Mapenzi ya U-Kimada, mwisho wake mchungu!

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
17,148
Reaction score
26,483
Mwanaume unaishi na mwanamke kimapenzi, mara baada tu ya kuingia chuo kikuu kutoka kwenu Ushetu.
Mwanaume , huyo mwanamke akifa ukiwa naye anazikwa kwao, maana si mkeo bali ni mzinzi mweznio.
Mwanamke , ukiumwa utakuja kusalimiwa na wazazi wako kwa mzinzi mwezio ama utasema ulikuwa unaishi mwenyewe?

Haijalishi miaka mtakayoishi, mmoja wenu akichepuka, si kosa wala dhambi bali anaendeleza alichokianzisha na ukimfumania huna haki ya kuulizia maana si mkeo, ni rfiki yako wa kimapenzi.
 
Concubine kafiwa na mume wa mtu, anazingua eti ni mume wake , wakati yeye ni mchepuko tu
 
Mwanaume unaishi na mwanamke kimapenzi, mara baada tu ya kuingia chuo kikuu kutoka kwenu Ushetu.
Mwanaume , huyo mwanamke akifa ukiwa naye anazikwa kwao, maana si mkeo bali ni mzinzi mweznio.
Mwanamke , ukiumwa utakuja kusalimiwa na wazazi wako kwa mzinzi mwezio ama utasema ulikuwa unaishi mwenyewe?

Haijalishi miaka mtakayoishi, mmoja wenu akichepuka, si kosa wala dhambi bali anaendeleza alichokianzisha na ukimfumania huna haki ya kuulizia maana si mkeo, ni rfiki yako wa kimapenzi.
ok.🐒
 
Back
Top Bottom