mwisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Yohanna Mbatizaji (John The Baptist) ndie aliekuwa nabii wa mwisho na hakuna alietokea tena kuwa nabii. Kuwa makini wewe Mkristo na manabii wa mchongo

    Usiwaite watu nabii kisa wengine wanawaita. Usijiunganishe na mdhabahu yao maana hujui ni manabii wa miungu ipi. Siku njema
  2. JamiiForums Tanzania Afya ya akili ni kitu kizito sana. Huyu dogo aliruka na kumfata tiger ambapo ndio ilikuwa mwisho wa maisha yake. Bongo tungesema ametumiwa pepo.

    Reports zinaonesha kijana alikuwa na changamoto katika afya ya akili na alikuwa katika dosage ya vidonge ya kumsaidia kutuliza akili yake. Kwa bahati mbaya huku kwetu mtu akianza kuonesha dalili za kuchanganyikiwa tunamtenga, alafu ikizidi eti tunampeleka kwa waganga, at the end anabaki kuwa...
  3. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania “Nikipatikana nimekufa, waambie ni Sarah”: Shahidi Muiruri afichua mazungumzo ya mwisho na Marehemu Tob Cohen

    Kauli nzito iliyotolewa na aliyekuwa Mbunge wa Gatundu North, Patrick Kariuki Muiruri, mbele ya Mahakama Kuu imeibua tena maswali kuhusu hofu alizokuwa nazo mfanyabiashara wa Uholanzi Tob Cohen kabla ya kupatikana amefariki mwaka 2019. Akitoa ushahidi Jumatatu, Oktoba 12, 2026, katika kesi ya...
  4. JamiiForums Tanzania Mwisho wa maisha ya tajiri Reginald Mengi ulianzia hapa kwenye kufuatilia na kuwataja mafisadi papa?

    Angalizo: Zingatia alama ya kuuliza. Ndugu msomaji usitoe hukumu na kuwachafua watu. Hili ni swali siyo tamko (declaration). Anaandika mdau wa kuitwa Diplomacy Arena: Kwenye kitabu chake "I Can, I Must, I Will" sura ya 11 "Mafisadi Papa na Mimi". Reginald Mengi ndiye aliyebuni neno "Mafisadi"...
  5. A

    JamiiForums Tanzania TCRA: Vocha za kukwangua mwisho Januari 2027

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetangaza mpango wa kuondoa matumizi ya kadi za kukwangua za muda wa maongezi ya simu na kuhamia katika mfumo wa kidijitali wa kuongeza salio, ikiwa ni sehemu ya juhudi za Serikali za kuhamasisha uchumi usiotumia fedha taslimu. Kwa mujibu wa taarifa...
  6. JamiiForums Tanzania Messi aagwa Argentina, afunga bao na ku-assit katika mechi ya mwisho

    Lionel Messi ameaga soka la kimataifa akiwa na Argentina kwa hisia baada ya kucheza mechi yake ya mwisho dhidi ya Benin, huku mastaa wenzake wakimsifu kwa mchango wake mkubwa katika historia ya timu hiyo, akifunga ukurasa wa safari ya kipekee iliyomfanya kuwa mmoja wa wachezaji wakubwa zaidi...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Hivi kuondoa machinga ni maeneo yote Dar ES laam yote kasoro Mbezi Mwisho(Luis)?.

    Ningependa kupata ufafanuzi juu ya kichwa cha habari cha mada tajwa. Maana niliona tangazo kua machinga kukaa barabarani Wilaya ya Ubungo mwisho ni tar 29 mwezi wa tisa, lakini mpaka sasa machinga wamejaa maeneo ya Mbezi Luis, na wengine wanaboresha mabanda yao na mengine yapo juu ya mitaro, na...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Maneno ya mwisho ya Tundu Lisu, leo 28.9.2026

    MANENO YA MWISHO YA TUNDU LISU, leo: “Waheshimiwa Majaji miaka 60 iliyopita, kuna mhaini mwingine alifungwa kifungo cha maisha nchini Afrika Kusini, kabla hajahukumiwa alisema maneno yafuatayo ambayo naomba kuyafanya yawe maneno yangu leo, "I have fought against white domination and I have...
  9. JamiiForums Tanzania Serikali ilidhani itafanya "Cheap bargaining" na Lissu huko mbele ya safari kwenye kesi. Mwamba kakaza mpaka mwisho!

    Hii serikali ya Samia ilidhani yatatokea yale ya Mbowe kuwa unaambiwa una kesi ya kujibu kisha unanyoosha mikono na kukimbilia ikulu! Mwamba kasema yupo tayari kufa na hakuna kesi ndogo kwenye kesi ya uhaini. Kasema wazi ni ama una hatia unyongwe au hauna hatia uachiliwe. Hakuna cha mbadala...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mbezi Mwisho: Suala la kuwapunguzia nafasi Wafanyabiashara waliopo ilikuwaongeza wengine linatuathiri Wafanyabiashara wa chakula

    Tumekuwa tukiona juhudi za kuboresha maeneo ya biashara kwa wafanyabiashara wadogo kwa kuwekwa vibanda vya maturubai na wakati mwingine kuezekwa kwa bati kwa gharama zinazotolewa na wafanyabiashara wenyewe. Hili ni jambo zuri na la kupongezwa kwa kuwa linasaidia kuboresha mazingira ya biashara...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi kutokana na estimation mwanaume kuoa mwisho miaka mingapi?

    Kumbe kuwa na wimbi la vijana kuwa pressured kuoa. Ukisha fika in your late 20s na early 30s kuna kuwa kama kunakijicho fulani kinakukodolea, utaoa lini? Mmi ndo namalizia my 20s ila ndo kama hata sifikirii kabisa, na siwazi sasa sijui si angalii reality inapaswa kuonwa? Je, ndugu zangu naona...
  12. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu yaunga mkono kujumlishwa kwa matokeo ya Urais Kitaifa. Hii ina maana gani kwa mpiga kura?

    Mahakama Kuu imeamuru kuwa kujumlisha na kuthibitisha matokeo ya uchaguzi wa urais katika ngazi ya kitaifa(National tallying Centre) ni halali, na hivyo basi imetupilia mbali kesi iliyowasilishwa na Seneta wa Busia, Okiya Omtatah, iliyopinga mchakato huo. Mahakama imeeleza kuwa masharti ya...
  13. JamiiForums Tanzania Ni series gani ambayo ilinoga sana mwanzoni lakini mwisho ilikuja kuboa?

    Wakuu, Mimi Squid Game ya kwanza niliipenda sana. Ya pili pia walijitahidi, lakini ya tatu ni mbovu sijawahi kuona! 🤦‍♂️ Sikupenda kabisa jinsi Steringi 'Gi Hun'. Yaani baada ya mateso yote na safari ndefu, alifariki kizembe vile. Vifo vya mwanzo viliumiza kwa sababu vilikuwa na maana...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Chumvini litakuwa jambo langu la mwisho kufanya hapa duniani

    Hiki kitu nimeshindwa kufanya kabisa kwa wanawakee kadhaa zaidi ya mara tano, kwa wanaoweza kwenda huko sijui wanatumia mbinu gani. Basi bhana wiki iliyopita kwenye pitapita zangu mitaa ya majengo hapa mkoani Arusha nikakutana na kabinti kamoja kazurizuri karefu kembamba , nikamsaundisha...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Hivi akitoe Samia akalifuta Kanisa Katoliki hapa Tanzania, kitatokea nini? Au ni kelele za muda, mwisho mnasahau?

    Nawaza tu lakini. Hivi akitoe Samia akalifuta Kanisa Katoliki hapa Tanzania, kitatokea nini? Au ni kelele za muda, mwisho mnasahau?
  16. JamiiForums Tanzania "'Milango ya Mauti Imefunguliwa': Nabii Genoveva Atoa Onyo la Mwisho kwa Kajala Masanja Kufanya Toba"

    Nabii Genoveva, anayejitambulisha kama mtumishi wa Mungu, ametoa ujumbe mzito wa kiroho akidai kuwa mwigizaji na mfanyabiashara mashuhuri nchini Tanzania, Fridah Kajala (Kajala Masanja), yuko katika hatari ya kupoteza maisha muda si mrefu iwapo hatatubu madhambi yake na kutengeneza mfumo wa...
  17. JamiiForums Tanzania Wenzangu mnaishije na jirani anayefungulia sabufa hadi mwisho

    Salam wakuu . moja kwa moja kwenye mada Kama kichwa cha habari kinavyojieleza Nyie wenzangu mnawezaje kuishi na jirani ambae ana tabia ya kufungulia bufa hadi mwisho Maana hapa naona kama uvumilivu unaelekea kunishinda kama kuongea nishaongea sana lakini naona kama vile sijui...
  18. JamiiForums Tanzania Lissu akubali yaishe Afunga Ushahidi tarehe 23 Majumuisho ya mwisho Final Submission

    Tulichokua tumetabiri sisi wengine aina ya Mashahidi wa Lissu katika kujenga kesi yake ndiyo kilichotokea na Leo Tundu Lissu ameomba kufunga Ushahidi hivyo kesi pande zote ushahidi umefungwa na Jumatano tarehe 23/09/2026 ni Final Submission kwa pande zote Final Submission inaweza kuwa ya...
  19. JamiiForums Tanzania Wale wanaosema uchawi haupo, naomba mtusaidie kuitafsiri hii video. Tazama hadi mwisho

  20. JamiiForums Tanzania CHADEMA wakija kukubali huu upumbavu ndo utakuwa mwisho wao

    1. Samia ni muuaji. Hakuna aliyemchagua awe Rais. Yeye na hilo genge lake analotawala nalo ni haramu. Nchimbi naye alikuwa haramu. Ndejembi naye ni haramu. Kwa sasa nchi haina uongozi ulio halali na uliopewa ridhaa ya kuongoza na wananchi. Watu wanaomuita huyo Samia ‘Rais’ wanakera sana na ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…