Habari wakuu pia poleni kwa majukumu na migangaiko ya kila siku.
Dhumuni la kuleta uzi huu ni kwamba siku ya juzi Jumapili, niliweza kutapeliwa pesa na mtu ambaye nilikutana naye kwa ajili ya biashara ndipo aliweza kunitapeli karibu laki 5 taslim, kwa sura huyo mtu namfahamu na ilikuwa ni mara...