Smt016
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 2,456
- 3,363
Humu kulikuwa na wimbo wa waamuzi kuwabeba timu fulani ili kubeba ubingwa, lakini waimba wimbo huo hawaonekani pale timu yao ya Simba ikibebwa na waamuzi na kupata matokeo.
Leo Simba imepata point 3 kwa goli la offside, wakati Freddy Michael funga funga anapokea mpira alikuwa katika eneo la kuotea lakini mshika kibendera akaacha ili mradi timu kubwa iliyobebwa kwa viporo isishindwe kupata nafasi ya kwenda klabu bingwa.