mwisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Barabara mwendokasi kimara Hadi mbezi mwisho ina zaidi ya mwaka haitumiki?

    Barabara ya mwendokasi kutoka kimara mwisho pale around Hadi mbezi mwisho inatimiza mwaka haijafunguliwa zaidi bajaji na pikipiki kupitia barabara hizo. Hali hii inafanya mwendokasi itembee barabara mchanganyiko na kusababisha ikae foleni wakati barabara zake tunaona malori yamegeuza sehemu...
  2. JamiiForums Tanzania Mara ya mwisho Simba kutwaa ubingwa wa Ligi hali ilikuwa hivi

    Mara ya Mwisho 5imba kutwaa ubingwa wa Ligi kuu Tanzania bara mambo yalikuwa hivi -; 1.Laizer alikuwa na jiwe la Tanzanite, amelificha mahali anasubiri kuuza 2.Magufuli alikuwa mgombea Urais CCM 3.Zuchu alikuwa hajajiunga Wasafi 4.Mwana FA alikuwa hajaingia kwenye siasa 5.Billnas alikuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Mechi ukitolea pesa lazima ushinde kwa magoli mengi mwisho ya siku mnaweza kuwa sawa na mpinzani wako kwa point!

    Haishangazi kufunga goli nyingi zote ni hesabu za mwisho wa mwaka hizo goli nyingi kwa kipindi ndio wakati wake ukipewa hela ya watu lazima ufungwe 6 mpaka 7 ili mwisho wa ligi watu wahesabu magoli!......biashara wazi wazi!
  4. JamiiForums Tanzania Wakuu mwenye uelewa na hii fursa nasikia mwisho Feb 28 mwezi huu watu wanakuwa matrilionea

    Ilianza Bitcoin enzi hizo sarafu po chini sana watu na fursa wakaruka nayo... Sasa hivi sarafu haishikiki walioiwahi enzi hizo wanakula kuku kwa mrija. Ikaja binance nakumbuka 2017 late yake ilikuwa 0.007 kwa coin kwa sasa ipo 500+ usd KWa sasa naona watu wanatamba na hii #pai, na ni kitu...
  5. JamiiForums Tanzania Kitakachotokea Dakika za Mwisho Kabla ya Vita vya Nyuklia (Nuclear War): Marekani Chini ya Shambulizi Kuu kutoka Urusi

    Katika enzi ya kisasa ambapo uhasama wa mataifa makubwa unazidi kushamiri, hatari ya vita vya nyuklia haijawahi kuwa kubwa zaidi. Marekani na Urusi, mataifa mawili yenye silaha za nyuklia zenye uwezo wa kuangamiza ustaarabu wa binadamu mara kadhaa, hujikuta katika mgogoro mkubwa wa kijeshi...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Mbezi kwa Msuguli, Kibanda cha Mkaa, Mbezi Mwisho… tuna wiki mbili tunapata maji machafu ya bomba

    Uchafu wa Maji ya Bomba kwa Wakazi wa Mbezi kwa Msuguli, Kibanda cha Mkaa, Mbezi Mwisho Kwa Yusuph na Mbezi Mazulu. Sisi wakazi wa maeneo ya Kimara kwa Msuguli, Kibanda cha Mkaa, Mbezi Mwisho Kwa Yusuph, na Mbezi Mazulu tunakumbwa na changamoto kubwa ya maji machafu kutoka kwenye mabomba. Kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Ijue Katiba ya CCM: Malengo ya CCM, Nguvu za CCM, Vikao vya CCM, na Mamlaka ya Mkutano Mkuu wa CCM, Uamuzi Wake ni wa Mwisho!, Final & Conclusive!.

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la Leo. Kwa vile huu ni mwaka wa Uchaguzi, na mimi mwandishi wako wa makala hizi, zaidi ya kuwa ni mwandishi na mtangazaji wa kujitegemea, pia ni mwanasheria na wakili wa kujitegemea, na kwa muda mrefu, nimeandika sana kuhusu katiba ya...
  8. JamiiForums Tanzania Mtoto kamwaga ugali, nyumba yote wanakwenda kulala njaa

  9. W

    JamiiForums Tanzania Hit za mwisho walizotoa malegend wa bongo flava, baada ya hapo walirudi level za kawaida na wengine hawakuvuma tena

    Inspector Haroun - Asali wa Moyo Juma Nature - Dance with Me Professor Jay - kipi sijasikia Dully Sykes - Bongo fleva Ray C - Unanimaliza Feruz - Ndege mtini Mwana Fa - Mfalme Ngwea (Rip) - Nipeni dili Chege na Temba - mkono moja Marlaw - Pii pii AY - Leo remix Mr Blue - Baki na mimi TID na...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Nategemea hii ndio itakuwa story ya mwisho kuileta humu kumuhusu huyu mwanaume

    Habari zenu wana JF Nimekuwa nikileta story ya huyu mwanaume ni kama huu ni uzi wake wa 4 ama wa 3 nikihitaji ushaurii kuhusu mahusiano yetu mimi na yeye.. ninafikiri Leo Hii ndio itakuwa mara ya mwisho kumjadili humu na maamuzi nitayafaya kupitia huu uzi wa Leo Hii ( kuachana ama kubaki nae )...
  11. JamiiForums Tanzania Propaganda za Israel zinaenda kufikia mwisho

    Kwa miaka mingi wamekua wakiishi kwa propaganda, kuonesha wao ni special sana na kuonesha wao ni "Victims". Blaming everything and ashamed with nothing. Wame exadurate maafa ya WWII as if hakuna binadamu wengine wamekufa, zaidi ya wakristo mil. 60 waliuwawa, ila hawa hawasemwi. Like nothing...
  12. JamiiForums Tanzania Hivi kwa nini, Watu wenye IQ kubwa ushindwa kueleweka kwenye kwenye jamii yenye IQ ndogo na mwisho wa siku utumika kama msaada mbeleni?

    Kuna mada nilikuta wakilalamika kuhusu Elon musk post zake.Ingekuwa maskini au Godluck mchoma gari tungesema kachanganyikiwa sababu hana kuona mbele. Mfano Elon Musk huyu jamaa anaweza kueleza kitu ambacho utakubari ila kikifa utasema ni teknolojia imekuwa. Historia inasema kulikuwa na watu...
  13. JamiiForums Tanzania Nataka niwatupie roho mchafu, pepo wa mafarakano kwenye chama fulani, wavurugane mpaka mgombea wao asuse hatua za mwisho Lissu apite kiurahisi

    Nadhani wengi mtasema Mimi ni mchawi. Hapana Mtu wa Mungu anaweza kutumia malaika kuwapa mission (kazi) na wakaifanya vizuri. Pia mtu wa Mungu anaweza kuwaamuru mapepo waende ndani ya mtu au ndani ya kikundi cha watu na kwenda kufanya vurugu au jambo lolote. Mungu ametupa mamlaka juu ya vitu...
  14. JamiiForums Tanzania Kuna nini mpaka sasa hatuna rasmi Matokeo ya mwisho kutoka Mlimani City?

    Nilijua tu kuwa Mfumo ukiuingilia lazima Sarakasi za kumpata Mtu sahihi zitakuwa, kwani siyo Siri wanamuogopa LAT.
  15. N

    JamiiForums Tanzania Siku hizi hakataliwi mtu, unaombwa pesa mwisho wa siku unakimbia mwenyewe

    Mwanaume akikufata kutaka uwe nae kama ujampenda ata usijisumbue kumkataa kumvunja moyo na kauli za oh sio type yangu sijui nina mtu wangu blah blah blah!! Siku izi mwanaume akikutaka alaf ujampenda we mkubalie tu alaf siku ya pili muombe pesa! Tena pesa ya maana 😀 wanaume wengi awapendi...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Wanaokosoa chawa na unafiki wao

    Mimi ni Mtanzania ninayeuamini Utanzania wangu na kuiamini Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 1977 toleo 2005, ibara 08(1) a, b, c, d. Naiamini ilani ya CCM 2020–2025: Ukurasa wa 01, ibara 04 Ukurasa wa 161–168 Ukurasa wa 08, ibara 10 na 11 Naiamini Sheria ya Vyama vya Siasa...
  17. JamiiForums Tanzania Channel ten..rekebishen tangazo la mkutano WA ccm mwisho mmeandika tar mwezi Mwaka 2024Siku ya pili ♌

    Polen najua n MAKOSA ya kibinadamu Si mbaya tukayasahihisha Nimeangalia tangazo linasema kutakuwa na mkutano WA kamati kuu ccm Dodoma ANGALIEN mwishoni mmeandika tar mwezi sawa Mwaka 2024 badlaa ya 2025 Naamini tutaona tofauti Thx
  18. JamiiForums Tanzania Uwezekano wa 1 USD kufika 2600+ Tanzania Shilling kabla ya mwisho wa mwezi, Technical analysis.

    Kwanza kabisa tumeshuhudia Tzsh ikigain momentum over the last end of the last year, lakini maswali ya kujiuliza Je ni economic factors zilizofanya Tzsh kufika about 2300/= per 1$ au ni circulation factors Kwa maana ya bank kuinject more $ on circulation, na fact nyinginezo ambazo ni mbali na...
  19. JamiiForums Tanzania MWISHO WA KUHAMIA DODOMA

    Wadau hivi ni lini mwisho wa taasisi zote kuhamia Dodoma nimewamiss wagogo plus mji sasa hivi umekua mzuri na miundo mbinu ya kutosha.
  20. JamiiForums Tanzania Wanandoa kununiana mwisho inatakiwa kuwa siku ngapi?

    Wakuu,juzi kati wife aliniletea kidomo nikamlamba makofi. So tangu siku hiyo mpaka leo ni kama week ya pili kaninunia. Je kununiana inafaa kuwa mwisho siku ngapi?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…