mzee

An honorific is a title that conveys esteem, courtesy, or respect for position or rank when used in addressing or referring to a person. Sometimes, the term "honorific" is used in a more specific sense to refer to an honorary academic title. It is also often conflated with systems of honorific speech in linguistics, which are grammatical or morphological ways of encoding the relative social status of speakers. Honorifics can be used as prefixes or suffixes depending on the appropriate occasion and presentation in accordance with style and customs.
Typically, honorifics are used as a style in the grammatical third person, and as a form of address in the second person. Use in the first person, by the honored dignitary, is uncommon or considered very rude and egotistical. Some languages have anti-honorific (despective or humilific) first person forms (expressions such as "your most humble servant" or "this unworthy person") whose effect is to enhance the relative honor accorded to the person addressed.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Sumaye: Kinana anapiga dili za meno ya Tembo

    Jana kwa mara nyingine waziri Mkuu mstafu Ndg. F. Sumaye alimlipua katibu mkuu wa Chama Cha Mapinduzi A. Kinana na kusema katibu mkuu huyo kwa muda mrefu amekuwa akijihusisha na uuzaji wa meno ya tembo (pembe za ndovu)... "Soma gazeti hapa chini" Ilimbukwe kuwa mwaka jana kituo cha utangazaji...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hizi ni baadhi tu za maneno ya hekima ya mzee Jakaya Kikwete

    Hizi ni baadhi tu za maneno ya hekima ya mzee wa msoga. 1. Akili ya kuambiwa changanya na ya kwako 2. Kelele za chura hazimzuii mtu kuteka maji Karibuni tuongezee zingine ikiwezekana tuweke na mazingira/context ambapo jkauli hizo zilitoka. kwa mfano kauli ya "akili ya kuambiwa changanya ya...
  3. JamiiForums Tanzania DRC: Wanajeshi walinda amani wa Tanzania wajeruhiwa katika mapigano na M23

    M 23 imewajeruhi wanajeshi wetu huko Kivu ya Kaskazini. Ifahamike m23 ni wahuni wanaoungwa mkono na Serikali ya Kigali na ikumbukwe wahuni hao m23 kipindi cha Kikwete tuliwatwanga hali iliyopelekea mgogoro mkubwa wa kidipromasia baina ya Serikali ya Kikwete na Serikali ya Kigali. Sasa baada ya...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Mzee amtwanga ngumi ya uso abiria (Mwanamke) ambaye hawajuani pasipo sababu

    Imeripotiwa asubuhi hii 07 June 2022 huko Kigamboni! Mzee mmoja ambaye jina lake bado halijafahamika! Leo asubuhi akiwa kama abiria kwenye bajaji maeneo ya kisiwani, alitokea abiria mwingine njiani, ambaye ni mwanamke akiwa kavaa vizuri tu mama wa watu, yule mzee akiwa abiria ndani alimkaribisha...
  5. JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Kwanini Rais Samia hajawahi kumjulia hali Mzee Lowassa?

    Mheshimiwa Rais Samia ameonekana mara kadhaa akiwatembelea viongozi wakuu wastaafu mbalimbali majumbani mwao au kukutana nao Ikulu kwa mazungumzo na kubadilishana uzoefu wa masuala kadhaa ya uongozi. Ila sijawahi kumuona akikutana au akimjulia hali mzee Edward Ngoyai Lowassa(waziri mkuu...
  6. JamiiForums Tanzania Mizengo Pinda saidia kuharakisha mchakato wa Katiba uepuke laana ya uzeeni

    Pole na majukumu Hongera kwa kuitwa kwenye kikosi kazi cha katiba na maridhiano. Bahati nzuri wewe ni mtoto wa mkulima na unatambua katiba iliyopo inatesa na kufukarisha wakulima Kila siku kwa kuwalinda wabadhirifu na wapigaji wa pembejeo za wakulima! Tutetee sisi wajukuu zako wakulima wenzio...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Mjadala wa kihistoria: Je, Ishmael na Mdogo wake Isaka Walionana tena baada ya Kifo cha Babayao Mzee Ibrahim?

    Wadau hamjamboni nyote? Naleta mjadala huu ambao naamini ni wa kihistoria na utachangiwa na Wasomi wetu lukuki waliojaa ndani ya Jamii Forum Inajulikana kuwa Ishmael na Mdogo wake Isaka walikutana pamoja kwa ajili ya Maziko ya babayao Mzee Ibrahim Baada ya hapo hakuna kumbukumbu ya maisha ya...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wivu wa Wassira kwa Warioba hadi kwenye Katiba Mpya. Wapinzani hatumaanishi Katiba ni mali ya Mzee Warioba

    WanaCCM wana matatizo sana, Mzee Wasira akihojiwa TBC amesema haya... ''Wapinzani wanasema wanataka katiba ya Warioba, Warioba hana katiba, kazi yake ilikuwa ni kukusanya maoni na sheria ya mabadiliko ya katiba ya wakati ule inasema baada ya maoni kukusanywa yanafikishwa katika Bunge maalum na...
  9. JamiiForums Tanzania Halima Mdee na wenzake kulamba asali hivi karibuni

    Heshima sana wanajamvi, Baada ya Wabunge 19 kutimuliwa chamani, ahadi yao ya kupewa ulaji mkubwa na heshima kubwa ipo wazi ni suala la muda tu. Ni wazi Halima Mdee ni kiongozi wa kundi la wanawake walioamua kujipeleka Mjengoni pasipo ridhaa ya chama wala baraka za viongozi wakuu. Ni wazi pia...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Kwa maamuzi ya leo naamini wazee ni hazina. Hongera Sana mzee Msekwa

    Licha ya kuongea kwa kusisitiza uharamu wa Mdee na wenzake kutotambulika kama wabunge rasmi lakini kuna wengine waliona hayupo sahihi ikiwemo Spika Tulia. Mzee Msekwa katuonesha ni namna gani mtu anatakiwa kusimamia anachoamini. Nami binafsi niliona Mdee na wenzake hawakustahili kuwepo pale...
  11. JamiiForums Tanzania Familia ya mzee Zahir Zorro 'ilivyomuokoa' Nzela

    Kuna mambo mengi sana siku hizi yanakosekana kwenye tasnia ya burudani Tanzania. Naamini mambo yamekuwa feki sana kiasi kwamba kuna utamu na uchungu wa kisanaa tunaukosa. Au nimezeeka? Miongoni mwa mambo tuliyofaidi miaka 10 kurudi nyuma kwenye tasnia hii pendwa ya vijana ni wasanii kutugusa...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Miaka 97 ya Mzee Mwinyi na amani ya moyoni pasipo nongwa na visasi

    Rais Mstaafu wa awamu ya pili leo anatimiza miaka 97, ni mingi kwa kuiandika na kuihisi kichwani ukifanya tafakari ya kina. Ni miongo tisa na miaka saba. Amekula magunia kwa magunia ya chumvi. Ni umri mkubwa sana kuendelea kuwepo hai, akiwaona wajukuu na watoto zao. Mzee Mwinyi kwa sisi...
  13. JamiiForums Tanzania Samahani Mzee kikwete wewe ni wa mwaka gani??

  14. JamiiForums Tanzania Mzee Kinana anza na January Makamba na Mkataba tata wa Mahimdra Tech

    Huu mkataba wa bil 70+ uligubikwa na utata mkubwa juu ulivyoingiwa na umuhimu wake kwa Tanesco. Kwa ufupi hapa kuna harufu ya ufisadi mkubwa sana maana bil 70 ya kitanzania ni pesa nyingi. Madhari umeanza kudili na ufisadi basi huu ndio wakati muafaka kuwalaani wanao wapiga madili na ufisadi.
  15. P

    JamiiForums Tanzania Mzee Warioba na hoja fikirishi ya Mwalimu Nyerere kutohutubia Kanisani

    Nilimsikiliza vyema Waziri Mkuu mstaafu Mzee Joseph Sinde Warioba pale alipopewa nafasi ya kuhutubia nyumbani kwa Mwalimu Nyerere pale Msasani kama sehemu ya sherehe ya kufikisha miaka 100 ya hayati Mwalimu. Aliongea kwa lugha nzuri kama mwanasheria na mtu muungwana. Akamuelezea Mwalimu Nyerere...
  16. JamiiForums Tanzania Manyara: Mzee wa miaka 58 abaka watoto watatu akiwemo mwanaye wa kumzaa

    Jeshi la Polisi Mkoani Manyara limethibitisha mwanaume mmoja ajulikanae kwa jina la Simon Zakalia (58) kushikiliwa kwa tuhuma za ubakaji wa watoto watatu Wilayani Hanang mkoani humo akiwemo binti yake. Kaimu Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Manyara, Limited Mhongole amesema mtuhumiwa huyo...
  17. JamiiForums Tanzania Yupo wapi Andrew Chenge?

    Sijamsikia siku za hivi karibuni huyu mbunge, mwanasheria mkuu na mwenyekiti wa bunge mstaafu. Kwakweli nakuwa nervous kiasi maana huyu akikaa kimya basi ujue kuna kinachoendelea huko. Kipindi hiki watu wanarudi zao tutashangaa tu tushapigwa tukio.
  18. JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu kajifunze kwa Mzee Msuya na Mtei. Bajeti ya nchi haiwezi kuchezewa

    Mh Mwigulu nakushauri uende kuwaona wazee wawili- mzee Msuya na mzee Mtei ambao nina hakika unajua walikuwa mawaziri wa fedha kama wewe wakati ule wa shida kuliko hizi za leo- ila walisimamaia bajeti na kutoa maelezo ilipobidi. Unaendeshaje uchumi wa nchi namna hii- yaani ni unazidiwa na mama...
  19. JamiiForums Tanzania Mzee Kinana ataja ugumu vijana kupenya uongozi, ataka wapewe nafasi

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahmani Kinana amewataka vijana na wanawake kujitokeza kugombea nafasi za uongozi ndani ya chama hicho. Amesema makundi hayo mawili yanapojitokeza kugombea yapewe nafasi huku akieleza ugumu uliopo kwa vijana kupenya kwenye...
  20. JamiiForums Tanzania MWALIMU NYERERE ALITAKA CCM IKOSOLEWE,KWA NINI MZEE BULEMBO ANAPINGA CCM KUKOSOLEWA!?

    MWALIMU NYERERE ALITAKA CCM IKOSOLEWE,KWA NINI MZEE BULEMBO ANAPINGA CCM KUKOSOLEWA!? Nimemtaja makusudi mwanzilishi wa CCM,Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ili kuvunjilia mbali hizi propoganda zinazotaka kuenezwa kwamba hutakiwi kukosoa chama iwe CCM,CHADEMA,CUF au ACT WAZALENDO. Na ukumbuke...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…