nafasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    Sekretarieti ya Ajira huwa inarudia mara ngapi tangazo la nafasi za kazi kama wakikosa watu wenye sifa?

    Napenda kujua concept ya nafasi ya kazi kuwa re-advertised uwa inakuwa Mara ngapi kwenye kazi fulani. Kuna nafasi Moja walitangaza utumishi mwezi wa saba wakairudia mwezi wa nanë na watu hawakuitwa kwenye usail, Mara zotë inakuaje kwanini wasiendelee kutangaza hilo tangazo kwani inakuaje...
  2. Nafasi ya kazi ya udereva

    Company Driver - Dar Es Salaam, Tanzania MUST BE ABLE TO START THIS WEEK. MUST HAVE EXPERIENCE AT A REPUTABLE COMPANY Purpose of the position: To ensure all company vehicles are taken good care, cleaned and driven according to company policy. We be supposed to deliver all company mails to...
  3. Kwanini waliozaliwa katika familia maskini wana nafasi kubwa na wao kuwa maskini kuliko waliozaliwa katika familia tajiri?

    Ni swali fikirishi kidogo ukiangalia wengi wanaotokea familia maskini wengi huishia kuwa masikini ni wachache sana ambao hutoboa kimaisha. Au ndo tuseme umasikini mtu anaweza kuurithi? Mfano: mawazo ya kimasikini kutoka kwa baba yanaweza kuhamia kwa mtoto kama baba hakuwa na vitega uchumi...
  4. Kafanya vizuri kwa nafasi yake.

    Iwapo hujalizishwa na matokeo ya mwanao kimasomo na ungependa, afanye vizuri zaidi basi usipate shida. Tupe nafasi tuzungumze nae kupitia namba yetu hii 0756325414. Mungu akubariki. Tupo Dar es salaam.
  5. X

    Nafasi za kazi za Udereva Halmashauri ya Mji wa Njombe

    Driver jobs Njombe District Council, nafasi za kazi njombe district, ajira ya udereva halmashauri ya njombe tanzania, driver jobs tanzania today, driver jobs in tanzania, embassy driver jobs in Tanzania, driver jobs Tanzania 2021, driving job in halmashauri ya njombe, driver job in tanzania...
  6. Ninahitaji nafasi ya kufanya 'Internship'. Nimesoma Bsc of science in Computer science HCIA (5G,AI,DataCom &Python) Certificate

    Salaam, Mimi ni kijana wa kiume mwenye Umri wa Miaka 26 na makazi yangu ni Mwanza wilaya ya Nyamaghana. Mwaka huu 2021 nimehitimu Bachelor of science in computer science, Lengo la thread hii ni kuomba nafasi ya internship or volunteering opportunity (paid or unpaid), katika kampuni yoyote...
  7. Nafasi za kazi/ajira kwa walimu kutoka taifa online school

    Job Summary We are looking for secondary school teachers, for arts and business studies Minimum Qualification: Bachelor Experience Level: NO EXPERIENCE. Job Description A full-time permanent Teacher position has become available on TAIFA ONLINE EXAM to start in JUNE 2020 at MBEYA TANZANIA...
  8. Kama wewe ni Mtanzania na mdau wa soka ungepata nafasi ya kumshauri kocha wa simba Pablo Franco ungempa ushauri gani

    Kama title inavyojieleza hapo juu, kama mtanzania pure na ni mdau wa soka kutokana na kuyumba kwa timu ya Taifa ni vyema kuendelea kuwekeza nguvu kubwa kwa vilabu vyetu pendwa ili atleast twende kwenye ubora kwa ngazi ya vilabu ili kuwatoa kimaso maso watanzania. Kwa mfano SIMBA walifanya...
  9. Biubwa katika nafasi ya James Bond

    KITABU CHA BIUBWA: KARUME, BIUBWA NA BARUA YA ENGEN Kitabu "Mwanamke Mwanamapinduzi," kinachohadithia maisha ya Biubwa Amour Zahor ni, "thriller," katika viwango vya James Bond. Zuhura Yunus mwandishi wa kitabu hiki kaifanyia hisani kubwa historia ya Mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka wa 1964...
  10. Nafasi za kazi 500 kwa ajili ya KUPUCK laana kuwa maandishi ya kubadili viongozi

    Kampuni ya Punch company limited Inatanganza nafasi 500 kwa wachumi, HR, ACCOUNTANT, WATU WA MASIJALA KWA AJILI YA KUPUNCH LAANA ZILIZOKO KWENYE JAMII MAANA UHURU HAWAKUTENGENEZA KITENGO CHA KUJIBU MANUNGUNIKO ya watu na badala yake yakawa laana... Mathalani:- ...... Mchawi sana/Freemason...
  11. Dodoma yaporomoka kimapato, yawa ya mwisho

    Halmashauri ya jiji la Dodoma mwaka Jana robo kama hii ilikuwa ya kwanza Kwa ukusanyaji Kati ya majiji yote, mwaka huu yawa ya mwisho. Na kimkoa yawa ya pili toka chini, kulikoni? Nini kimeshusha mapato kiasi hicho? Je wawekezaji wameondoka? Hata viwanja bei imeshuka kulikoni? Msigwa Kesho...
  12. Nafasi za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Bunda

  13. J

    Ni wakati sasa wa kumuangukia Ridhiwan Kikwete na kumfikiria kwenye nafasi za juu hapo baadaye?

    Ijumaa khareem, Kwaunyenyekevu mkubwa naomba kuwarejesha awamu ya nne Pale tulipoambiwa kuwa Mtoto wa Rais wa Tanzania wakati huo Mhe Jakaya Mrisho Kikwete, Ridhiwani Kikwete amekamatwa huko Hong Kong China akifanya biashara ya madawa ya kulevya, Kwakuwa sheria za Nchini China ukiiondoa...
  14. Iponye nafasi yako; Dunia inapita

    Dunia hii rafiki inapita upesi imefikia mwisho itaangamia! Luka 17:32 DŮNIA IMELAANIWA na dhambi za wanadamu, leo Lecturer UDOM amefumaniwa akitaka ofa kwa college girl, hii si laaana, just imagine umepewa nafasi huudumie watu wewe unahumiza watu, umepewa nafasi uwaponye watu wewe unahumiza...
  15. Mnyika ondoka nafasi ya Katibu mkuu, viatu vya Dk Slaa vimekupwaya

    Tuachie chama chetu, hauna mkakati wowote kuhakikisha tunasimama kama enzi za Dk Slaa. Mbaya zaidi chama kama chama kinafanyiwa maonevu makubwa lakini hauchukui hatua hata kushitaki UN na tume za haki ya binadamu. Chama kinazolota lakini huchukui hatua kabisa. Unalipwa posho kubwa bure tu ndio...
  16. C

    Rasmi sasa Tanzania yapoteza nafasi nne kwa Libya, miujiza ya Simba SC inasubiriwa

    Tayari Walibya wameishapata slots ya teams nne kilichobaki ni miujiza kama Simba SC wataingia group stages ya shirikisho na hiyo ina depend kama Pascal wawa ataacha mgomo wake wa kuruka juu mipira ya kichwa au wauzaji mechi watawaonea huruma mamilioni ya washabiki wa Simba. Please maduka kuweni...
  17. Ni asilimia 21 tu zitaenda kwa Wazanzibari katika Nafasi 1,097 za kazi kutoka TRA, marekebisho yanahitajika

    Kwanza nitoe pongezi kwa serikali iliyosikia kilio cha vijana kwa kutoa ajira zaidi ya elf 1 TRA. Kama mnavyojua, Kwenye ajira wazanzibar hupewa asilimia 21, kwa hio katika hizi nafasi 1,097 ni sawa na wazanzibari 230 tu, 230 hao bado ni wachache kulingana na idadi kubwa ya vijana wanaomaliza...
  18. NAFASI ZA KAZI

    Wanahitakija Mabinti na vijana wenye uwezo wa kutoa Huduma ya Chakula/Hotel Maombi ya kazi : Jinsi ya Kutuma maombi andika barua ya kuomba kazi ukiambatanisha na mawasiliano yako na vyeti itapendeza zaidi tuma kwa Barua people iliyo ambatanishwa hapo chini Mahali : Dar es Salaam, Kinondoni &...
  19. RC Makalla: Machinga wakirudi maeneo waliyohamishwa, nitakuwa sitoshi kwenye nafasi yangu

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla amewataka watendaji wa mitaa kulinda maeneo yao, kuhakikisha wamachinga waliohamishwa hawarudi tena maeneo hayo, wakikuta kibanda watajua watendaji wanahusika. Amesema wamachinga wakirudi katika maeneo waliyohamisha itamaanisha yeye hatoshi kwenye...
  20. Wazanzibar wengi wameanza kuwa na sifa za kuajirika, wapewe 25% za nafasi za ajira na sio 21%

    kwa sasa nadhani wengi mmekuwa mashuhuda wa matokeo ya form 4 na form 6, hapo zamani ufaulu ulikuwa ni mdogo sana, si ajabu kukuta darasa zima lina division 4 na 0 pekee, Na linapokuja swala la ufaulu basi zanzibar ilikuwa ikishika mara kwa mara namba za mwisho, wazanzibar wengi walikuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…