuu naommba yeyote ataechukua MUDA wake kunipa design nzuri ya LOGO zile za motion kama maandishi ya ITV...
  2. JamiiForums Tanzania Nahitaji wahudumu mabinti warembo watatu(3) wenye uzoefu wa utengenezaji wa fresh juice aina zote

    Habari wanajamii... Natoa fursa kwa mabinti warembo watatu(3) wenye uzoefu wa utengenezaji wa fresh juice aina zote kwa kiwango cha juu na wanaozingatia usafi sana. Eneo ni Bar maarufu iliyopo Dar Es Salaam, maeneo ya Tabata inafahamika kwa jina BARACUDA BAR & LOUNGE. Malipo ya kazi nalipa...
  3. JamiiForums Tanzania Kwa msukumo wa POMBE kajikuta kamropokea mkewe kuwa anachepuka na Rafiki wa mkewe, mkewe kanitafuta, Shemu nahitaji kesho unikule kisawasawa!!

    Huyu Jamaa ni Jamaangu , ni Mpiga pombe sana. Sasa ana Mke na watoto. Mke wake ana rafiki yake ( shosti) kindaki ndaki wa kusindikizana mpaka saluni. Kumbe jamaa alimzunguka mkewe akawa anakula Shost wa mkewe ( Shem). Sasa Jamaa Jana alikua kalewa pombe, wamegombana na mkewe, mwisho jamaa...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mchungaji mwenye upako/ miujiza ya kutosha mahali nitaona matokeo

    Nahitaji mtu mwenye sifa tajwa,Kwa ajili ya kupata ufumbuzi wa changamoto zangu. Ni vizuri asiwe mwamposa Wala kuhani musa Wala manabii uchwara. Natanguliza shukrani zangu za dhati
  5. JamiiForums Tanzania Nahitaji Dereva wa Pulling na Semi-trailer

    Habari wakuu, Nina vacant position za madereva wa Pulling na Semi-Trailer. Gari zinafanya local trips na base ya kampuni ni Dar es salaam. Kama wewe ni dereva au unamfahamu dereva mzuri, please ni PM CV yake na number yake ya simu. Kigezo kingine cha kupewa kazi ni kuwa na mdhamini...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kupigwa brashi kwenye Microsoft Word, Excel na Email

    Ndugu wanajamii nimepata mchongo la saba mimi ambao unahitaji niwe vizuri kwenye hayo niliyoyataja hapo.sina komputa ya kusema nitajifunzia ndo maana natafuta mtu ambaye anadesktop anipige msasa kiasi. Nipo Mwanza na siku nayoweza kuwa free ni jumapili. Malipo tutakubaliana. Karibu PM.
  7. JamiiForums Tanzania Nahitaji kuangalia Fainal ya UEFA Champions nyumbani kwangu kupitia Laptop.

    Wakuu naomba kujuzwa jinsi nitakavyo faidika kuangalia Uefa nikiwa kitandani na Laptop yangu. Msaada pliz
  8. JamiiForums Tanzania Nahitaji bag moja la safari kama haya, huko Town/Kariakoo yanauzwa bei gani?

    Wadau, hizi bag nazikubali sana.. naona zitanitoa sana kwenye safari zangu za pale na kule.. So nahitaji kujua begi zake wakuu..
  9. JamiiForums Tanzania Nahitaji developers watatu (3), mshahara laki 4 kwa mwezi

    Heshima kwenu wakuu! Nahitaji developers watatu (3) wasio na ajira rasmi, kuna kazi watatakiwa kuifanya na baaada ya hapo kutakuwa na ajira rasmi kwao kwaajili ya kukiendesha walichokiunda, ajira rasmi itakuwepo endapo watafanikiwa kukamilisha kazi hiyo ya awali. Wanatakiwa devs 3 wenye ujuzi...
  10. JamiiForums Tanzania Nahitaji mke wakuu

    Hello getlemen and ladies i'm coming ti you once again for another request but this mostly for only mind girl mostly beutiful girl but even there man or boys who love mteremko it si fine na problem Nakuja kwenu nahitaji mke wowote yuke imradi mke even malaya tutajuana mbele kwa mbele haina...
  11. JamiiForums Tanzania Nahitaji kupungua Mwili/ Kilo. Naumia sana

    Khabari zenu, Nimekuwa mtu wa kujisikia vibaya sana nikiuangalia mwili wangu. Mimi ni kijana wa miaka 28, nina kilo 93. Nimenenepa sana. Nina kilo nisizozipenda, nimetumia mbinu ya mazoezi Ila nahisi kushindwa cuz ratiba za kujitafutia ridhiki zinabana. Natamani Nipungue nifikie hata kilo 75...
  12. JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanamke

    Habar Kama mada ilokuepo juu nahitaji mwanamke wa kuchat nae
  13. D

    JamiiForums Tanzania Msaada nahitaji kusoma programming language short course

    Hello habari ya saizi wana jamii wenzangu naomba msaada nahitaji kusoma programming short course je kama kuna chuo chochote kinacho fundisha au nipeni namna nayoweza kusoma ila isiwe online
  14. JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada. Nadhani nina tatizo, hii si hali ya kawaida

    Ni miaka mingi sana kuna jambo nikiona mwanamke anafanya nachanganyikiwa kabisa. Na huwa napenda sana linanisisimua sana mwili. Napenda sana kumwona mwanamke anakojoa. Yaani kama ni mpenzi wangu nitataka achuchumae akoje nimwone huku nashika shika mkojo wake. Halafu nimnawishe. Au kama...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Nina 1m nahitaji sim kati ya iPhone au Samsung

    Mambo vipi wanajamvi. Naombeni ushauri wenu wataalam wa sim za mkonini. Kwa bajeti hiyo sim ipi itanifaa?
  16. T

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kununua gps (nipo mwanza)

    Habari wadau. Nahitaji kununua GPS, kwaajil ya kunisaidia kuchukua coordinates kwenye maswala ya uchimbaji (mining). Budget yangu ni kuanzia Tshs 400,000/= mpaka 900,000/= Kama nikapata contacts za dukani kwa Mwanza au Geita nitashukuru zaidi
  17. JamiiForums Tanzania Nimeshikana na mgonjwa wa hepatitis sas nifanye?

    Nimeshikana na mgonjwa wa hepatitis sasa nifanye nini wakuu sielewi sehemu ya kuanza nahitaji muongozo
  18. JamiiForums Tanzania Ni kwanini ukidownload MB 10, Matumizi ya Data yanaonyesha kifaa kimetumia MB 12.

    Kwa simu tofauti na laptops nimefanya hii ishu na nimekosa jibu, hata Nikitumia router au modem nayo ni hivyo hivyo. Nilidhani ni janja janja za mitandao labda kuna vitu vyao ila nishajaribu line 4 tofauti, ni hivyo hivyo. Nadownload file la MB 10 lakini Data usage inaonyesha MB 12,,, Hii ni...
  19. JamiiForums Tanzania Msaada wa ramani ya nyumba

    Sina uzoefu wowote katika ujenzi naomba msada wenu. Nahitaji ramani ya nyumba iwe na vyumba vitatu ikiwemo masta moja jiko na dining pia kama ntapata fundi mzuri itapendeza, nawasilisha. Location yangu ni DSM Mbezi Mwisho.
  20. L

    JamiiForums Tanzania Nahitaji vyuo vinavyotoa courses za certificates Kwa ada nafuu

    Wakuu nisaidieni hili
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…