nafasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi Idara ya Uhamiaji Leo 11/12/2022

    Habari zenu wandugu, naomba niende kwenye hoja Moja kwa Moja. Idara ya Uhamiaji imetangaza nafasi za ajira 500 kwa vijana wa kitanzania wenye sifa na vigezo mbalimbali vya kitaaluma Leo tarehe 11/12/2022. Unaweza pitia attachments hapa chini kufahamu zaidi. Lengo la Uzi huu ni kuweza kupata...
  2. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Mahakama imetoa uamuzi kuwa Rais John Magufuli alivunja Katiba alipomuondoa Prof. Mussa Assad kama CAG

    Ameandika Zitto katika ukurasa wake wa Twitter Nimefarijika kuwa leo tarehe 05/12/2022 Mahakama Kuu katika shauri la Zitto Zuberi Kabwe vs. Mwanasheria Mkuu na wenzie na 8/2020 mbele ya jopo la majaji 3 Masoud, Masabo na Kakolaki imetoa uamuzi kuwa Rais John Magufuli alivunja Katiba...
  3. JamiiForums Tanzania Wanafunzi 270,000 kukosa nafasi Sekondari za umma

    Baada ya Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) kutangaza matokeo ya mtihani wa darasa la saba, imebainika wanafunzi 274,671 waliohitimu na kupata daraja D na E, hawana nafasi ya kujiunga na sekondari za umma katika mwaka wa masomo 2023. Idadi hiyo ni wastani wa mwanafunzi mmoja kati ya watano...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kudos Azam FC, leo mmeumiza wengi. Kuna timu inaweza kuambulia nafasi ya tatu

    Nimeona leo mjadala umekuwa mkubwa juu ya refa kuongeza dk nyingi kwenye mechi ya Azam na coast union. Nafikiri mwamuzi alikuwa sahihi kwa 100% sababu hizi timu za mikoani zimekuwa na katabia kakijinga sana kupoteza muda pindi wanapokuwa wanaongoza au wanapoona matokeo yako upande wao bila...
  5. JamiiForums Tanzania Mgunda achana na wazee na kupeana fadhila. Mohamed Quattara ni mzima na Yuko kwenye kiwango kizuri. Acheze nafasi ya Kanute

    Mgunda anahitaji shinikizo kwenye kupanga kikosi. Akina Mkude, Boko hawaoneshi uhai Tena simba. Asiwakingie kifua. Ukweli utambwaga chini. Nyeupe haiwezi kuwa nyeusi. Ampe nafasi leo Quatara ingawa yeye Ni beki lkn ana kila kitu kinachoweza kumfanya acheze Kama kiungo mkabaji. Akina Mkude umri...
  6. JamiiForums Tanzania Nafasi zote za kuchaguliwa kama Ubunge na Udiwani ziwe na ukomo

    Kama ulivyo Urais, nafasi hizi nazo ziwe na ukomo. Hakuna sababu ya msingi mtu mmoja kuwa mbunge miaka 20. Na jambo hili wasipewe Bunge kuamua. Kuna wabunge wamechosha kabisa. Mtu amekaa bungeni miaka 20. Mawazo yake ni ya enzi za Mkapa huko. Yupo tu, "Tunafanyaga hivi." Pia, Soma Hivi...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Wajumbe Tuna imani sana na Mohamed Ali Mohamed (KAWAIDA) Mgombea nafasi ya Mwenyekiti UVCCM TAIFA

    Mchakato wa Uchaguzi katika Ngazi ya Taifa ukipamba moto ndani ya Jumuia ya Vijana ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ukipamba moto, Kijana Mahili na Mchapakazi Mohamed Ali (KAWAIDA) akionyesha kuwakimbiza kwa mbali sana Wagombea wenzaki katika Mchakato huu wa Uchaguzi ndani ya Taifa mara tu wajumbe...
  8. JamiiForums Tanzania Kila anaepewa nafasi anatulazimisha tumuunge mkono Rais Samia

    Kwani kuna nini huko? Hii ni 2022 haijafika hata 2024, kinacho nishangaza ni kila anaesimama anatulazimisha tumuunge mkono rais Samia. Nabaki najiuliza, kuna nini kwani? Kuna kitu hakiko sawa huko? Halafu mtu anatulazimisha tumuunge mkono halafu akiachia mic anakuja kulalamika kama sisi tu...
  9. JamiiForums Tanzania Nafasi 25 za Kazi kwa Waandishi wa Habari

    CALL FOR APPLICATION (25 POST) JOB TITLE: WATETEZI TV REGIONAL REPORTERS ORGANIZATION: TANZANIA HUMAN RIGHTS DEFENDERS COALITION (THRDC) DUTY STATION: TANZANIA MAINLAND AND ZANZIBAR REGIONS CLOSING DATE: 30th NOVEMBER,2022 INTRODUCTION The Tanzania Human Rights Defenders Coalition (THRDC)...
  10. JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi-digital markerting

    NAFASI YA KAZI KWA DIGITAL MARKETING AND CUSTOMER CARE OFFICER TAREO (MIT & KIDT) inatangaza nafasi ya kazi mhudumu na masoko kwa njia ya teknolojia ( digital marketing officer ) SIFA. √ Elimu kuanzia ngazi ya cheti, shahada au stashahada √ Awe anaifahamu vizuri digital marketing √ awe na...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Tunaomba Rais ufanye uteuzi kwa nafasi zilizo wazi muda mrefu

    Habarini, Ninaomba yeyote aliye karibu na Mhe. Rais amfikishie ombi langu mbele yake nalo ni kufanya uteuzi wa nafasi zilizo wazi kwa muda mrefu hususani za utendaji kama wakurugenzi Uteuzi wa nafasi hizo utasaidia utendaji mzuri na kuacha kufanya kazi kwa kujionyesha. Kukaa muda mrefu bila...
  12. JamiiForums Tanzania Tatizo la kurudiwa kutangazwa kwa nafasi za kazi za Assistant Lecturers

    Nini tatizo, Kwanini nafasi hizo zinarudiwa mara kwa mara kutangazwa? Je wanakosa watu? Je watanzania hawana vigezo? Je wakachukue wageni? Je watanzania hawana elimu za masters? Je kusoma masters ni gharama? Au wanachunguza sana mwisho wanakosa mtu wanayemwihitaji? Au hawawapati watu wale...
  13. JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina aenguliwa kwenye kinyang'anyiro cha kuwania nafasi ya Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM (NEC)

    PANGA LA NEC LAMFYEKA LUHAGA MPINA- JINA LAKE LAENGULIWA KUGOMBEA UJUMBE WA NEC. * Mambo 11 yaliyomponza yatajwa HALMASHAURI Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi imeliengua jina la Mbunge wa Jimbo la Kisesa wilayani Meatu Mkoa wa Simiyu, Luhaga Mpina kwenye kinyang'anyiro cha kuwania nafasi ya...
  14. JamiiForums Tanzania Na sisi wakazi wa Dar Es Salaam tunaomba nafasi ya kumuona Shujaa Majaliwa

    Ndugu Mkuu, Kwa kweli inaonekana kwa sisi watu wa Dar es salaam mmeanza kututenga. Inaumiza sana. Mpaka sasa Shujaa Majariwa wamemuona tu watu wa Kagera, Mwanza ,Dodoma na Tanga kama sikosei. Sisi Dar mtatuletea lini tuweze msabahi shujaa huyu? Naumizwa na jambo hili maana hata Wabunge wetu...
  15. J

    JamiiForums Tanzania UWT taifa tunakwenda na Gaudentia Kabaka nafasi ya Mwenyekiti

    UWT TAIFA TUNAKWENDA NA Comred. GAUDENTIA KABAKA Mchague GAUDENTIA M. KABAKA Mgombea nafasi ya Mwenyekiti UWT Taifa #Daraja Bora la Maendeleo ya Chama, Serikali na Wananchi.
  16. J

    JamiiForums Tanzania Victoria C Mwanziva: Mgombea nafasi ya Umakamu Mwenyekiti UVCCM taifa

    Hongera sana Katibu Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa UVCCM TAIFA Comrade Ndugu VICTORIA C MWANZIVA kwa kuteuliwa na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Kugombea na Kuwania Nafasi ya Makamu Mwenyekiti UVCCM Taifa. Ikawe Heri Kwako. Na Mungu akubariki Sana. ✅🇹🇿🙏
  17. JamiiForums Tanzania UTEUZI CCM JUMUIYA: Chama cha Mapinduzi chateua wagombea nafasi ya Taifa katika Jumuiya zake zote, hawa hapa walioteuliwa

  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia kuongoza CC ya CCM leo, macho na masikio ya Watanzania ni majina ya Walioteuliwa kugombea nafasi za Mkoa na Taifa

    === Ni masaa machache tu baada ya kurejea kutoka katika Mkutano wa Dunia wa Uhifadhi wa Mazingira wa 27 yaani COP27 huko Nchini Misri, Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan kuongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu...
  19. JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi ya kuuza Pharmacy

    AMOPRIC PHARMACY inatangaza nafasi ya kazi ya kuuza Pharmacy katika Pharmacy zake zilizopo maeneo ya Tandika, Vingunguti na Chanika. Muombaji awe na sifa moja wapo kati ya hizi: 1) Addo 2) Pharmaceutical Dispenser 3) Pharmaceutical Assistant Maombi yote yatumwe kwenda: E-mail...
  20. JamiiForums Tanzania Eng.Hersi ulituahidi wanayanga tutaingia makundi huu mwaka. Tusipoingia hiyo 9/11/2022 naomba ujiuzulu nafasi yako

    Raisi wetu wa klabu pendwa ya kihistoria hapa nchini na Africa mashariki. Yanga ni klabu kubwa yenye historia nzuri na Pana, hata pepe kalle aliwahi kuimba kuhusu ubora wa yanga. Kuwa wa Rais wa klabu kama yanga yenye mashabiki lukuki ndani ya nchi na nje ya nchi si kitu kidogo wala cha mzaha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…