mzee butiku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI BUTIAMA: Mzee Butiku asema tangu awali hakukubaliana na Uhuni na Uendawazimu wa Humphrey Polepole

    Mzee Butiku asema, Ngoja nimwite Kwa lugha ya Mtaani Muhuni au Mwendawazimu na pengine si mwenzetu,
  2. R

    JamiiForums Tanzania Mzee Butiku, Warioba na wengine wa busara, taasisi za dini zenye busara , inusuru Tanzania mkiwa hai. Kama inavunjwa katiba ya chama ya nchi itakuwaje

    1. Kama mtu anayetegemewa kugombea urais anavunja katiba ya chama chake, akipewa nchi na kipindi cha mwisho, nawahakikishia ataivunja vipande vipande katiba ya nchi 2. Kama kaita Katiba ya Nchi Kijitabu, kwenye urais wa kupata kwa ngekewa, kipindi cha lala salama itakuwaje? 3. Butiku, Warioba...
  3. Five55

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mzee Butiku: Rais Samia alizidiwa nguvu na wajumbe baada ya Mzee mmoja mstaafu kutoa hoja, lile haikuwa takwa lake alilazimishwa

    Mzee Butiku ambae ni mwenyekiti wa Kigoda cha Mwl Nyerere, Hivi majuzi akihojiwa Nyumbani kwake Butiama mkoani Mara na kituo maarufu cha ITV katika kipindi Cha DKT 45, Ametoa maoni yake kuhusu Uteuzi wa Mgombea Urais wa CCM kwa uchaguzi mkuu wa OCT 2025. Pamoja na mambo mengine Mzee Butiku...
  4. Richard

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ushauri: Rais Samia ajiuzulu Uenyekiti abakie Rais ili CCM ijisafishe na Mzee Kikwete asimamishwe uanachama kwa muda kupisha usafi

    Mzee Joseph Butiku jana kaeleza uzuri jambo lilotokea tarehe 19 Januari 2025 kwamba Rais Samia alisita kukubali hoja ya kwamba jina lake lipitishwe kinyemela. Nimekwishaliongelea hili la kumtayarishia njia mtu fulani ambae sasa yajulikana wazi kuwa ni mwanae mzee Kikwete Ridhiwani Kikwete kuja...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mzee Butiku, Balozi Polepole na wengineo mnaogopa Kumtaja huyo Mzee aliyeharibu Mchakato Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma kuwa ni Kikwete?

    Hakuna asiyelijua hili kuwa Kikwete ndiye aliyelazimisha Utaratibu wa CCM usifuatwe Mkutano Mkuu CCM Dodoma na sijui ni kwanini mnaogopa Kumtaja na badala yake Mnafumbafumba tu na hata huko Kufumba kwenyewe wenye Akili Kubwa tumeshamjua kuwa mnayemsema hapa ni Rais Mstaafu na Rais wa sasa Kivuli...
  6. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Naliomba kwa unyenyekevu JWTZ wamlinde Mzee Butiku na Mzee Warioba

    Alipohoji Gwajima , Amenusurika kutekwa, Kafungiwa Kanisa, Wamefreeze accounts zake za Bank. Alipohoji MPINA, amekatwa Jinakwa Maneno ya RAIS. Alipohoji MH POLEPOLE, Dada yake ametekwa, anatafutwa ni wapi alipo, naamini wakimpata tu ni Ama Kumuua au kumpa Kesi kubwa. Amewahi Ongea Mzee...
  7. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Butiku: Hata Rais Samia anajua umuhimu wa Reforms kabla ya uchaguzi. "Kwa hali ya sasa kuna rushwa, wizi, haki haipo!"

    Haya ni maneno ya Mzee Butiku: Kwamba Samia anayajua, kumbe shida nini? Kama angependa kuendelea hata kama kina M7 si aseme tu? Ya nini kuitisha chaguzi viini macho? Ya nini kusumbua watu magerezani au hata kuwa na vyama vya siasa?
Back
Top Bottom