Wanabodi,
Mama Samia ni Rais na kiongozi wa taifa letu, ni msikivu na mnyenyekevu sana, mwenye subira na utulivu sana wa kusikiliza na kuchambua mambo kabla hajafanya maamuzi na anapofanya maamuzi yake anayasimamia, huku akitoa nafasi ya kukosolewa sana bila kuwa jazba wala kutumia manguvu...