nahitaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. NAHITAJI MCHUMBA (MWANAMKE)

    Natafuta mchumba. Mwenye miaka 25-35 Mwenye umbo na haiba ya kike. Aliye tayari kuanza maisha na mimi anifikie inbox. Karibu sana
  2. Toka Mchamba Wima hadi Iran, nahitaji kwenda kutafuta maisha

    Vijana wengi hapa Mchamba Wima wamekimbilia Marekani, Canada na UK kutafuta maisha. Mimi naona wamepotea. Mimi nataka kwenda Iran au Saudi Arabia naamini Waarabu na Waajemi watanipokea na kunipa mke nioe ili niweze kupewa ukaazi wa kudumu. Ikiwa wale walioenda marekani, canada na uk wameoa...
  3. D

    Nahitaji radio calls used

    Habari wadau . Kwa mwenye mali tajwa hapo juu naomba tuwasiliane. Iwe inafanya kazi au haifanyi bado Nina uhitaji nayo. Pia radio calls za kwenye magari nazo pia nahitaji pamoja na antena zake. Kama unazo karibu.
  4. Y

    Nahitaji shamba maeneo ya kibaha/mlandizi/vigwaza

    Wapendwa wapi ninaweza kupata shamba hata kama sio kubwa saana lakini maeneo hayo hapo niliyoyataja na je nitapata kwa bei gani.
  5. Nahitaji material za kutengeneza viatu.

    Kwa anaejua sehemu naweza kupata material za kutengeneza viatu kariakoo yaani ngozi, leather, last, gundi,uzi n.k naomba anielekeze. Kuna sehemu nameelekezwa tatizo ni mbali sana ivyo nakosa muda na biashara za kuigiza huwa siziwezi napendelea zaidi nifike mimi mwenyewe dukani kuikagua na...
  6. D

    Mbolea gani ya kunyunyizia (Foliar fertilizer) inayofaa kwenye shamba la nanasi?

    Nimepanda shamba la nanasi. Huu ni mwaka pili. Nimeshaanza kuvuna. Nahitaji kuongeza/kuweka mbolea ya kunyunyizia [Foliar fertilize]. Ni ipi inayofaa?
  7. Nahitaji single mother miaka 32_50

    Nahitaji single mother miaka 32_50
  8. Nahitaji kusoma kozi za Mtandaoni

    Naombeni msaada wa uelewa kuhusu online courses, nahitaji kusoma online je niwapi nitapata course za online ambazo nitakuwa certfied? Na je hizi course gharama yake ikoje? Je ziko kozi za bure mitandaoni ambazo ukisoma unaweza kupata ujuzi fulani? Ni site zipi nitapata hizo kozi?
  9. Nahitaji kujifunza Programming

    Kama title inavosema wakuu Nataka kuwa developer mnaweza kunsaidia sehemu ya kuanzia Kama kuna website au group Fulani mnaweza kushare nami. Mungu awabariki🙏
  10. Nahitaji kujua sehemu ama taasisi zinazotoa mafunzo ya matumizi sahihi ya silaha

    Wakuu naomba anayefahamu taasisi zitoazo mafunzo ya matumizi ya silaha hasa binafsi kwa hapa Dar
  11. Nahitaji usafiri wa lori Mbeya kwenda Moshi - Nahamisha wiki hii

    Ndiyo hivyo, dalali - Dereva tuwasiliane 0734189022 Mzigo unajaa kama ki Toyoace kwa makadirio, vitu vya ndani na pikipiki. vimepakiwa fresh kwenye maboksi zaidi. Mbeya to Moshi Tuwasiliane.
  12. E

    Nahitaji kugawa sehemu ya uhuru wangu

    Mimi ni ME Umri 30+ Naishi -Dar es Salaam Kazi -Mjasiriamali Mwenye utayari Awe KE umri : 30< Elimu : kusoma na kuandika tu Makazi : Dar es Salaam Loading............
  13. Nahitaji Nissan X-Trail

    Nahitaji Nissan X-Trail ya 2010 used. Nina bajeti ya 9m. Unaweza kunitumia PM
  14. Nahitaji kontena la futi 40

    Habari wandugu . Nahitaji kontena la futi 40. Lenye hali nzuri ....nipo moshi mjini.-kilimanjaro Kama unalo wasiliana nami.....0672701329 Asante.
  15. Mshamba wa jiji nahitaji msaada wa kufika maeneo haya

    Nimetoka zangu Tukuyu Mbeya nimekuja na scania mende na humo nilijaza mzigo wa ndizi matoki wote wangu na nimefanikiwa kuuza jana wote soko la mabibo nina kakibunda kanene kiasi na lengo la kujaza scania mende hii ni kwa ajili kuweza kufanya matanuzi na kukamata wachumba kede kede wa daslam...
  16. Msaada: Nimefuta Xender na Miziki yangu pia imefutika

    Wakuu kama ilivo ainishwa hapo juu, MSAADA ninao hitaji nikwamba Jana KWENYE harakati za kwny 1 na 2 nmejikuta nimelifuta file la Xender kwenye simu yangu lakini Cha kushangaza sasa zile MIZIKI nilizokuwa nmezihamishia kwenye hii cm KUPITIA hii Xender kuja kwenye simu yangu nilioifuta ki...
  17. Nahitaji mwanasheria mbobezi

    Wana jamvi, nahitaji mwanasheria tutagawana mapato, kuna kampuni nahitaji kuipeleka mahakamani wanilipe fidia sasa sina pesa za kumlipa mwamasheria ila tutakula wote kitakacho lipwa.
  18. J

    Nahitaji kazi/ ajira

    Habari za wakati huu. Majina yangu ni XX ni msichana wa miaka 25 ninaishi temeke Dar es salaam. Mimi ni mhitimu wa elimu ya chuo kikuu mwaka 2022 katika kituo kilichokuwa kinaitwa “TANZANIA-MOZAMBIQUE CENTRE FOR FOREIGN RELATIONS” lakini kwa sasa kinaitwa “ DR. SALIM AHMED CENTRE FOR FOREIGN...
  19. E

    Nahitaji mafuta ya mbegu za zabibu(Grapeseed oil)

    Wakuu, Sehemu gani naweza pata haya mafuta kwa ajiri ya kupaka Nimejaribu kuulizia kwa baadhi ya maduka ya vipodozi sijafanikiwa Asanteni
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…