nahitaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nahitaji engine ya pikpiki 125cc

    Huku tumechanganyika acha tutumiane kama fursa Nahitaji engine ya pikipiki yenye uwezo wa cc 125, kipaumbele ni aina za pikipiki hizi Sinoray Fekon Boxer Engine iwe mpya haija guswa ndan offer 2500,00/ 350,000/- Isiwe na vipengele
  2. S

    Nahitaji kuanzisha biashara ya dagaa waliokaangwa kutoka Bukoba - Dar, natafuta soko na partnership wa kuuza hii bidhaa yangu

    Habari ndugu, kama kichwa Cha tangazo kilivyoandikwa nahitaji kuanzisha biashara ya kuuza dagaa waliokaangwa kutoka Bukoba -Dar hivyo nahitaji watu wa kushirikiana nao kupata soko, dagaa ni rejareja kwenye packet au kwa jumla pia wanapatikana kuanzia ndoo ya lita 10 mpk 20, hivyo kwa ambae yupo...
  3. Nahitaji eneo la Ekari 20 Bagamoyo

    Liwe sio mbali na Bagamoyo mjini kwasababu litajengwa hospital. Lenye hati litapewa kipaumbele
  4. M

    Anahitajika Youtube content creator

    Wakuu habar zenu Natafuta Mtu anaweza kutengeza content za youtube Aina ya content ni zile zinazohusu Simuliz mbalimbali za kimaisha Simulizi ziwe interesting na za kusisimua Sharti uyo mtu awe mkoa wa mbeya
  5. M

    Nahitaji fundi wa kushona nguo

    Habari wadau. Nina kazi ya kushona uniform za wanafunzi. Cherehani ninazo ila nahitaji mafundi wenye uwezo wa kushona. Dondoo za kazi ni zifuatazo; 1. Uniform ni za kike na kiume. Za Kike ni Gauni au Blauzi (Top) na Suruali na za kiume ni Suruali tu 2. Kazi inafanyika KIMARA DSM 3. Nahitaji...
  6. Nahitaji pool table

    Wakuu poleni na majukumu, moja kwa moja kwenye point, niko Mkuranga nahitaji Pool table, mwenye ufahamu ni wapi naweza pata na gharama zake nitashukuru mno. Nawasilisha nikiambatanisha na shukran.
  7. Nahitaji Smart kitochi kiwe cha voda au all networks

    Nashida na haka kasimu nipo dar mwenye nacho au anaeuza tukutane budget yangu ndogo dondosha offer PM au hapa nitakufata PM
  8. Nahitaji Kontena ft 20 -USED

    Salaam, Nahitaji kontena la futi 20 lililotumika liwe Mkoa wa Dsm. Liwe katika hali nzuri (halivuji, halina kutu) Mwenye nalo njoo DM. =65&hash=735915e41f15bfcf354a0b66ea806df8']Attach files
  9. B

    Nahitaji Kidney Beans kwa wingi

    Habari za asubuhi wakuu. Nahitaji Kidney Beans kwa wingi. Mfanyabiashara au mkulima mwenye kidney beans ile kubwa anicheki tufanye biashara. Iwe safi na nene. Kwa kuanzia inahitajika tani 60, ila yakiwa bora basi tunaendelea kufanya biashara kwani tunahitaji zaidi ya tani 200. Naomba ofa...
  10. Nahitaji Single Mother tu

    Nahitaji mwanamke wa kuishi nae, ambae tayari kashazaa. Awe na umri kati ya 23-27yrs. Mtoto awe mmoja tu. Kabila, awe katika lolote kati ya haya, Mnyamwezi -Tabora, Nandi from Kenya, Tutsi from Rwanda, Mdigo -Tanga, Mrangi- Dodoma, Mkerewe-Mwanza, Msukuma -Geita. Rangi, awe mweusi asilia ambae...
  11. H

    Nahitaji rafiki wa kike wa kubadilishana mawazo, baadae awe mke

    Habari wana JF, mimi ni mwanaume, umri miaka 27, dini mkristo, natafuta rafiki wa kike ambae baadae anaweza kuwa mke, kama umevutiwa karibu inbox.
  12. D

    Nahitaji kujua juu ya biashara kukoboa na kusaga nafaka (mahindi)

    Habari wadau,. Kama mada inavyojieleza, nahitaji kupata uelewa wa biashara ya kukoboa na Kusaga mahindi. Ninapenda kuwa na mashine kwaajili hiyo Ili niweze kudunduliza kipato (mashine ya kutumia umeme). Ni usagaji wa rejareja tu mtaani. Nahitaji kufahamu bei za mashine mpya na used. Gharama...
  13. Nahitaji system ya Microfinance

    Habari Wakuu! Nahitaji system ya kununua kwa ajili ya kutumia kwenye kampuni ya mkopo. Ya kununua moja kwa moja sio kulipia kwa mwezi.Tuwasiliane basi PM iko wazi.
  14. K

    Nahitaji gari kwa Bajeti ya 5.5 Milioni

    Nahitaji kununua mojawapo kati ya hizi Nadia Allex Spacio old/new. Bajeti yangu 5.5M Mwenye nalo anicheck
  15. E

    Nahitaji miamvuli ya kukingia biashara

    Wakuu Nahitaji chimbo la kupata miamvuli ya kukingia biashara Kalaga Baho Nongwa ngara23
  16. A

    40-49 yrs Christian man

    Habari nahitaji Mume mwenye umri 40 Hadi 49 Kwa ajili ya ndoa halali ya kanisani Mchapkazi na anayejua Majukumu yake sio wakulelewa Mkristo hasa mpetekoste NB alietayari ku asili mtoto Awe mkoa WA manyara kilimanjaro ,Tanga au Dar
  17. Nahitaji mafuta/dawa ya kukuzia ndevu

    Nahitaji mafuta/dawa ya kukuzia ndevu Kama Kuna anayeuza tuwasiliane
  18. Nahitaji choroko 100kg nipo Dar

    Habari, Nahitaji choroko 100kg nipo dar mabibo, nanunua kwa sh 1800 Hadi sh 2000 kwa kilo
  19. K

    Nahitaji mtu/mfugaji wa kondo chotara

    Wanajenzi na shida na kondo chotara nipo Arusha
  20. Niko Mbeya nataka niwahi Dar leo, nahitaji usafiri, nitachangia mafuta

    Natanguliza shukrani zangu za dhati
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…