Kwa msukumo wa POMBE kajikuta kamropokea mkewe kuwa anachepuka na Rafiki wa mkewe, mkewe kanitafuta, Shemu nahitaji kesho unikule kisawasawa!!

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Feb 6, 2017
24,054
71,337
Huyu Jamaa ni Jamaangu , ni Mpiga pombe sana. Sasa ana Mke na watoto.

Mke wake ana rafiki yake ( shosti) kindaki ndaki wa kusindikizana mpaka saluni.

Kumbe jamaa alimzunguka mkewe akawa anakula Shost wa mkewe ( Shem).

Sasa Jamaa Jana alikua kalewa pombe, wamegombana na mkewe, mwisho jamaa akalopoka "Wee ukininyima K, Rafiki yako Kila siku ananipa nikitaka ".

Sasa Mkewe kalipuka, kalibeba , usiku huohuo Mke akamtafuta Rafiki yake , kumgombeza kwann anatembea na Mumewe !.

Mke wa Jamaa katika kutafuta Amani, akaishia kunitafuta, nikamshauri shaurii hapo weeeee nikimsihi asipanick, ni pombe tuuu, lakini mwanamke kakomaa, "Shemu mlevi na mwenye hasira ndio watu wanaosema kweli".

Leo Shem wangu ananitafutaa, uko wapi? Nikajibuwa Niko job, Basi nakuja.

Akaja mida ya saa 10, sikuwa na wagonjwa, hivyo tukaanza piga Stori, Demu akaanza kuliaa weee!!.

Nikampanga panga kajifuta machozi akasepaa.

Mida ya saa Moja ananitumia meseji

"Shem nahitaji kesho unikule kisawasawa mpaka niwe na Furaha ".

Kisasi Cha Mwanamke, Huwa ni Mpaka aliwe tu!!.
 
Kula pah! pah! Hilo mwanawane.

20230611_171407.jpg
 
Huyo shem ako ana waya kaa mbali naye ujiokoe nafsi yako
Mkuu huyu Namtafuna, ni wale Wanawake Si mrefu Wala mfupi. Majinya kunde, mwili nyoronyoro sanaaaa, kajaaa mahips na mikalio, halafu macho Sasa na lips zake!!.


Vipimo ninavyo, Kondom zipo.
 
Huyo shem ako ana waya kaa mbali naye ujiokoe nafsi yako
Mkuu Huyu Namtafuna, ni wale Wanawake Si mrefu Wala mfupi. Majinya kunde, mwili nyoronyoro sanaaaa, kajaaa mahips na mikalio ,alafu macho Sasa na lips zake!!.

Vipimo ninavyo, Kondom zipo.
 
Mkuu Huyu Namtafuna, ni wale Wanawake Si mrefu Wala mfupi. Majinya kunde, mwili nyoronyoro sanaaaa, kajaaa mahips na mikalio ,alafu macho Sasa na lips zake!!.


Vipimo ninavyo, Kondom zipo.
Yaani unazini huku umevaa ndomu?

Si heri upige nyeto tu kwako 😂😂

Mjinga kabisa wewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom