na rais

NA-173 (Rahim Yar Khan-V) (این اے-173، رحیم یار خان-5) is a constituency for the National Assembly of Pakistan.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania CHADEMA ndio chama kinachopendelewa zaidi na Rais Samia, lakini hawana adabu!

    CHADEMA wanasema Rais jana kawananga wao lakini ukweli ni kwamba CHADEMA ndio chama ambacho Rais Samia amekipa upendeleo sana. CHADEMA walipewa nafasi ya kusikilizwa binafsi, walikuwa na mazungumzo yao pekee na wakapewa Kinana, viongozi wao ndio waliokaribishwa na Rais Ikulu mara nyingi zaidi...
  2. JamiiForums Tanzania Picha: Rais Samia Afanya Mazungumzo na Rais wa China, Xi Jinping Kwenye Mkutano wa BRICS

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa China Mhe. Xi Jinping kando ya Mkutano wa BRICS unaofanyika Jijini Johannesburg nchini Afrika Kusini tarehe 24 Agosti, 2023.
  3. JamiiForums Tanzania SI KWELI Bibi na Bwana wameondolewa katika nembo ya taifa inayotumika kwenye Podium ya Rais Samia

    Salaaam Wakuu, Nimeona katika sehemu mbalimbali picha zikisambaa zikionesha nembo inayotumika kwenye Podium ya Rais Samia haina bibi na bwana kama ambayo alikuwa anaitumia Rais Magufuli. Hili limekaaje Wakuu tunaomba ufafanuzi. Nembo anayotumia Rais Samia ikiwa haina Bibi na Bwana Nembo...
  4. JamiiForums Tanzania Tamko la CCM nitaliamini 100% endapo tu Mwenyekiti wake Taifa na Rais Samia atakuja na uthubutu ufuatao

    Mimi Rais Samia na Mwenyekiti wa CCM Taifa natangaza rasmi hapa kuwa sitaki nyie akina Kitenge, Zembwela, Pindi Chana, UVCCM Wote, Rais Mstaafu Kikwete na Wengineo wote Mjipendekeze Kwangu kwani siwahitaji na hakuna ambacho huwa nawatuma mkiseme bali ni Kuwashwawashwa Kwenu tu mkidhani...
  5. JamiiForums Tanzania Mapinduzi ya Niger: Bunge la Seneti laikataa hatua ya kijeshi, laionya ECOWAS na rais Tinubu

    Bunge la Seneti limeomba Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi, ECOWAS, Rais Bola Tinubu na viongozi wengine wa eneo hilo kuchukua tahadhari wanaposhughulikia mkwamo wa kisiasa nchini Niger baada ya kuondolewa kwa utawala uliochaguliwa kidemokrasia wa Mohamed Bazoum...
  6. JamiiForums Tanzania Mama Bonge wa Kariakoo asimama na Rais Samia Uwekezaji wa DP World Bandarini

    Mfanyabiashara maarufu wa Kariakoo, Sinyali Kimambo, maarufu kama Mama Bonge amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kutorudi nyuma katika msimamo wake wa kuleta mageuzi ya uchumi nchini, ikiwemo kuvutia uwekezaji wa kampuni ya DP World kwenye bandari ya Dar es Salaam Mama Bonge, ambaye huagiza...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango: Vijana changamkieni fursa zinazotolewa na Rais Samia

    Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango amewataka vijana kuchangamkia fursa zinazotolewa na Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan ili kujipatia kipato pamoja na kukuza pato la nchi. Ameyasema hayo wakati wa ufunguzi wa Maonesho ya Kitaifa ya Kilimo ya Nanenane leo Agosti 01, 2023 yanayofanyika katika...
  8. JamiiForums Tanzania Kimuundo Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Tanzania ni Mfalme kwa nchi na wana CCM wenyewe

    Hello JF, Sup ya kimangungo version II ya sakata la Bandari. Kimuundo CCM ni chama ambacho mtu akiwa Rais na mwenyekiti anakuwa mungu wa nchi na wana CCM wenyewe, ni zaidi ya Mfalme. Kwa maana hiyo secretariat ya CCM huko kwenye majukwaa hawa akina Chongolo na mapopoma wengine wote wa CCM...
  9. JamiiForums Tanzania Tuwaze mrejereo: Hivi DP World ingeletwa na Magufuli ingepingwa?

    Sitaki kumchokoza mwendazake wala yoyote. Nimekuwa nikilisikiliza malumbano juu ya 'uuzwaji' au uwekezaji wa bandari ya Dar. Je tatizo hapa ni mkataba au namna Serikali ya sasa inavyofanya mambo yake? Hivi kuna kosa kubwa kama kuvuruga uchaguzi ambapo Chama Cha Majambazi sorry mapindiuzi...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia na Rais Ruto Wafanya Mazungumzo Dar es Salaam

    Rais Samia Suluhu Hassan amefanya mazungumzo na Rais wa Kenya, William Ruto kando ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali Watu (Africa Heads of State Human Capital Summit) uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa JNICC - Dar es Salaam
  11. JamiiForums Tanzania Skudu: Sikuchagua jezi namba 6

    “Rais wa Yanga [Eng. Hersi] alinipigia akaniuliza kama nimewahi kuvaa jezi namba 6, nikamwambia hapana kwa sababu nimekuwa nikipendelea kuvaa jezi namba 11. Alinambia angependa kunipa jezi namba 6 na mimi nikakubali kwa kuwa ni heshima kwangu na nisingeweza kukataa.” – Skudu Makudubela...
  12. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe kuhutubia Taifa kupitia Mkutano na Waandishi wa Habari kesho 14/07/23

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mwamba Freeman Mbowe, atahutubia Taifa la Tanzania kupitia Mkutano wake na Waandishi wa Habari utakaofanyika kwenye Makao Makuu ya Chama hicho, Kinondoni Dar es Salaam. Mkutano huo uliobeba Mustakabhali wa nchi na Dira ya Taifa...
  13. JamiiForums Tanzania Tuliokuwa tukimsilibia Waziri Nchemba atumbuliwe na Rais leo hii tunajisikiaje akiendelea Kuaminiwa na kuwa Waziri wa Fedha tu?

    Leo ndiyo nimeamini Wanadamu wanaweza Kukuchukia kwa kila namna na hata Kukuombea Ufe kabisa au Maisha yako yawe Magumu kama yao ( waliyonayo ) ila Mwenyezi Mungu na Malaika wake wakisema HAPANA basi jua ni HAPANA Kweli. Mwenye ule Wimbo niupendao ( jina nimesahau ) wa Zablon Singers aniwekee...
  14. Q

    JamiiForums Tanzania Huu ni Mkataba mkubwa mbovu kuwahi kusainiwa na Rais tangu tupate Uhuru

    Tumewahi kuona mikataba mikubwa ya kuuza au kubinafsisha raslimali zetu ikisainiwa kati ya Tanzania na mataifa mbalimbali lkn huu wa kuuza bandari zetu unaoneka kuwa utavunja rekodi ya kuwa mkataba mbovu kuwahi kusainiwa na rais aliye madarakani na utamwachia legacy mbaya Rais Samia. Tukiondoa...
  15. JamiiForums Tanzania Profesa Kabudi kamuingiza chaka na Rais Samia?

    Kama ilivyokuwa wakati wa biashara ya Korosho wakati ule wa utawala wa the late emperor chuma mwendazake jiwe Magufuli, tukapigwa na kitu kizito na korosho hazikuuzika. Tukapigwa kwenye mikataba ya ACACIA na Barick, kabudi huyu huyu alikuwepo. Na sasa ni yeye tena au kasingiziwa?
  16. JamiiForums Tanzania Kwa hili la Bandari nasimama na Rais Samia, tubinafsishe hata Halmashauri zetu

    Wakuu tunaibiwa Sana hiwezekani hata Rwanda na kibandari kikavu Chaowakusanye nusu yetu huu ni wizi wa miaka mingi sana tumeibiwa. Tunaibiwa ruzuku za vyama, kilimo, ukusanyaji wa mapato tena na halmashauri zetu kila kona. Mhe. Rais Samia tubinafsishe hata halmashauri zetu maana huko wizi ni...
  17. JamiiForums Tanzania Tanzania imekuwa na Wakuu wa Majeshi wengi kwanini waliopewa Magari na Rais ni Waitara na Mboma tu?

    Najiandaa kwenda Msibani ( Mazikoni ) Kijijini Busegwe Mkoani Mara ( Musoma ) kumzika Mzee Mkono na nitapita Kumsalimia na Babu yangu Mzee David Bugozi Musuguri ( Mkuu wa Majeshi Mstaafu ) hivyo naomba nikifika Kwake Butiama nikute nae kapewa Land Cruiser LC 300 Jipya kama walilopewa CDF...
  18. JamiiForums Tanzania Naomba historia ya makao makuu kuhamishiwa Dodoma isipotoshwe!

    Kwa ufahamisho, Dodoma ulitangazwa rasmi kuwa mji mkuu wa Tanzania na rais mwanzilishi Julius Nyerere mwaka 1973. Uamuzi wa kuhamisha makuu makuu Dodoma ulichukuliwa na Halmashauri ya TANU chini ya Mwenyekiti wake Baba wa Taifa. Baada ya hapo Mwalimu Nyerere alihamia Dodoma na kuishi huko kwa...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Je kifo cha Nusura Abdalah wa UDOM chaweza kufanana na kifo Marylin Monroe na uhusiano wake na Rais wa USA JF Kennedy?

    Tarehe 04 August 1962 kilitokea kifo tata cha muigizaji Mrembo kule Marekani, Marylin Monroe. Kifo hiki kilizua utata mno ila Majasusi wa FBI walijitahidi hadi Marehemu akazikwa na ikawa mwisho wa tetesi. Hata hivyo tetesi hazikukoma. Iko hivi, Rais Kennedy na mdogo wake aliyekuwa mwanasheria...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Kama ningepata fursa leo ya kuonana na Rais ningemwambia yafuatayo

    Kama siku ya leo ningepata bahati ya kuonana na Mhe. Rais na kupata fursa ya kuzungumza naye, ningemwambia yafuatayo: Kwanza, ningemshukuru kwa kutoa ajira nyingi sana kwenye kada ya Afya na Ualimu lakini panatakiwa pawepo na mchakato rasmi ili kuondoa upendeleo. Ningemshauri pawepo hata na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…