mwisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nahisi kichefuchefu na uchafu kuoa mwanamke asie na bikra. Ntakuwa wa mwisho kuamini bikra haina maana kwenye ndoa

    Mbaya zaidi hujui ameshaliwa na wangapi kwa style karibia zote.. Hujui ametoa mimba mara ngapi Hujui watu waliopita nae Alafu aje kuniletea watoto alafu niwapende Siwezi Mtu ana makovu ya kusalitiwa alafu nije kumpa relief aaah neverrrrrr Kwa jinsi nilivyojitunza na uvulana wangu nahisi...
  2. JamiiForums Tanzania Eti wana Man Utd ni heri kubaki na Fletcher hadi mwisho wa msimu au kuletewa Ole Gunnar/Carrick?

    #GGMU #MUFC
  3. JamiiForums Tanzania Wito wa mwisho kwa Diaspora wetu Marekani. Its now or never, hakikisheni vyovyote vile Arrest Warrant inapatikana

    Tangazo rasmi kutoka Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania kuhusu Taifa hilo kuzuia visa za kuingia Marekani kwa Watanzania isipokuwa katika hali na mazingira machache wakati Serikali ya Samia imepambana sana kuzuia hili ni kielelezo tosha kuwa Marekani imeamua kujiweka kando na huyu muuaji wa...
  4. JamiiForums Tanzania Wanaua mmoja wanaongezeka maelfu ya wananchi wanazidi kuchochea moto siku yao ya mwisho imefika

    Wanaua mmoja wanaongezeka maelfu ya wananchi wanazidi kuchochea moto siku yao ya mwisho imefika. Kutekwa na kuuawa kwa watanzania kote nchini hakujasaidia bali kumeongeza mzozo na upinzani zaidi soon tutawafurusha wauwaji.
  5. JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa shekhe Kishk anasema maskini wa mwisho peponi atapewa bikra walau wawili(2)

    Kumbe huko peponi kutakuwa na maskini kama huku duniani. Hili sikulijua mie wallah. Kwahiyo Allah atakuwa na ubaguzi? Aidha ameongeza kusema kuwa hata zile bikira zitakuwa zinarudi kila wanapofanya tendo.
  6. JamiiForums Tanzania Kuna mada inasema ukiweza kutoka kwenye sayari,nyota ukatafuta mwisho unaweza usipate na kama umepata mwisho wake umerudi nyuma

    Wanasayansi kujikita zaidi kwenye quantum technology za hesabau mpaka sasa kwenye nyota yetu solar system tumefikisha sayari zaidi ya 5900 na zengine zikiendelea kutambuliwa . Hii yote ni mapinduzi ya hesabu na teknolojia ambazo wagunduzi wamechangia. Kuna kitu mpaka sasa kina wapa maulizo...
  7. JamiiForums Tanzania Kataa unafiki wa SMS za Mwisho wa Mwaka: Kataa Drama za Dakika za Mwisho

    Bado masaa machache tu kuaga mwaka wa 2025 na kuukaribisha mwaka 2026, wakuu ndipo simu zinapoanza kulia kwa fujo. Ghafla, watu waliokuwa kimya na jeuri kwa siku 364 na zaidi wanakumbuka uwepo wako. Unakutana na liujumbe refu: “Kama nimekukosea nisamehe,” “tusameheane kabla ya mwaka kuisha,”...
  8. JamiiForums Tanzania Ukikaribia mwisho wa maisha, utagundua vitu vyote ulivokuwa unapigania havina maana. Familia na afya ndo vyenye maaana zaidi

    Kwanza nimpongeze alieandika huu uzi: https://www.jamiiforums.com/threads/kuna-umri-ukifika-vitu-vingi-vinakosa-maana-isipokua-pesa-familia-na-afya-njema.2324044/ ukwel ni kwamba katika ujana, unaweza kudhan una vitu vya msingi sana vya kupigania kama mali, fedha, wanawake lakini kwa sisi...
  9. JamiiForums Tanzania KERO Kimara Mwisho asubuhi kuna Foleni kali isiyotembea Dar nzima ikasome!

    Hizi semi zimekuwa kero mara dufu. Kulikuwa na trafiki mmoja pale Mbezi Mwisho anazuia haya malori hadi saa 3 au saa 4 ndio anayaachia sasa sijui wamemtoa. Sasa hivi vyuma havitembei. Hapa kuna nyororo imeanzia Kimara Mwisho hadi Suka. Bila kucontrol hizi lori hata mkijenga barabara 5 kila...
  10. JamiiForums Tanzania Mpaka sasa serikali feki awamu hii inatafuta Amani na kujisafisha mpaka mwisho wa madaraka utakapofikia

    Ukiingia kwenye vyombo vya habari vyao hakuna hata waziri mmoja anazunguza uwaziri wake kilicho muweka ,wote wanazunguka makanisani,misikitini na kuwatetea wasanii na raisi kuhusu amani. Hata siku moja sijawasikia wakisema Haki ,wao wapo na kuzungumza amani tu.
  11. JamiiForums Tanzania Tukubaliane watanzania/watanganyika, tukiwasema watawala hukumu ni KUTEKWA NA KUPOTEZWA, MWISHO WATABAKI NA Baba na Mama MKWE zao?

    Juzi nilienda kwa Ba MKWE BAHATI MBAYA ushuzi uliniponyoka Pyuuuuuu! Niliumia Kuona Baba na Mama MKWE wananyanyuka sebuleni na kwenda nje kujikagua HARUFU ya ushuzi itatokea kwenye nguo za nani? Wao walijiisi yakuwa wao ndio walio Jamba mbele yangu hakika waliona aibu. Baada ya dakika mbili...
  12. JamiiForums Tanzania MTV: Mwisho wa enzi

    Mtandao maarufu wa Muziki Duniani, MTV unajiandaa kufunga Chaneli zake za mwisho za kimataifa za video za muziki Desemba 31 mwaka huu hatua inayohitimisha rasmi enzi ya zaidi ya miaka 40 ya ushawishi mkubwa katika utamaduni wa vijana na tasnia ya burudani. MTV, iliyoanzishwa mwaka 1981, ilikuwa...
  13. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Tabora lawahakikishia ulinzi na usalama kuelekea sikukuu za mwisho wa mwaka

    Jeshi la polisi mkoani Tabora limewahakikishia wananchi ulinzi na usalama katika sherehe za Krisimasi na Mwakampya.. Akizungumza na Waandishi wa habari leo Disemba 24, 2025 Kamanda wa polisi mkoa wa Tabora,Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa polisi, Richard Abwao amesema jeshi la polisi litaendesha...
  14. JamiiForums Tanzania Tukielekea mwisho wa mwaka umetembea kwa miguu umbali mrefu kiasi gani ?

    Tunapoelekea ukingoni mwa mwaka 2025, kila mmoja wetu ana kumbukumbu inayomfanya acheke au kutikisa kichwa. Kwangu mimi, tukio lisilosahaulika ni safari ya miguu iliyoanza kwa mkasa na kuishia kwa ushindi. Baada ya kupoteza simu yangu na kukwama bila njia mbadala ya usafiri, nilijikuta...
  15. JamiiForums Tanzania Ndoto ilitotabiri Mwisho wa Japani Kabla ya Hiroshima na Nagasaki: Sehemu ya pili

    Tuendelee na sehemu ya pili na ya mwisho. Kupanda kwa Prince Fumimaro Konoe kuelekea kilele cha mamlaka hakukuwa matokeo ya mapinduzi, bali mwendelezo wa urithi wa kifalme uliovaa suti ya siasa. Sasa mwezi Juni 1937, kwa mapendekezo na maneno mazuri kutoka kwa mlezi wake Saionji Kinmochi, Konoe...
  16. JamiiForums Tanzania Ndoto ilitotabiri Mwisho wa Japani Kabla ya Hiroshima na Nagasaki: Sehemu ya kwanza

    Vitabu vya historia vinatuambia kuwa kabla ya Hiroshima pamoja na Nagasaki kupigwa na pigo basi walikuwa wameshachapika vya kutosha, yaani kabla ya zile bomu mbili kushushwa kulikuwa na hali mbaya sana ndani ya Japani. Raia wengi walifahamu kuwa Japani pamoja na Mfalme Hirohito hawatoboi mbele...
  17. P

    JamiiForums Tanzania Miaka 12 na Renata: Safari ya Mapenzi iliyofika mwisho ghafla....

    Miaka 12 ya mapenzi, visa na mikasa nikiwa na Renata Sehemu ya kwanza Wadau kwa kuwa ni mwisho wa mwaka na nimeanza likizo nikaona bora niweke bandiko langu hapa jukwaani kuhusu mahusiano yangu yaliyodumu kwa miaka 12 na mwanamke aliyeitwa Renata lakini hatukufikia kwenye ndoa. Unajua...
  18. JamiiForums Tanzania Kuelekea mwisho wa mwaka 2025: Wapi umefanikiwa, umefeli wapi na umejipangaje kwa mwaka mpya 2026?

    Je, katika huu mwaka unaoelekea ukingoni 2025 ulijiwekea lengo na limetimia au limeshindwa kutimia kwa sababbu gani? Je, umejipangaje kwa mwaka mpya 2026?
  19. G

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hakunaga Ukombozi wa siku Moja, kupoteza pambano sio kushindwa vita. Leo wao wameandamana barabarani badala ya kambini

    Ukisoma historia za ukombozi hazikuwa za siku Moja Wala mwaka mmoja. Sina haja kutoa mifano Iko wazi hata uhuru wa Tanganyika haukutafutwa siku Moja . Jambo Moja watawala wanapaswa wajue huwezi kushindana na wananchi wako mwenyewe ukawashinda. Leo Majeshi yote yamejikuta yanaandamana dhidi ya...
  20. JamiiForums Tanzania Uwekezaji Msasani mwisho

    Habari maboss Nyumba ya Zamani inauzwa msasani mwisho. Nyumba inatazama barabara ya mtaa. Mtaa wa pili kutoka BAHARINI Sqm 425 Document offer ya Kazi BIlion 1 KWA hitaji la kuona eneo Nipigie simu nikupeleke ukazungumze na wahusika wakuu. 0754693556
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…