Mwanaume unaishi na mwanamke kimapenzi, mara baada tu ya kuingia chuo kikuu kutoka kwenu Ushetu.
Mwanaume , huyo mwanamke akifa ukiwa naye anazikwa kwao, maana si mkeo bali ni mzinzi mweznio.
Mwanamke , ukiumwa utakuja kusalimiwa na wazazi wako kwa mzinzi mwezio ama utasema ulikuwa unaishi...