Wakazi wa Kipunguni A na Kipunguni Mashariki(Dar es salaam) tunasumbuliwa na kelele za sauti kubwa ya mziki unaopigwa na JAKICHA MOTEL.
Tulishapeleka malalamiko yetu katika vikao vya serikali ya mtaa lakini wamekuwa wakitoa majibu yasioridhisha.
Tangu 2022 mpaka leo, wanaothirika ni majirani...
Anonymous
Thread
kelele
mkuu wa mkoa dar
mziki
ofisi ya makamu wa rais
wizara ya afya
Nikiri wazi: tangu nimeacha kusikiliza muziki wa hawa wasanii chawa, moyo wangu una amani sana.
Nimengundua muziki wa zilipendwa umejaa madini na hekima nyingi sana, usiochosha kusikiliza.
Muziki wa Bongo umeharibika kabisa; wengi umejaa ngono tu. Umejaa kelele, uchi, na maudhui yanayochafua...
Wanasema kuna wale watu huwa wanajiamini kupitiliza wabwekaji kama mbwa koko majigambo mengi, lakini ni waoga, wewe unachotakiwa kufanya usijibizane naye mpe action moja tu hataongea maisha yake yote, atabaki kuchungulia dirishani hatakuja kutoka nje, anaogopa
Huu hapa na nilimuuliza chatgp swali kulinganisha seapiano kubwa kbs kwasasa sp 912 na huu mziki ni nani zaidi
Nimenunua active subwoofer 250,000 boom box
Power supply 10 A bei 50,000
Radio ya gari 40,000
Twita 30,000
Amplifier ndogo kwaajili ya twita 15,000
Je wakuu niongeze nn au nipunguze...
Mziki wa JAZZ mimi kwangu nilianza kuupenda kipindi cha miaka ya 90 katika king’amuzi cha DSTV kulikuwa na upande redio zilizokuwa zikiwa na mtiliiko wa JAZZ.
Mziki wa jazz ni aina ya muziki ulioanzia Marekani mwanzoni mwa karne ya 20, hasa miongoni mwa jamii ya Wamarekani Weusi huko New...
Siku hizi hakuna mziki ni bange zinaimba tu, utakachoishia kuona kwenye runinga yako ni makalio sasa sijajua yanaweza kumpa mtu elimu gani
Sijui itakuwa dunia ya aina gani ya watu kuoneshana makali ikiwa hali hii itaendelea
Sijajua watu wanaweza kujifunza nini kupitia makalio kama baadhi ya...
Inshaallah tabarak!, dhamira ni kushika dola na nafasi za uongozi na si uana harakati!
°Hata slogan yake inavutia kwa kweli, "CHAMA CHA UKOMBOZI WA UMMA"
Habari zenu Wana Jamii forum? Natumanini mko salama kabisaà.
Mimi ni kijana wa kiume, nipo Dar Es Salaam, Ubungo. NATAFUTA band ya mziki ya kujiunga nayo katika shughuli za mziki. Yeyote anaeweza kuniconnect na kikundi chochote kinachofanya mziki wa live ntashukuru Sana.
Experience yangu ni...
Salaam!
Ushauri kwa wale wanaojiita ma-regendary wa bongo wakuu ukweli huu hamtaupata popote na auonaye amwambie mwenzie ,wakuu Game ya bongo ya Muziki na hata sanaa zingine sio kazi au biashara ya kudumu ,mtawafariji ooh mbona wa ulaya mpaka leo wanapiga show ,wakuu hilo game la ulaya leo hii...
Namaanisha speakers za mdundo mzuri na radio selector yake zinaweza kunigharimu bei gani wakuu.
Ambavyo ukifungulia muziki watu wa kitaa wanaweza kuenjoy muziki mzuri
Great Thinkers
Hawa jamaa kwenye Kuimba wana dunia yao aisee na havana mpizani hapa Tanzania.
1. Msukuma humwambii chochote kuhusu nyimbo zao za asili, tembelea uskumani kama utakuta singeli never
2. Wana wasanii wao ambao kwa kweli wanaimba vizuri sana kama Elizabeth, kisima, kadochiza...
Nimeona video clip ambayo muheshimiwa waziri Kabudi anazungumza nia ya wizara yake kusimamia mchakato wa kuufanya mziki wa SINGELI kuwa mziki rasmi wa kuitambulisha Tanzania jambo ambalo sio sahihi kwa sababu zifuatazo:
Kwanza kabisa tayari Tanzania ina mziki unaoitwa Bongo fleva...
Huu mchezo wa mtalaamu wa siasa Mbowe nimuelewa sana kwanza ame-expose wapambe nuksi kwake na kwa Tundu Lissu lakini pia kajua kuteka attantion ya Taifa kwenye uchaguzi wa CHADEMA.
Ni dhahiri shairi mpango ulikuwa akae kando aingie Lissu ila kwa namna gani?Unadhani Lissu angegombea na Odero...
Yaani mpaka sasa Yeye ndiyo hajafungwa Mechi hata Moja halafu na Fedha zenu za Kukwepa Kodi za Kampuni yenu (yenye shareholder mkubwa Mstaafu Mr. Chalinze Bagamoyo) ndiyo mnataka mumuzawadie ili 'awaminyie' mumfunge kisha mjiweke pazuri mvuke mkijiaminisha kuwa iwe isiwe Mwarabu atakufa Temeke...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.