Uwezo wangu wa kununua nafaka kutoka kwa wakulima na kupeleka sokoni kwa ajili ya walaji unazidi kupungua, mzigo niliookuwa nakusanya kwa milioni kumi nahitaji kupata kwa milioni 13, 14.
Nipo Ikungi Singida muda huu nilikuwa napita kwa wakulima natafuta alizeti na mahindi, ni kweli mashambani...