An honorific is a title that conveys esteem, courtesy, or respect for position or rank when used in addressing or referring to a person. Sometimes, the term "honorific" is used in a more specific sense to refer to an honorary academic title. It is also often conflated with systems of honorific speech in linguistics, which are grammatical or morphological ways of encoding the relative social status of speakers. Honorifics can be used as prefixes or suffixes depending on the appropriate occasion and presentation in accordance with style and customs.
Typically, honorifics are used as a style in the grammatical third person, and as a form of address in the second person. Use in the first person, by the honored dignitary, is uncommon or considered very rude and egotistical. Some languages have anti-honorific (despective or humilific) first person forms (expressions such as "your most humble servant" or "this unworthy person") whose effect is to enhance the relative honor accorded to the person addressed.
Kama kuna mtu ambaye nimeshuhudia kwa macho na masikio yangu akiongea mawazo yake na kukemea pale anapoona mambo yanaenda ndivyo sivyo, basi ni Mzee Warioba.
Huyu mzee hapindishi maneno.
Binafsi namuheshimu sana.
Ikiwa Makonda hajamuomba msamaha kwa kumshambulia Huyu Mzee, namshauri akaombe...
Kufuatana na hali ya kiu salama ilivyo tete hivi sasa nchini kuna kila sababu ya kuimalisha ulinzi wa watu muhimu kwa Taifa letu hasa hasa mzee Warioba.
Nasema hivi kuwa hali ya kiusalama kuwa tete kutokana na vitendo vya kihalifu vilivyowapata watu wengi hivi karibuni akiwemo father Kitima...
Nimekuwa inspired na Jesca Magufuli jinsi alivyoshare moments za baba yake enzi za uhai wake kwangu imenipa fundisho kuwa uwepo wa baba una maana kubwa kwenye ukuaji regardless financial status ana pesa ama hana ila guidance yake ni muhimu.
Reaction ya marehemu mzee wangu alipopata taarifa kuwa...
Kongamano kubwa la Kitaifa la TLS kuhusu uchaguzi mkuu wa Tanzania mwaka 2025.
https://www.youtube.com/live/OsDzcv1mgK0
Jaji Warioba
- 2015 Kuna sababu Nyingi zilizofanya wagombea wakaenguliwa lakini zile hazikuwa na Misingi iliyoko kwenye sheria za Uchaguzi wala Katiba ya Nchi na ilileta...
bashungwa
kesi
kesi ya lissu
kitaifa
kongamano
kubwa
kuhusu
kujadili
lissu
mahakama
mambo
mambo ya
mambo ya ndani
mkuu
mwabukusi
mwaka
mwaka 2025
mzeemzee warioba
ndani
rais
rais wa tls
serikali
tanzania
tls
uchaguzi
uchaguzi mkuu
uchaguzi mkuu 2025
waziri
Ni ukweli usiopingika kuwa Mzee Mbowe na Lema ni ndugu wa karibu kabisa na wametoka eneo moja (Machame).
Pamoja na ukaribu huu ,Mzee Mbowe hakuwahi kumtegemea Lema kama mshauri wake wa kisaasa kutokana na sababu zifiatazo;
1.Lema anaao upeo mdogo sana wa kufikiri kutokana na kushindwa...
Mzee Malissa alifukuzw CCM bila hata kuitwa na kujitetea, na Alifukuzwa sababu tu kahoji Uhuni ulotokea DODOMA.
Hawa G-55 wanachofanya ni kutafuta Kufukuzwa, ili WAKIMBILIE Mahakaman, Cha kiwe na Kesi mara Kwa mara.
Kwa Bahati Mbaya, mshauri wao ni kakikundi kadogo ka Dola na CCM na ambao...
Habari za jioni wakulungwa.
Naleta habari hii usiku huu, nikiwa nimefuatilia ahadi za huyu mzee wetu kipindi hiki timu inatafuta namna ya kufuzu nusu fainal na kuitafuta fainali,
kwa jicho la tatu ahadi zake hizi zinavuruga timu sana, mchezaji badala ya kufocus timu ishinde qnafocus afunge...
Ndugu zangu Watanzania,
Kama kuna mtu mnapaswa kumpuuza ,kutokumsikiliza na kumkemea vikali wakati huu ni Dkt Slaa. Huyu Mzee ni Muongo sana ,Mchonganishi sana ,kigeugeu sana na anayebadilika kama kinyonga.
Embu jaribuni kufuatilia kauli zake za siku ya nyuma ndio muelewe nayoyazungumza hii...
Hii huwa inajirudia rudia sana kichwani kwanini mzee yule aliwakataza vijana wake wasinipige na akateua wawili wale wakubwa wanipeleke na wa hakikishe nimefika salama salimini bila kupigwa?
Kipindi hicho genye ndo limeshika hatamu yaani huniambii kitu kuhusu mbususu mara kadhaa nilikuwa sili...
https://youtu.be/UrmiHUuMW8k?si=8Zq7aoVlL4uoABVb
Ameeleza kuengua wagombea wa chama fulani tu ni dhahiri ajenda ya siri. Amesema Jeshi la Wananchi peke yake kwa sasa ndio linafanya kazi kwa uzalendo. Mambo ya kula kwa urefu wa kamba yake hawana
Nimesikiliza hii clip huyu Askofu ana upeo mkubwa Sana, nilichogundua pia ana kipaji cha kufundisha MTU akelewa.
Hawa jamaa (ROMA) ndio maana wanaitawala dunia, shule Sana aiseee.
Hivi wa upande wa pili (BAKWATA) ana uwezo wa kusimama kuyazungumza haya Kwa maslahi ya taifa?!
“Kuna watu hawataki tuendelee hivyo wanawatumia baadhi ya watu wetu wa ndani. Wanasimba wote njoeni uwanjani, na jamaa pia njoeni muone, hata wakitaka wavae misuli njoeni kushangilia timu yetu. Lakini nawambia tarehe 9 mwarabu atatafuta sehemu ya kupitia.”- Mwenyekiti wa zamani wa Simba, Hassan...
Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania bara,Stephen Wassira alifanya ziara katika mkoa wa Simiyu kuanzia Machi 28-30 mwaka huu kwa kutembelea wilaya zote za mkoa huo ambazo ni Maswa, Meatu, Itilima,Bariadi na Busega.
Akiwa wilayani Maswa ambapo akizungumza na wanachama wa Chama Cha...
==
Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wasira amesema Rais Dk. Samia Suluhu Hassan amefanya kazi kubwa hususan ujenzi wa hospitali na zahanati ambazo ni mkombozi mkubwa kwa wanawake.
Wasira amesema hayo jana Machi 29, 2025 Itilima mkoani Simiyu alipokuwa akiwahutubia wananchi katika mkutano...
Mzee Sharif Kwezi kutoka Mwanza ni mmoja wa wafugaji wa ng'ombe wa maziwa walionufaika na mafunzo bora kutoka kwetu. Kwa sasa, anafuga ng'ombe 10 na hukamua mara 3 kwa siku, akipata takribani lita 214 za maziwa. Kwa bei ya 1,500 TZS kwa lita, anaingiza 321,000 TZS kila siku—zaidi ya milioni 9...
Sikutegemea kuona tangazo linalo akisia kurudi kwa ubaguzi wa rangi, miaka 64 baada ya uhuru.
Tangazo linalotembea mitandaoni linasoma ubaguzi.
ASIANS AND ARABS ONLY NEED APPLY.
Haya ni matusi kwa CCM.
Nilikuwa naongea na mshabiki mmoja kindakindaki wa Yanga akaamua kufunguka kwa nini wanaonekana kummind sana Mzee Steven Mguto na Bodi yake ya Ligi.
Nilimsikia jamaa akisema, "kwanza jina lake tu linatukebehi, kila tukitaja MGUTO sisi tunasikia UTO UTO UTO!".
Nikamjibu kwa hilo tu wanastahili...
Mwaka 2015 Hayati Kingunge Ngombale Mwiru au Komredi kama Mwalimu alivyopenda kumwita, alisema hadharani kuwa CCM imekata Pumzi.
Leo miaka kumi baadae inaonekana kabisa kumbe CCM ilipokata pumzi mwaka 2015, haikuzinduka na kumbe maisha yake yanategemea kupumulia mashine.
Kumbe woga wa CCM kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.