nafsi

Nafsi Huru (born 10 October 1986), is a Kenyan rapper.

View More On Wikipedia.org
  1. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Uhalali wa Mauaji: Je, Tunaongozwa na Waliokosa Amani ya Nafsi?

    Katika nyakati za giza la kiutawala, ambapo siasa imegeuka kuwa uwanja wa majeraha ya nafsi na miili ya raia, tunalazimika kuuliza kwa sauti ya juu: Ni kwa kiasi gani utu wetu unadhalilishwa kwa kisingizio cha uongozi? Utekaji wa watu wasio na hatia, kuuawa kwa siri, na kutoweka kwa sauti za...
  2. Kindo Emmanuel

    JamiiForums Tanzania Riwaya: NAFSI YA MFU Mtunzi: Kindo Emmanuel

    ILIKUWA ni asubuhi chungu kuliko zote nilizopata kuamka. Nilitetemeka na mwili wote ulifukuta kwa maumivu yasiyomithilika, jasho halikuwa mbali namni. Nilihisi utumbo ukijinyongorota ndani kwa njaa niliyohisi na kila nilichojaribu kula nilitapipika mpaka nyongo. Nilihisi huenda nilikumbwa na...
  3. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Mohamed Kawaida: Kila kiongozi akiamua kujiuzulu kwa misingi ya maumivu ya nafsi, hatutokuwa na uongozi

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Mohamed Kawaida amesema kama kila Kiongozi akijiuzulu kwa misingi ya maumivu ya nafsi hakutokuwa na Uongozi wa Taasisi bali wa hisia huku akimwambia Humphrey Polepole aliyejiuzulu Ubalozi wa Cuba kwamba hisia za Mtu binafsi...
  4. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Msoga, kijiji maarufu kinachompa jeuri bi mkubwa.

    Wakuu, Msoga21march21@yahoo.com, kijiji hiki tunaweza kusema ndio kijiji maarufu nchini hakuna asiye kijua. Kijiji hiki kimebeba tumaini kubwa sana kwa bi mkubwa, kila zito linalomtatiza lazima haraka sana akimbilie kijiji kile. Ukileta dharau dhidi ya kijiji kile ni ngumu sana wewe kutoboa...
  5. Bwana Bongo

    JamiiForums Tanzania Tume iliyo na nafsi

    NDOTO: 16 TUME ILIYO NA NAFSI Nilijikuta ndani ya jengo refu lililojengwa kwa vioo—ukuta kila upande ulikuwa ni uso wa wananchi. Nilitembea hadi katikati ambapo meza ya duara ilizungukwa na viti vya ngozi. Katikati ya meza hiyo kulikuwa na kiumbe wa ajabu—si binadamu, si mashine—lakini...
  6. heartbeats

    JamiiForums Tanzania Nafsi za kazi Mofat mwendokasi

    Aya ajira izo apoooo msiseme hamjaambiwa kazi kwako
  7. Tauceti Rigel

    JamiiForums Tanzania Kwa Wale Wanaoshindwa Kuacha Pombe, Umalaya na Tabia Nyingine Zinazotia Kutu Nafsi Karibuni Hapa Tuelewe Wapi Tunakwama

    Kukubaliana na Kikwazo cha Mabadiliko: Uchanganuzi wa Tabia za Binadamu na Uundaji wa Mabadiliko ya Kudumu Ikiwa wewe ni kama watu wengi, kuna pengo kati ya mtu ulivyo sasa na mtu unayetamani kuwa. Kuna vitu vidogo unavyofikiria unapaswa kufanya na mambo makubwa unayotakiwa kufikia. Kutoka kwa...
  8. Paspii0

    JamiiForums Tanzania Mchoro wa usaliti katika hekalu la nafsi

    "Akatupa vile vipande vya fedha hekaluni, akaondoka; akaenda akajinyonga." (Mathayo 27:5) Ni mstari mfupi, lakini wenye kishindo cha kimya kinachopasua nafsi. Yuda hakusaliti kwa ujinga,alisaliti kwa kumeza ahadi ya muda na kupuuza kilio cha ndani. Na leo, kivuli chake kinatembea katikati yetu...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Mtu alie nusurika kifo ktk siasa acheni kumsonga mtalitesa Taifa mtazitesa nafsi zenu

    Nawaomba serikali ya jamuhuri ya muungano kutambuwa mh Lissu sio mwanadam ila ndani yake ana nguvu za ziada baada ya jaribio lakutaka kumuua ndani ya mji mkuu dodoma kushindwa bila shaka mnakumbuka yale yalitokea ambayo hayakuwahi tokea tangu tupate uhuru. Huwotaji jicho la tatu kuona haya ila...
  10. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Utu Uzima Feki: Kukua kwa Umri Lakini Kukwama kwa Nafsi

    Asubuhi hii ya Pasaka, tunapoamka tukisikia mlio wa mataifa ukisherehekea ushindi dhidi ya kifo, tunakumbushwa kuwa Pasaka haimaanishi tu ufufuo wa Yesu, bali pia ni mwaliko wa kufufuka kwetu—kiroho, kiakili, na hata kijamii. Katika mwangaza huu wa asubuhi takatifu, tunapaswa kutafakari: Je...
Back
Top Bottom