nafasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi: Accountant

    Tunahitaji Accountants wenye uzoefu, Waliopo Dodoma watapewa Kipaumbele. Ofisi zetu zipo Dodoma. Tuma CV yako kwenye Email : valerianabiseco176@gmail.com
  2. S

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya Kazi kwa Wahasibu wenye uzoefu Dodoma

    Tunahitaji Accountants/wahasibu wenye uzoefu. Waombaji waliopo Dodoma watapewa kipaumbele, kwa kuwa ofisi zetu zipo Dodoma. 📩 Tuma CV yako kupitia: valerianabiseco176@gmail.com
  3. JamiiForums Tanzania Vijana mkipata nafasi ya kuji attach kwenye royal family, Usirudi nyuma

    Vijana wenzangu mjitahidi sana kuyaelewa maisha. Maisha ya duniani yana formula na hii formula ndio inawafanya baadhi kufanikiwa na kuwa mbele. Ni muhimu pia wakati una date angalia familia na utulivu wa huyo mdada. Kuna vijana watatu miaka ya hivi karibuni wameonesha maturity kubwa mno ...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi ya Mpishi imetangazwa na Ubalozi wa Ubelgiji, mwisho wa maombi ni 21 Agosti 2026

    Tunatafuta Mpishi kujiunga na timu yetu 🇧🇪🇹🇿 📌 Tarehe ya kuanza: Oktoba 2026 📍 Mahali: Dar es Salaam Sehemu kubwa ya ukarimu wa kidiplomasia hufanyika mezani😋. Makazi ya Balozi wa Ubelgiji yanatafuta mpishi wa kuendesha jiko, milo ya kila siku, hafla rasmi, na menyu zinazowaridhisha wageni na...
  5. JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi

    Tuna nafasi za Kazi Mbalimbali, uwe na uzoefu usiopungua Miaka 3 kwenye kila Nafasi. 1. Logistics Manager-Dodoma 2. Trucks Engine Mechanic-Dodoma 3. Big Truck Driver-Dodoma 4. Driver-Dar es Salaam 5. Accountant CPA-Dodoma 6. Social Media Manager-Dar es Salaam Utapigiwa simu, Tuma CV yako...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Aliyemtuhumu Heche kula hela za CHADEMA aomba radhi, Baraza la Wazee Lushoto wamsamehe na kumrudisha kwenye nafasi yake ya ukatibu

    Aliyemtuhumu Heche akiomba radhi"Narudia kuomba msamaha tena kwa viongozi wote walio hapa, kwa Makamu Mwenyekiti. Na imani nimekosea. Basi kama pale nilipokosea na nimeamini nimekosea, naomba anisamehe. Viongozi wote naomba mnisamehe. Nitakuwa wa kwanza kumwalika ziara Makamu Mwenyekiti aje...
  7. JamiiForums Tanzania Naomba muongozo namna ya kupata nafasi ya ndugu yangu kujiunga na elimu secondary pale kibaha secondary.

    Wakuu, nina ndugu yangu ambaye anamaliza la darasa la saba mwaka huu, kama ndugu tumeona tumtafutie shule ambayo haitakuwa mbali sana na makazi yetu. Ni mtoto yatima Jibu likaja ni kibaha secondary, huyu kijana anasoma pale olympio primary, sasa kimbembe kimekuja ni namna gani tunaweza kupata...
  8. JamiiForums Tanzania Nipo kanisani, huyu Askofu kila mada anayotoa leo naona ananilenga mimi, nikipata nafasi nachomoka hapa

    Kwanza sadaka sitoi Huyu bwanah anatoa maandiko huku ananikodolea macho nafikiri atakuwa ameelekezwa tu namtu anipige vijembe Kaanza na mada za ugomvi na kupigana , anazungumza huku ananitolea macho japokuwa nimekaa nyuma ila ananitolea macho mpaka huku alafu ana macho makali kinoma yaani...
  9. JamiiForums Tanzania TANGAZO LA NAFASI YA KAZI

    FUNDI SANIFU WA UMEME (ELECTRICAL TECHNICIAN) Tunatafuta Fundi Sanifu wa Umeme mwenye ujuzi na uzoefu wa kufanya kazi za umeme katika majengo makubwa ya biashara, viwanda na nyumba za makazi. Sifa za Mwombaji Awe na Cheti cha Ufundi (Certificate) au Diploma ya Umeme kutoka NACTVET (zamani...
  10. JamiiForums Tanzania Ukipata nafasi ya kukimbia Africa kimbia mbio zako zote

    Usiwashangae wamorocco kuvamia Spain, zaidi ya wamorocco 3000 wameingia Spain Kwa kuvuka bahari, licha ya Morocco kufahamika Kwa mazuri yake, ni Moja Kati ya nchi ambayo ni tofauti na nchi zetu wamepiga hatua na wametuacha mbali kidogo, lakini watu Kila siku wanazama baharini wakitafuta maisha...
  11. JamiiForums Tanzania Unafikiri nani ana afadhali kupewa nafasi ya kuongoza CCM Tiketi ya urais 2030 kati ya hawa? Piga kura

    Unafikiri nani anaafadhali kupewa nafasi ya kuongoza CCM Tiketi ya urais 2030 kati ya hawa? Piga kura. Watakaoshika nafasi Tatu za juu. Itahesabika wanaushawishi hasa katika mtandao wa JF. Kwa wale wa CHADEMA na vyama vingine nanyi mnaweza kuchagua kama nilivyosema mwenye afadhali kadiri ya...
  12. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania ODM Yasaka Nafasi ya Naibu Rais, Yamuunga Mkono Oparanya kwa Uchaguzi wa 2027

    Chama cha Orange Democratic Movement (ODM) kimeongeza shinikizo la kutaka nafasi ya Naibu Rais katika uchaguzi mkuu wa 2027, huku baadhi ya viongozi wake wakimuunga mkono Waziri wa Ushirika na Maendeleo ya Biashara Ndogo na za Kati, Wycliffe Oparanya, kuwa mgombea mwenza wa Rais William Ruto...
  13. V

    JamiiForums Tanzania Nafasi nyingi za kazi mpya ajira portal usiache kuomba

    Ukipata changamoto ya kuomba kama kusahau password, email nk tuwasiliane kwa 0792715343
  14. V

    JamiiForums Tanzania Nafasi nyingi za kazi ajira portal kwa kada za elimu,uongozi nk usiache kuomba

    Kama una changamoto kama kusahau password, kusahau email nk tuwasiliane kwa 0792715343
  15. JamiiForums Tanzania Kiwanda cha TanChoice Limited

    Kuna interview nimeitwa hapo kiwandani, mwenye idea na hicho kiwanda kuhusu hali ya maisha (huduma muhimu) huko, nimeambiwa kipo kibaha, vipi kuhusu utamaduni wa kampuni husika kama unafanya/ulishawahi fanya hapo kazi n.k Mawazo/michango yenu inahitajika Karibu.
  16. JamiiForums Tanzania Ni ajabu!..Tundu Lissu apata nafasi adhimu ya uhuru wa kuzungumza na mawakili bila kuzungukwa na Mapolisi wa kininja mahakamani leo

    https://youtube.com/shorts/JwMVAUPBoPE?si=bofgw1NFolHE6WUi "....Waambieni wanachama wasikate tamaa, wasimame imara kukipambania chama. Waambieni wachangie chama, songeni mbele msinisubiri mimi. Nitatoka na nitawakuta huko mtakakokuwa. Nisiwakute nilipowaacha. Nikiwakuta palepale nilipowaacha...
  17. JamiiForums Tanzania Nafasi za ajira - Kampuni yangu

    Habari wadau wa JF, Mimi ni mdau mwenzenu ambaye nimekuwa sehemu ya jukwaa hili kwa muda mrefu. Kupitia JF nimejifunza mambo mengi, nimeongeza maarifa na ujuzi muhimu, na pia nimepata fursa zilizonisaidia kujikwamua kiuchumi. Vilevile, mijadala na simulizi mbalimbali zinazoshirikishwa hapa...
  18. JamiiForums Tanzania Hatma ya nafasi ya Makamu Mwenyekiti fisadi wa CHADEMA Taifa kuamuliwa na mkutano wa Baraza Kuu la CHADEMA taifa Septemba 15,2026.

    Hii ni kutokana na baadhhi ya wajumbe wa kamati kuu ya chadema taifa, kuapa kuongoza azimio la kuhakikisha kwamba makamu mwenyekiti wa chadema taifa anabanduliwa kwenye nafasi yake, baada ya kukiuka katiba na tuhuma za ufisadi na matumizi mabaya ya ofisi kwa manufaa yake binafsi na familia yake...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Nafasi ya Kazi: Mwalimu wa Kiingereza (Tanzania) 🇹🇿 🇰🇪

    Habari zenu! Mimi ni Mwalimu wa Kiingereza (English & Literature Teacher) kutoka Kenya, mwenye usajili wa TSC na Shahada ya Ualimu (Bachelor of Education). Natafuta fursa ya kufundisha nchini Tanzania na niko tayari kuhamia (relocate) mara moja nafasi itakapopatikana. Sifa zangu kwa ufupi: •📑...
  20. JamiiForums Tanzania Jaribu kujiweka katika nafasi ya Samuya, ungefanyaje kutuliza upepo?

    Mama wa watu amefanya kila mbinu kutuliza hali ya hasira Kwa watu lakini imeshindikana 1.Kombo amezurula kote Duniani ila wazungu hawamwelewi 2. Kujaribu kuteka, kuuwa na kubambikia watu kesi tena, hii inawapa watu hasira. 3. Kutumia bunge fake, Gen Z wanapuuza 4. Njama za Madelu kutumia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…