nafasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hongereni Wasanii kwa kujitambua: Wasanii watoa siku 2 kwa mchekeshaji Steve Nyerere kuondolewa nafasi ya usemaji wa wanamuziki

    wapi na wa wapi dereva awe msemaji wa wapishi, mchekeshaji awe msemaji wa wana muziki.... haya mambo yalifanyika kwa kukurupuka mno kwa kweli, Kwanini Steve Nyerere anang'ang'ania sehemu ambayo watu anaotaka kuwaseemea hawamtaki ? ni wazi pia tabia za Steve zimefanya wasanii wawe na hasira na...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Nani yuko kwenye nafasi nzuri ya kupiga hela kati ya Mhasibu na Afisa manunuzi?

    Habari za jioni wadau! Tukiwa watoto tulikuwa tunawaza kazi nzuri ni udakatari na sheria ila kwa kadri umri unavyosonga unagundua hata huko ni umasikini tu sana sana uibe dawa ila kutoboa sio rahisi. Baada ya kutafakari muda mrefu nimeamua kubadilisha fani kabisa na hizo fani tajwa hapo juu...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Mahaba ya Pablo kwa Dennis Kibu yanatisha aisee

    Yule kijana sidhani kama ame recover vizuri kuchea mechi ngumu hivi, kama unampenda sana subiri mechi za kmc au geita gold umuweke huko siyo mamechi ya kimataifa haya Mr pablo kuwa serious bana kumbuka Cecafa zone wanaitegemea simba sc
  4. N

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi anahitajika Fundi (Security Services Technician Trainee)

    Natafuta kijana aliye tayari kufanya kazi ya ufundi , Elimu kuanzia kidato cha nne, tutamfundisha namna ya kufanya kazi vizuri, awe mkazi wa Dar maeneo ya karibu na Kinondoni Studio, umri kuanzia miaka 18-24. Awe mchapakazi , anayejituma, anayependa kujifunza, uelewa wa haraka , mwaminifu na...
  5. JamiiForums Tanzania KIFO NA NDOA: Naomba nichukue nafasi hii kuisifu misingi ya dini ya Kiislamu

    Nikiri wazi Mimi ni mkristo kidanki ndaki, ni mafungu machache ya kwenye biblia yanaweza nipiga chenga. Dini zote mbili za kikristo na kiislamu zilitokea eneo moja , mashariki ya Kati , kile ambacho Biblia inasema na kile ambacho Qur'an inasema ni copyright for more than 80% , waislamu...
  6. JamiiForums Tanzania Kama unatamani kufanya Biashara za Sketi za watoto za mtumba na huna Mtaji nafasi yako hii

    KIJANA MTAFUTAJI: Kama unatamani kufanya Biashara za Sketi za mtumba na hauna mtaji njoo ofisini. WEKA NAMBA YAKO YA WHAT'S AAP INBOX YANGU, UWE DAR ES SALAAM Ila kwa wateja wa mikoani tunauza moja kwa moja. Utapewa Skert nzuri kwa Bei ya 1900 kwa kukopeshwa .. nawewe utauza mpaka 4500...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi kwa walimu wa hesabu

    Tunahitaji walimu wa hesabu kuanzia form 1 hadi 6. Kazi inafanyika online na utapewa test kabla ya kuanza. Kwa mwenye uhitaji tuma email: rubysinc2012@gmail.com
  8. JamiiForums Tanzania Aptitude Test Interview Tanzania Commercial Bank (TCB) kwa nafasi ya Business Solution Officer: Big Data Analysis

    Hii Salute Ndg zangu. Kama mida ya saa 7 mchana Leo nimepokea SMS na Email ya invitation kuja Dar kwenye Aptitude test ya TCB kada tajwa hapo juu. But kutokana na kutingwa na majukum upande wangu sidhan kama nitahudhuria. Lengo la uzi huu ni kuwakutanisha waliopewa taarifa ya aptitude test...
  9. JamiiForums Tanzania Kama ilivyo kwa sanaa ya muziki na kazi nyingine za sanaa zipewe nafasi ili ziweze kukua zaidi

    Sanaa ni ufundi wa kuwasilisha fikra na mawazo ya binadamu kwa njia aidha ya kuchora, kuchonga, uandishi, upambaji, mitindo, ufinyanzi, uimbaji, Uigizaji na vitu vingine vifafananavyo na hivyo, ni hali ya kuyapa umbo au (kibebeo) mawazo ili yaweze kufika kwa hadhira ili aidha kuelemisha...
  10. JamiiForums Tanzania Kusinyaa kwa Nafasi ya Kiraia (Civic Space) Tanzania: Si salama kuendelea kuishi chini ya Sheria kandamizi

    Kumekuwa na wasiwasi mkubwa kuhusu kusinyaa kwa Nafasi ya Kiraia (civic space), yaani ushiriki huru katika masuala ya kidemokrasia nchini Tanzania kabla na baada ya uchaguzi wa tarehe 28 Oktoba, 2020. Serikali sio tu ilijionesha wazi kukandamiza vyombo vya habari, lakini pia kudhoofisha uwezo wa...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Wafuasi wa Magufuli muelewe, siasa zenu hazina nafasi tena nchi hii, ila wapinzani nao wana wajibu

    Pamoja na matatizo mengi Tanzania ilyokuwa nayo kabla ya mwaka 2016 lakini ilikuwa katika njia nzuri na ilikuwa inapiga hatua, Then akaingia Magufuli ambaye wengi, ikiwemo mimi nilidhani atatatua matatizo mengi ya nchi yetu kwa kipindi kile Lakini Magufuli alikuja na siasa mpya ambazo...
  12. JamiiForums Tanzania Mbowe anakosa sifa muhimu ya kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA. Ajiuzulu nafasi yake kwa maslahi ya chama na Taifa kwa ujumla

    Uadilifu ni sifa kuu na ya msingi anayopaswa kuwa nayo kiongozi yeyote yule wa Taasisi ya uma. Chadema kama chama kingine cha siasa ni Taasisi ya uma kwa kuwa imesajiliwa kwa kufuata sheria za nchi zinazoongoza vyama vya siasa hapa nchini kwa maana hiyo haikwepi kuwa na vigezo muhimu vya...
  13. JamiiForums Tanzania Nafasi zimetangazwa 12 Utumishi interview tumeenda 8. Je, kuna uwezekano kweli wa kupata kazi wote au sheria ndo inafuata mkondo?

    Msaada kwa wadau mwenye uzoefu au aliyewahi kukutana na situation hii
  14. JamiiForums Tanzania Ameitwa interview TRA nafasi mbili tofauti muda wa written interview ni mmoja

    Wakuu, huyu mtu kama niwewe ungemshauri afanyeje. Ameitwa interview TRA nafasi mbili tofauti muda wa written interview ni mmoja.
  15. JamiiForums Tanzania Kwenye msafara wa Kiserikali wa Rais Dubai, Shaka ana nafasi gani?

    Kuna jambo limenistua kidogo japo linaonekana la kawaida lakini ni kubwa sana katika siasa na uadilifu, Huyu Mwenezi wa CCM Bwana Hamdu Shaka, ana role gani kwenye ziara ya Rais huko Dubai katika mkutano huu wa kibiashara? Mlinzi? Mwekezaji? Mfanyabiashara? Mjasiliamali? Machinga? Kangomba...
  16. JamiiForums Tanzania Waliofanya usaili wa nafasi ya Data Officer MDH

    Heshima kwenu wakuu, Kwa tuliofanya interview ya Practical nafasi ya Data Officer MDH pale Kijitonyama kuna yeyote ambae kashapigiwa simu kwenda kwenye Oral Interview?
  17. JamiiForums Tanzania We are looking for a competitive and trustworthy Sales personals

    We are looking for a competitive and trustworthy Sales personals to help us build up our business activities. Sales responsibilities include discovering and pursuing new sales prospects, negotiating deals and maintaining customer satisfaction. Responsibility Include; Conducting market...
  18. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote halali

    Habari wakuu, Kwa majina naitwa charz juma, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 19 natafuta kazi yoyote lakini hiwe halali
  19. JamiiForums Tanzania Nafasi ya ajira DSM - Tegeta

  20. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi 525 za Kazi Tabora Municipal Council (Mshahara Mnono)

    Tabora Municipal Council is the capital and head quarter of Tabora Region as well as an administrative and commercial center of the region. The municipality is the commercial hub in western part of Tanzania, located on the crossroads of the main railway lines connecting Dar es Salaam on the...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…