nafasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Nafasi za masomo Kibo secondary school kidato cha 1 -6 karibuni

    kwa mamlaka niliyopewa chini ya kifungu cha 7 katiba ya shule na uhuru wa kuongea ktk katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania,nawatangazia watanzania wote kuwa kuna nafasi chache sana za kuhamia shule yetu pendwa kibo secondary school iliyopo moshi shanty town. NB.tunapokea wanafunzi wenye...
  2. X

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi kwenye mashirika mbalimbali Tanzania

    JOBS VACANCY Clinical Assistant at Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS) Advisor – ART Retention and Community Based Health Service Delivery (6 Posts) at MDH DECEMBER 2021 Advisor – HTS & HIV Prevention Service Delivery (6 Posts) at MDH DECEMBER 2021 Advisor –...
  3. X

    JamiiForums Tanzania NAFASI ZA KAZI MASHIRIKA MBALIMBALI JIJINI Dar es salaam

    JOBS DAR ES SALAAM Cargo Sales Officer (2 Posts) at ATCL December, 2021 - New! IT Support Officer Jobs Vacancy at Watu LTD Decmber 2021 Manager – PMTCT/EID/Pediatric HIV Service Delivery (1 Post) at MDH DECEMBER 2021 PLUMBER II - POSTS at Marine Services Company Limited December 2021 ARTISAN...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi Moshi: Assistant Accountant na Office Administrator

    Nafasi tajwa hapo juu zinahitaji watu. Mshahara ni Tsh. 300,000. Mahali ni Moshi Kilimanjaro. Kama upo interested, tuma cv kwa info@starrich.co.tz NB. Onyesha kazi uliyoomba.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kama Bulembo anaweza kumdhaliisha Polepole, upi usalama wa waliounga juhudi mkono wakateuliwa nafasi mbalimbali?

    Bulembo anapodiriki kusema Katibu Mkuu wa chama hakua mwana CCM anatuma salama Kwa akina Nassary, Mashinji, Mdee na wengine kwamba Muda wao wakufaidi keki ya Taifa umeisha wajiandae kukabidhi V8 vinginevyo waombe sana mwenyekiti wa CCM awakingie kifua. Hawa wazee wana roho za kikatili na...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Sekretarieti ya Ajira huwa inarudia mara ngapi tangazo la nafasi za kazi kama wakikosa watu wenye sifa?

    Napenda kujua concept ya nafasi ya kazi kuwa re-advertised uwa inakuwa Mara ngapi kwenye kazi fulani. Kuna nafasi Moja walitangaza utumishi mwezi wa saba wakairudia mwezi wa nanë na watu hawakuitwa kwenye usail, Mara zotë inakuaje kwanini wasiendelee kutangaza hilo tangazo kwani inakuaje...
  7. JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi ya udereva

    Company Driver - Dar Es Salaam, Tanzania MUST BE ABLE TO START THIS WEEK. MUST HAVE EXPERIENCE AT A REPUTABLE COMPANY Purpose of the position: To ensure all company vehicles are taken good care, cleaned and driven according to company policy. We be supposed to deliver all company mails to...
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini waliozaliwa katika familia maskini wana nafasi kubwa na wao kuwa maskini kuliko waliozaliwa katika familia tajiri?

    Ni swali fikirishi kidogo ukiangalia wengi wanaotokea familia maskini wengi huishia kuwa masikini ni wachache sana ambao hutoboa kimaisha. Au ndo tuseme umasikini mtu anaweza kuurithi? Mfano: mawazo ya kimasikini kutoka kwa baba yanaweza kuhamia kwa mtoto kama baba hakuwa na vitega uchumi...
  9. JamiiForums Tanzania Kafanya vizuri kwa nafasi yake.

    Iwapo hujalizishwa na matokeo ya mwanao kimasomo na ungependa, afanye vizuri zaidi basi usipate shida. Tupe nafasi tuzungumze nae kupitia namba yetu hii 0756325414. Mungu akubariki. Tupo Dar es salaam.
  10. X

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi za Udereva Halmashauri ya Mji wa Njombe

    Driver jobs Njombe District Council, nafasi za kazi njombe district, ajira ya udereva halmashauri ya njombe tanzania, driver jobs tanzania today, driver jobs in tanzania, embassy driver jobs in Tanzania, driver jobs Tanzania 2021, driving job in halmashauri ya njombe, driver job in tanzania...
  11. JamiiForums Tanzania Ninahitaji nafasi ya kufanya 'Internship'. Nimesoma Bsc of science in Computer science HCIA (5G,AI,DataCom &Python) Certificate

    Salaam, Mimi ni kijana wa kiume mwenye Umri wa Miaka 26 na makazi yangu ni Mwanza wilaya ya Nyamaghana. Mwaka huu 2021 nimehitimu Bachelor of science in computer science, Lengo la thread hii ni kuomba nafasi ya internship or volunteering opportunity (paid or unpaid), katika kampuni yoyote...
  12. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi/ajira kwa walimu kutoka taifa online school

    Job Summary We are looking for secondary school teachers, for arts and business studies Minimum Qualification: Bachelor Experience Level: NO EXPERIENCE. Job Description A full-time permanent Teacher position has become available on TAIFA ONLINE EXAM to start in JUNE 2020 at MBEYA TANZANIA...
  13. JamiiForums Tanzania Kama wewe ni Mtanzania na mdau wa soka ungepata nafasi ya kumshauri kocha wa simba Pablo Franco ungempa ushauri gani

    Kama title inavyojieleza hapo juu, kama mtanzania pure na ni mdau wa soka kutokana na kuyumba kwa timu ya Taifa ni vyema kuendelea kuwekeza nguvu kubwa kwa vilabu vyetu pendwa ili atleast twende kwenye ubora kwa ngazi ya vilabu ili kuwatoa kimaso maso watanzania. Kwa mfano SIMBA walifanya...
  14. JamiiForums Tanzania Biubwa katika nafasi ya James Bond

    KITABU CHA BIUBWA: KARUME, BIUBWA NA BARUA YA ENGEN Kitabu "Mwanamke Mwanamapinduzi," kinachohadithia maisha ya Biubwa Amour Zahor ni, "thriller," katika viwango vya James Bond. Zuhura Yunus mwandishi wa kitabu hiki kaifanyia hisani kubwa historia ya Mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka wa 1964...
  15. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi 500 kwa ajili ya KUPUCK laana kuwa maandishi ya kubadili viongozi

    Kampuni ya Punch company limited Inatanganza nafasi 500 kwa wachumi, HR, ACCOUNTANT, WATU WA MASIJALA KWA AJILI YA KUPUNCH LAANA ZILIZOKO KWENYE JAMII MAANA UHURU HAWAKUTENGENEZA KITENGO CHA KUJIBU MANUNGUNIKO ya watu na badala yake yakawa laana... Mathalani:- ...... Mchawi sana/Freemason...
  16. JamiiForums Tanzania Dodoma yaporomoka kimapato, yawa ya mwisho

    Halmashauri ya jiji la Dodoma mwaka Jana robo kama hii ilikuwa ya kwanza Kwa ukusanyaji Kati ya majiji yote, mwaka huu yawa ya mwisho. Na kimkoa yawa ya pili toka chini, kulikoni? Nini kimeshusha mapato kiasi hicho? Je wawekezaji wameondoka? Hata viwanja bei imeshuka kulikoni? Msigwa Kesho...
  17. JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Bunda

  18. J

    JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa wa kumuangukia Ridhiwan Kikwete na kumfikiria kwenye nafasi za juu hapo baadaye?

    Ijumaa khareem, Kwaunyenyekevu mkubwa naomba kuwarejesha awamu ya nne Pale tulipoambiwa kuwa Mtoto wa Rais wa Tanzania wakati huo Mhe Jakaya Mrisho Kikwete, Ridhiwani Kikwete amekamatwa huko Hong Kong China akifanya biashara ya madawa ya kulevya, Kwakuwa sheria za Nchini China ukiiondoa...
  19. JamiiForums Tanzania Iponye nafasi yako; Dunia inapita

    Dunia hii rafiki inapita upesi imefikia mwisho itaangamia! Luka 17:32 DŮNIA IMELAANIWA na dhambi za wanadamu, leo Lecturer UDOM amefumaniwa akitaka ofa kwa college girl, hii si laaana, just imagine umepewa nafasi huudumie watu wewe unahumiza watu, umepewa nafasi uwaponye watu wewe unahumiza...
  20. JamiiForums Tanzania Mnyika ondoka nafasi ya Katibu mkuu, viatu vya Dk Slaa vimekupwaya

    Tuachie chama chetu, hauna mkakati wowote kuhakikisha tunasimama kama enzi za Dk Slaa. Mbaya zaidi chama kama chama kinafanyiwa maonevu makubwa lakini hauchukui hatua hata kushitaki UN na tume za haki ya binadamu. Chama kinazolota lakini huchukui hatua kabisa. Unalipwa posho kubwa bure tu ndio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…