mwingine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kuhamisha TIN number kutoka mkoa mmoja hadi mwingine

    Habarini wakuu, kama uzi unavyojieleza naomba kujua utaratibu wa kuhamisha Tin number ya biashara kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine, natanguliza shukrani
  2. JamiiForums Tanzania Hivi kuna Mtu Mwingine mwenye Bahati Mbaya na Sifa za Kiasili za Makabila ya Watani zake Kama Mimi?

    1. Wahaya: Wapenda Tamu zote za Kibaiolojia 2. Wanyiramba: Viburi sana 3. Waha: Wabishi tukuka 4. Wanyaturu: Wezi mno 5. Warangi: Wachawi 6. Wakerewe: Walafi 7. Wanyamwezi: Washamba sana Mzanaki Mimi nina bahati mbaya nao mno hawa Watani zangu kwani Wazanaki ndiyo Kabila pekee nchini...
  3. JamiiForums Tanzania Mfumo mwingine wa Patriot wapigwa tena

  4. W

    JamiiForums Tanzania Alikiba unakera sana wakati mwingine!

    Umetoa bonge la wimbo, 'Mahaba'. Ni booonge la wimbo, HAKUNA UBISHI. Views zinapanda tu bila kushuka mwezi wa tatu huu sasa. Ingawa shooting si bora (kwa mtazamo wangu lakini watu wameipenda hivyo hivyo). Badala ya kutulia kidogo kwa muda ili utuletee kitu zaidi ya kile au ikishindikana basi...
  5. JamiiForums Tanzania Kuna watu wanachukulia poa suala la Kelele, hii ni kero, NEMC wametukumbusha furaha yako isiwe kero kwa mwingine

    Binafsi natoa pongezi nyingi kwa Baraza la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kwa uamuzi wao walioufanya hivi karibuni, inawezekana ukaonekana kama wamekosea lakini siku zote binadamu huwa si rahisi kukubali mabadiliko. Mabadiliko yoyote yale huwa yanaambatana na changamoto kadhaa...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Baleke anayetakiwa kusajiliwa Ulaya ni huyu huyu aliyefunikwa na Ruvu Shooting au mwingine?

    Huyu mshambuliaji wa Simba kidogo kidogo anapotea kwenye game kama ndugu zake Makambo, Kisinda, Miquisone, Moses Phiri, etc Hii timu ya Ulaya inataka kumsajil akafanye nini kama hapa anashindwa?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mwanaume kumtegemea mwanamke kiuchumi ni ujinga mwingine

    Naandika haya hii asubuhi kwa sababu ya tukio nililokutana nalo asubuhi stand, nimetoka zangu ubaruku- Mbeya narudi zangu jombe, nikiwa naingia kwenye gari ya abiria nimekutana na rafiki yangu yupo na dada mmoja ambaye wayback alikuwa mteja alinijumlishia sana michele, baada ya stori za hapa na...
  8. JamiiForums Tanzania Chawa hakai kwa maiti, binadamu akifa chawa huamia kwa mwingine

    Watawala hawajui hiki kitu. Wanawakumbatia sana Chawa pasipo kugundua siku wakifa wale Chawa huangalia binadamu mwingine mwenye hali ya kuwakaribisha anahamia huko. Kama huamini Rais wa sasa ajidai amekufa kwa mwezi mmoja tu aone hawa alio nao sasa watasemaje akiwa amekufa. Wasiwasi wangu ni...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Kama Mwalimu anaweza safiri mpaka mkoa mwingine kwenda kuipigia kura CCM, tutegemee nini kwa wananchi wengine?

    Habari Jf ,Ni aibu kuona nchi kama Tanzania baada ya miaka 60 ya Uhuru bado ina changamoto nyingi sana ambazo hazitakiwa kuwepo ,kibaya zaidi bado CCM inaendelea tu kuwepo madarakani. Kwa kifupi CCM haitakiwi kuendelea kuongoza hii nchi kutokana na muda iliopata lakini haifanikiwa kuondoa...
  10. JamiiForums Tanzania Nguvu ya umma Chadema tuliyoitengeneza 2005-2015 imeyeyushwa na ubinafsi wa Mbowe

    Chadema tulikuwa na uwezo wa kutamka nchi haitatawalika kwa uovu na ufisadi na CCM walinywea. Leo hii CCM wamewapanda Watanzania vichwani na wanawakebehi na kuwapuuza kwa kuwakamua tozo kibao na kodi zinazokandamiza huku wao wakijichotea pesa za umma wanavyotaka. Wanaiba kama wanaiba karanga...
  11. JamiiForums Tanzania Ikiwa nitasema uongo ili kuokoa maisha yangu au ya mtu mwingine , Je nitakuwa nimetenda dhambi?

    Kuna nyakati katika maisha yetu inatubidi au utokea tuseme uwongo ili kuzuia hatari mbalimbali pamoja kuokoa maisha yetu au ya watu wengine. Je kufanya hivyo ni dhambi na ni chukizo kwa mwenyezi Mungu? Mithali 6:16-17 inasema 16Kuna vitu sita ambavyo Yehova anachukia;Naam, vitu saba...
  12. JamiiForums Tanzania Mwenye kujua mkali mwingine wa kuzalisha songs za EDM kama Alan walker

    Kwa wale wapenzi wa nyimbo za EDM kuna mkali mwingine anazalisha mangoma kama ya Alan Walker anitajie maana ukiacha ngoma za kusikitisha ngoma nyingine ninazozielewa ni EDM..
  13. JamiiForums Tanzania Ninayempenda, ananipenda ila hataki tuwe wote. Mwingine ananipenda, nampenda pia ila sitaki tuwe wote

    Nipo njia panda kwa kweli.... Naombeni ushauri, hasa hasa huyo wa kwanza Picha kwa hisani ya Google
  14. JamiiForums Tanzania Ezekiel Wenje: Magufuli asingekubali ufisadi huu wa awamu ya sita (Ripoti ya CAG)

    Mbunge wa zamani wa nyamagana (chadema) EZEKIEL WENJE amesema kama Magufuli angekuwa hai asingekubali ufisadi huu ulio tajwa kwenye report ya CAG. Wenje aliyekuwa waziri kivuli wa mambo ya nje ameosesha kubwa kwa sasa Chadema wanaona kubwa Magufuli alikuwa bora sana kwenye kupambana na rushwa...
  15. JamiiForums Tanzania Tanzania haijapate Mwinjilisti Mwingine mwenye nguvu kitaifa kama Moses Kulola sababu aliondoka bila kukabidhi mtu kipawa alichokuwa nacho

    Viongozi wote wakubwa wenye vipawa vikubwa kwenye Biblia kabla kuondoka duniani walikabidhi vipawa vyao kwa watu wengine specific.Musa alikabidhi kwa Joshua na Eliya alikabidhi kwa Elisha na baada ya kukabidhiwa wakabidhiwa walifanya maajabu makubwa Moses Kulola alikuwa Mwinjilisti...
  16. JamiiForums Tanzania Nikutongoze tukubaliane, halafu nikukute na mwanaume mwingine uzuge zuge! Labda kama sio Makide mimi

    Nina mchumba angu wa tangia 2014. Ni single mother wa watoto watatu bado mbichi hajachujuka sana, ni kaunta Bar jina kapuni. Siku moja tulitofautiana nilikaa caunta nikala bia sana, namjua kitabia ukimpa upenyo anakuibia. Nilimpa Cash akanipa bia. Sikudai chench before hand. Akanipa larger...
  17. JamiiForums Tanzania Mwanaume, acha tabia ya kutembea na Wake za watu.

    Wanaume, Nipo hapa kuwakumbusha kukaa mbali sana na Wake za watu. Leave them alone. Haijalishi ni yeye ndio amekupenda au anakusumbua sana. Unapaswa KUACHANA NAE. hata mazoea nae yakatae. Bado kuna Wanawake wengi warembo/wazuri wako single na wapweke. Na wanahitaji sana Upendo, Mapenzi na...
  18. JamiiForums Tanzania Zumaridi ni mungu asiye na mbingu yake hadi anaenda kwenye mbingu ya Mungu mwingine

    Zumaridi ameudhihirishia umma wa Watanzania kuwa yeye ni mhitaji wa tiba ya afya ya akili. Zumaridi amekuwa akijibasibu kwamba yeye ni mungu na amekuwa akipata wafuasi ambao wanamuamini na kumheshimu. Pia wapo ambao wamediriki kuachia shughuli zao zote za kimaendeleo ili tu wamtumikie Zumaridi...
  19. JamiiForums Tanzania Miaka miwili bila Hayati Magufuli; Nimekutana na Magufuli mwingine

    Ninajua machache juu ya Hayati Rais Magufuli ni imani yake kwa Mungu lakini kwa uchache huo yatosha kusema Hayati Rais Magufuli alikuwa ni mwamini, sasa kiundani zaidi basi ni Mwenyezi Mungu pekee anayeweza kuhukumu na kujivunia kiumbe chake kama alivyofanya kwa mtumishi wake Ayubu,ninapokumbuka...
  20. JamiiForums Tanzania Msimlinganishe mtoto na mtoto mwingine

    Kumlinganisha mtoto na mtoto mwenzake ukionesha kasoro aliyonayo au jinsi mtoto mwingine anavyofanya vizuri humuumiza kihisia na kumfanya akate tamaa ya kufanya vyema kwa kuwa ataanza kuona aibu au kuhisi umehamisha upendo anaostaili kupendwa yeye na kumpa huyo unayeona bora kwa wakati huo. Ona...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…