Kile kitendo cha kueleza kuwa alikuwa anafanya mawasiliano ya kila mara na Humphrey ni circumstantial evidence kuwa huyu mzee anajuwa wapi alipopelekwa Polepole.
Kama walijadili juu ya Polepole kupinga uchaguzi kufanyika bila reforms.Waliongea juu ya Poepole kuacha kazi sababu ya maovu ya CCM...
Taasisi ya Mwalimu Nyerere (Mwalimu Nyerere Foundation) imeandaa mkutano wa mazungumzo kuhusu amani, umoja, haki na maendeleo ya watu, mkutano unaotarajiwa kufanyika Alhamisi ya Januari 22 mwaka huu (2026)
Akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam leo, Jumatatu Januari 19.2025...
Najua utasema kuwa kesi iko mahakamani tusiizungumzie.
Kesi ya uongo kabisa hata "mjinga" wa sheria analiona hilo!
Umezungumzia waliouawa D29?Wanatendewaje haki?
Umezungumzia utekaji? Mauaji? Nepotism? Wizi wa kura? Bandari? Mbuga zetu? Rasilimali zetu kuuzwa kiholela in general....etc etc...
Nakusalimu Mzee,
Ulichokisema siamini kimetokana na umri wako kuwa mkubwa kwamba unapoteza uwezo wako wa kuchanganua mambo.
Ukimuuliza mtanzania yeyote mbali na Hawa wauwaji kwamba siku ya October 29,2025 kulikuwa na tukio Gani kubwa nchini?
Utajibiwa kuwa, October 29 ilikuwa siku rasmi ya...
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF), Mzee Joseph Butiku, amesema matukio ya vurugu, uharibifu wa mali na vifo vilivyoripotiwa wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, yameitumbukiza Tanzania katika hofu na kupoteza misingi ya amani ambayo taifa...
Mnaweza mkadhani mna TISS Taasisi ya kujivunia
Sasa Idara kama TISS ambayo ni Jicho la Nchi, imejaa Machawa,
Wenyewe, Utendaji kazi wao UNATEGEMEA NGUVU TU .
Yaan ni mpaka wamkamate MTU A, wampe Kichapo mpaka awaambie MTU B Yuko wapi.
Mnaóna ya OKTOBA 29, Tuliwakamata BILA wao kutarajia...
We are Coming !!... wee siulisaliti Polepole , mtoto wako alokuamini sana !!.
Sasa , Polepole ataishi, ila wewe Utaulipia Usaliti huo.
Unataka kujifanya wee ni Msuluhishi mzuri eehh kuzidi wasomi na Ma Prof wa Nchi hii?, Unapenda Uenyekiti ?? Uenyekiti wa malupulupu??
Sasa nakuhakikishia...
Heshima uliyojijengea miaka 85 ya umri wako umeiharibu ndaninya dakila 10 za press yako.
Ulaaniwe milele na Nyerere akupige kofi huko aliko.
Nyote semeni AMEN.
Mkikaa kimya wakati kijana wenu katekwa, ina maana mmemsaliti. Na huenda nyie ndio mmetoa taarifa za uwepo wa Polepole TZ.
Hasa mzee Butiku, Watanzania tunafikiri Wewe ndiye umemsaliti Polepole. Na kimya chako kinazidi kutu fanya tuendelee kuamini hivyo.
Ndio Furaha yako ?! .
Naona kale ka Asili ka 'Kizanaki' , ukigeugeu na Kujipendekeza ndiko kamekuharibia.
Hautakubalika tena na Watanzania , Wala hautaheshimiwa Tena na Watanzania , TUMEKUFUTA na kukuondoa katika Orodha ya Wazee Makini wa TAIFA hili.
Wewe Sasa ni Mmoja ya Wazee wahuni ...
Butiku jana ulisema Jeshi lisiingilie Siasa, Ila Hakuna namna kwenye this terror regime.
Tulitaka tuvuke huu mkwamo kwa kutunza heshima yenu, ila ameshindwa kuwacontrol hawa wahuni wake na wamekuwa rougue
Kama Butiku hutakemea hili, usitushauri kwa litakalokuwa
"Gloves are off". We need to...
Mzee bila shaka ulitumia muda mwingi sana kwenye Vyombo vya habari kuhubiri MABADILIKO MABADILIKO .
Ulipuuzwa, na wakakuambia Mzee umeshastaafu, kama kwa kutulia.
Mzee Butiku kama ni mema ya Nchi hiii umeyala ya kutosha Hadi Sasa unzeeka
Sina uhakika kama unaweza kua na miaka 10 ya kuendelea...
Nini Hatima ya Waliotekwa na Kufungwa na kuuwawa?.
Nini Hatima ya Vyama vya siasa hasa CHADEMA ?
Ni Hatima ya Tundu LISSU ?.
Nini Hatima ya Walio, wanao na watakaoendelea kuikosoa Serikali Kwa namna mbovu inavyoendesha Nchi?.
Nini Hatima ya Wazalendo ambao wanahitaji kuhakikisha...
Kwa kifupi tu Andrew Nyerere mwenye Ubini na ihalali wa yale majengo alishamaliza kila kitu na ndiyo maana familia ya ndani ya Baba wa Taifa wapo kimya.
Butiku asitake kula matapishi yake tuko imara kwa data aliwahi kuiponza Taasisi ya TPO leo anaona maslahi ya wanaye ni bora kuliko Taifa hafai...
Tunakuomba sana Mzee Butiku utukome.
Mlishindwa kuwadhibiti Mafisadi na sasa wamewameza hadi nyie huku wakiharibu maisha yetu sisi Watanzania wengi na vizazi vyetu vinavyokuja.
Tunakuomba acha kutumika kufanya propaganda na upotoshaji. Watanzania tuko very serious mwaka huu kulikomboa hili...
GT
Waafrika tunashida kubwa sana vichwani mŵetu that is why hatusongi mbele njaa inatufanya tuwe vigeugeu.
Mzee Butiku alishawahi kukemea hadharani dhidi ya viongozi makanjanja na wahuni akisema vijana tusiwe waoga hata kama uhai wetu utakuwa hatarini.
Ninachokiona wahuni wamemweka mfukoni...
Wakuu,
Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere (MNF), Joseph Butiku, amewataka Watanzania kupuuza taarifa zilizotolewa jana Oktoba 4, na mtu aliyejitambulisha kama Kapteni Tesha wa Jeshi la Wananchi (JWTZ), aliyetoa wito wa jeshi kuchukua hatua dhidi ya Serikali.
"Nilimuona ana ndevu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.