Urusi wanaendelea kuchoka hadi wanamzushia huyu dogo, mwanzo walimpa masaa 24 aondoke Ukraine, wakajaribu kuparamia Kyev ili wamuondoe, wakapigwa za uso na kukimbia, leo hali inazidi kushindikana hadi wakaona waanzishe propaganda kwamba kalazwa.
"Today, Russia launched more fake news that the...