Masokotz
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,950
- 6,711
Habari za Wakati huu;
Nafasi hizi za kazi zinatangazwa kwa Nafasi za kazi za Technical Sales Specialist.Kama Technical Sale Specialist uantakiwa uwe na sifa zifuatazo:
Kama wewe au mtu unayemfahamu yuko tayari na ana uwezo na vigezo vya kufanya moja wapo ya majukumu tajwa basi wasilisha wasifu pamoja na nyaraka nyingine kwa barua Pepe ya expertstanzania@gmail.com.Katika Email yako Hakikisha Unaandika kabisa Kichwa(Title ya Nafasi unayoomba)Hakikisha unakuwa na wadhamini ambao wanaweza kutoa taarifa sahihi kuhusu wewe na uwezo wako.
Mwisho wa kupokea maombi ni Tarehe 30 Septemba 2026
Nafasi hizi za kazi zinatangazwa kwa Nafasi za kazi za Technical Sales Specialist.Kama Technical Sale Specialist uantakiwa uwe na sifa zifuatazo:
- Uwe na utaalamu katika Fani husika kwa Ngazi ya Diploma au zaidi.
- Uwe na uwezo na uzoefu wa kufanya Mauzo kwa njia ya moja kwa moja(Field Sales) na Kwa njjia ya Mtandao(Digital Sales)
- Uwe na uwezo wa kujiratibu na kujisimamia mwenyewe
- Uwe na uwezo wa kuonesha matokeo makubwa kwa muda mfupi na kufikia malengo ya mauzo
- Uwe na uwezo wa kufanya kazi katika mazingira yenye mategemeo makubwa(Working under Pressure in a Demanding Environment)
- Uwe na uwezo wa kufanya kazi katika mazingira yenye changamoto.
- Technical Sale Specialist-Industrial and Agriculture Chemicals
- Technical Sales Specialist-Construction and Building Materials
- Technical Sales Specialist-Information Technology
- Technical Sales Specialist Hospitality and Tourism Services
- Technical Sale Specialist-Agronomy
- Technical Sales Specialist-Fast Moving Consumer Goods(FMCG)
- Technical Sales Specialist-Automotive Parts and Accessories