Kaka yangu amechomwa Moto kwa kudhaniwa ni mwizi

Dr Msweden

JF-Expert Member
Nov 3, 2020
2,632
9,429
Inasikitisha sana Kaka yangu ni mlemavu wa akili (ana downs syndrome) hata kumuangalia kwa macho unajua kabisa huyu mtu kichwani hakuna kitu.

Majuzi alitoroka nyumbani tulimtafuta bila mafanikio ghafla tukapewa taarifa kuwa ameitiwa mwizi amechomwa moto, amekamatwa mzima mzima wala hawajampiga wamemfunga mikono wamemvisha tairi wamemchoma moto 😭😭😭😭😭 .

Waliofanya tukio ilo wanajulikana ni sungusungu na wananchi wengine, baadhi wamekamatwa wamepelekwa police lakini jioni wameachiwa huru wanadunda.

🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
 
Humu jf Imeibuka tabia ya ndugu wa wezi Kuja humu kulia huruma pale ndugu zao wanaposhughulikiwa kwa torati ya mtaa.

Ifike wakati Huu upumbavu ukataliwe kwa nguvu zote,
Haiwezekani sungusungu wamsingizie ni mwizi wkt hao hao Sungu Sungu Ni raia wa eneo Hilo Hilo.

Haiwezekani mtaa uwe na mlemavu wa akili na wananchi na viongozi wote wasimjue.

KESI za kuchomwa Moto hivyo Mara nyingi Ni zile ready handled.

Mtoa mada kajipange
 
Dah! Pole sana mkuu! Hili suala la watu kujichukulia sheria mkononi linawaathiri watu wengi wasio na hatia.
Ifike mahala tujichukulie TU sheria mkononi

Vyombo vya sheria vishakuwa sehemu salama sana kwa wahalifu.

Wanapelekwa leo,ndugu mnaenda kuwatoa kesho kwa hongo.
Na wizi unaendelea kama kawaida.

Honestly Mwaka Jana nmeibiwa, ila kilichoandikwa polisi Ni upuuzi wkt ushahidi uko wazi na baadhi ya Mali wamekamtwa nazo.

Wewe Kama wewe unafanyaje hapo?

Binafsi,
Kwasasa hao Wezi wangu nadili nao mtaa kwa mtaaa na baadhi Yao tayar washaanza kuonja joto la karma yangu artificial nnavyowanyoosha kimya kimya mmoja baada ya mwingine.
 
Inasikitisha sana Kaka yangu ni mlemavu wa akili ana (downs syndrome) hata kumuangalia kwa macho unajua kabisa huyu mtu kichwani hakuna kitu,majuzi alitoroka nyumbani tulimtafuta bila mafanikio ghafla tukapewa taarifa kuwa ameitiwa mwizi amechomwa moto ,amekamatwa mzima mzima wala hawajampiga wamemfunga mikono wamemvisha tairi wamemchoma moto 😭😭😭😭😭 .
Waliofanya tukio ilo wanajulikana ni sungusungu na wananchi wengine ,baadhi wamekamatwa wamepelekwa police lakini jioni wameachiwa huru wanadunda.

🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

Binadamu kama wanyama wa mwituni tu. Hii ni katika karne ya 21 kwenye zama za 5g.

No wonder nyungu na matango pori lilikuwa dili, gonjwa likawa vita vya uchumi na chanjo tusizokuwa na ujuzi nazo ikawa ni upigaji.

Hii ndiyo Tanzania ya yule mwamba akiiita ni yake.

Tuyaonayo haya mbona ni nusu shari?
 
Inasikitisha sana Kaka yangu ni mlemavu wa akili ana (downs syndrome) hata kumuangalia kwa macho unajua kabisa huyu mtu kichwani hakuna kitu,majuzi alitoroka nyumbani tulimtafuta bila mafanikio ghafla tukapewa taarifa kuwa ameitiwa mwizi amechomwa moto ,amekamatwa mzima mzima wala hawajampiga wamemfunga mikono wamemvisha tairi wamemchoma moto .
Waliofanya tukio ilo wanajulikana ni sungusungu na wananchi wengine ,baadhi wamekamatwa wamepelekwa police lakini jioni wameachiwa huru wanadunda.

Mob justice ni kitu kibaya lakini kinacho sababisha hayo yote ni watu kukosa Imani na jeshi la police, pale wa napo wapalekea wahalifu nakuachiwa papo papo baada ya kuchukua rushwa
 
Mtoa mada usitake kutuhamisha goli.

Binafsi natembea Sana usiku, na Mara kibao nishakamtwa na hao hao sungusungu usiku wa manane.
Ila sijawai dhurika kwa namna moja ama nyingine.

Nnachokifahamu ktk operation zao usiku hutembea na viongozi kadhaa wa mtaa.

Wakishakukamata,
Hawa viongozi wa mtaa wanakuhoji wewe Ni Nani, unaishi wapi, unafanya shughuli gan, unaelekea wapi, unatoka wapi.

(Ukiwa ni mtu mwema kwny jamii na huna historia ya uhalifu, hakuna anayehangaika na wewe)

Ayo unayosema Kwamba wamemvamia tu na ghafla kuanza kumchoma TU kibiriti hayawezekani kabisa.

Vinginevyo uyo ndugu yenu ana historia ya uhalifu hapo kabla.

Na Kama Ni suala la uhalifu,
Hapo ninyi Kama ndugu Kuna namna mmefeli kwny suala Zima la malezi

Nchi haiwezi kuendelea kwa kukumbatia wezi na vibaka wanaoishi kwa kutegemea utelezi wa jasho la watu.

Wezi na Vibaka wanaorudisha maendeleo ya watu nyuma, na wanapaswa kushughulikiwa kwa nguvu zote.
 
Nnachokifahamungi ktk operation zao za usiku hutembea na viongozi wa mtaa.

Wakishakukamata,
Hawa viongozi wa mtaa wanakuhoji wewe Ni Nani, unaishi wapi, unafanya shughuli gan, unaelekea wapi, unatoka wapi.

(Ukiwa ni mtu mwema kwny jamii na huna historia ya uhalifu, hakuna anayehangaika na wewe)

Ayo unayosema Kwamba wamemvamia na kuanza kumchoma TU kibiriti hayawezekani kabisa.

Vinginevyo uyo ndugu yenu anahistoria ya uhalifu hapo.

Na Kama Ni suala la uhalifu,
Hapo ninyi Kama ndugu Kuna namna mmefeli kwny suala Zima la malezi
Aisee
 
Humu jf Imeibuka tabia ya ndugu wa wezi Kuja humu kulia huruma pale ndugu zao wanaposhughulikiwa kwa torati ya mtaa.

Ifike wakati Huu upumbavu ukataliwe kwa nguvu zote,
Haiwezekani sungusungu wamsingizie ni mwizi wkt hao hao Sungu Sungu Ni raia wa eneo Hilo Hilo.

Haiwezekani mtaa uwe na mlemavu wa akili na wananchi na viongozi wote wasimjue.

KESI za kuchomwa Moto hivyo Mara nyingi Ni zile ready handled.

Mtoa mada kajipange
,(majuzi alitoroka nyumbani tulimtafuta bila mafanikio,)
Umesoma vizuri na kuielewa hiyo paragraph? Uyu alitoroka akaenda sehemu tofauti ambayo hajulikani na mtu yoyote..unaijua downs syndrome?

NB:hata Mimi nilikuwa nafurahia mwizi akipokea kipondo na wewe siku ndugu yako akipigwa moto na unajua fika sio mwizi ndio utajua kwanini serikali inakataza raia kujichukulia sheria mkononi
 
Humu jf Imeibuka tabia ya ndugu wa wezi Kuja humu kulia huruma pale ndugu zao wanaposhughulikiwa kwa torati ya mtaa.

Ifike wakati Huu upumbavu ukataliwe kwa nguvu zote,
Haiwezekani sungusungu wamsingizie ni mwizi wkt hao hao Sungu Sungu Ni raia wa eneo Hilo Hilo.

Haiwezekani mtaa uwe na mlemavu wa akili na wananchi na viongozi wote wasimjue.

KESI za kuchomwa Moto hivyo Mara nyingi Ni zile ready handled.

Mtoa mada kajipange
Hii sheria ya kuua mnaodhania ni Wezi ometungwa lini?
 
Mtoa mada usitake kutuhamisha goli.

Binafsi natembea Sana usiku, na Mara kibao nishakamtwa na hao hao sungusungu usiku wa manane.
Ila sijawai dhurika kwa namna moja ama nyingine.

Nnachokifahamu ktk operation zao usiku hutembea na viongozi kadhaa wa mtaa.

Wakishakukamata,
Hawa viongozi wa mtaa wanakuhoji wewe Ni Nani, unaishi wapi, unafanya shughuli gan, unaelekea wapi, unatoka wapi.

(Ukiwa ni mtu mwema kwny jamii na huna historia ya uhalifu, hakuna anayehangaika na wewe)

Ayo unayosema Kwamba wamemvamia tu na ghafla kuanza kumchoma TU kibiriti hayawezekani kabisa.

Vinginevyo uyo ndugu yenu ana historia ya uhalifu hapo kabla.

Na Kama Ni suala la uhalifu,
Hapo ninyi Kama ndugu Kuna namna mmefeli kwny suala Zima la malezi

Nchi haiwezi kuendelea kwa kukumbatia wezi na vibaka wanaoishi kwa kutegemea utelezi wa jasho la watu.

Wezi na Vibaka wanaorudisha maendeleo ya watu nyuma, na wanapaswa kushughulikiwa kwa nguvu zote.
Acha roho mbaya sheikh.. haya jamaa kashapoteza ndugu yake na ww umefaidika nn sasa!!
 
Mzee mbona unatoa povu sana nimekwambia bro ana tatizo la akili tangu kuzaliwa kwake ni tahira

NB:hata Mimi nilikuwa nafurahia mwizi akipokea kipondo na wewe siku ndugu yako akipigwa moto na unajua fika sio mwizi ndio utajua kwanini serikali inakataza raia kujichukulia sheria mkononi
 
Mtoa mada usitake kutuhamisha goli.

Binafsi natembea Sana usiku, na Mara kibao nishakamtwa na hao hao sungusungu usiku wa manane.
Ila sijawai dhurika kwa namna moja ama nyingine.

Nnachokifahamu ktk operation zao usiku hutembea na viongozi kadhaa wa mtaa.

Wakishakukamata,
Hawa viongozi wa mtaa wanakuhoji wewe Ni Nani, unaishi wapi, unafanya shughuli gan, unaelekea wapi, unatoka wapi.

(Ukiwa ni mtu mwema kwny jamii na huna historia ya uhalifu, hakuna anayehangaika na wewe)

Ayo unayosema Kwamba wamemvamia tu na ghafla kuanza kumchoma TU kibiriti hayawezekani kabisa.

Vinginevyo uyo ndugu yenu ana historia ya uhalifu hapo kabla.

Na Kama Ni suala la uhalifu,
Hapo ninyi Kama ndugu Kuna namna mmefeli kwny suala Zima la malezi

Nchi haiwezi kuendelea kwa kukumbatia wezi na vibaka wanaoishi kwa kutegemea utelezi wa jasho la watu.

Wezi na Vibaka wanaorudisha maendeleo ya watu nyuma, na wanapaswa kushughulikiwa kwa nguvu zote.
Umeambiwa ana matatizo ya akili. Kwa tatizo hilo unategemea anaweza kujieleza vizuri akihojiwa? Hapo inaonekana hajajieleza vizuri na kwa vile reasoning ya masungungu ndio vile yakachukulia ni jeuri.
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom