mwingine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Watanzania tunapenda kutapeliwa. Hivi sasa Kuna mtu yupo busy anacheza kindege, mwingine analipia app ya Mange, mwingine anawachangia CHADEMA

    Sijui ni kukosa elimu ya fedha au ni ujinga tu, hivi inakuwaje mtu na akili zako ufilisike kisa kucheza kamali? Inamaana huwezi kuacha au mnalogwa au ni laana? Watu wamekuwa vichaa kisa kamali lakini watu bado🤣 Ukiona unafilisika kisa kamali si uache Kuna haja gani kuchukua mkopo bank ili...
  2. JamiiForums Tanzania Dorothy Semu: Maridhiano si kushinikiza upande mmoja kuukubali mwingine

    Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), Dorothy Semu, amesema taasisi hiyo itaendelea kuunga mkono majukwaa yanayowezesha mazungumzo, uvumilivu, ushirikishwaji, kuheshimu tofauti za kisiasa na utatuzi wa migogoro kwa njia za amani na kisheria. Amesema TCD inaamini demokrasia imara...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mara: Wakili Keneth Roja Nkiko Mbaroni kwa mauaji ya mpenzi wake kisa wivu wa mapenzi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara linamshikilia Wakili Keneth Roja Nkiko, mwenye umri wa miaka 28 na mkazi wa Mwigobero, kwa tuhuma za kumuua Magreth Hamisi Richard, mwenye umri wa miaka 22, mkazi wa Mukendo, Manispaa ya Musoma, akidaiwa kutenda tukio hilo kutokana na wivu wa kimapenzi. Kwa mujibu...
  4. JamiiForums Tanzania Wazo lako linaweza kuwa Mwanzo wa Mafanikio ya Mtu mwingine

    Hoja kubwa si kwamba “usimwamini mtu yeyote,” bali ni kwamba wazo pekee halitoshi kulinda thamani yake. Mwanadamu anaweza kuona wazo la mwingine, kuliboresha, kulitekeleza haraka, kupata mtaji, au kulipeleka kwenye soko kabla mwenye wazo hajafanya hivyo. Kuna kosa ambalo watu wengi wenye...
  5. JamiiForums Tanzania Mali na madaraka isikufanye upoteze , udhulumu haki ya mwingine . Kesho una la kujibu mbele ya Allah .

    Mali na madaraka ni vitu vya kupita, tamaa ya mali na madaraka isikufanye udhulumu , ushiriki au kushadadia haki ya mwingine ya kuishi ikipokwa. Kila mja ni mchunga na mbele za Mwenyezi Mungu ataulizwa alichokichunga.
  6. JamiiForums Tanzania Ushindani: Je, Ni Lazima Kumshinda Mwingine?

    Shule zilitufundisha kushindana. Kujua umefaulu na hivyo ufurahi kwa kiwango gani ilikuwa lazima ujue kwanza umekuwa wa ngapi kwenye orodha ya mwalimu. Thamani ya alama zako ilitegemea alama walizopata wengine. Nyumbani, tulikokulia, nako maelekezo mengi yalilenga kutulinganisha na wenzetu...
  7. JamiiForums Tanzania Wakati mwingine Suluhisho huanzia kwa Mtu usiyemjua

    Kuna kipindi unafika mahali unaona si busara kukaa kimya, lakini pia si lazima ueleze kila kitu kinachokupitia. Kwa sasa niko kwenye hatua ya kujipanga upya. Sina ajira ya kudumu, lakini ninaendelea kutafuta namna ya kujenga kipato changu mwenyewe. Kuna mambo kadhaa ninayafanyia kazi, na...
  8. JamiiForums Tanzania Tofauti na Mama nani mwingine ambaye alikuwa anaruhusiwa kutoa hicho Kitambaa kwenye TV

    Wakuu Tofauti na Mama nani mwingine ambaye alikuwa anaruhusiwa kutoa hicho Kitambaa kwenye TV
  9. JamiiForums Tanzania Ufunuo: Ninafadhaika Kuona kwamba Mtu mwingine anaenda kupotezwa

    Ipi hivi wakuu kuna kuanzi mimi mwenyewe au mtu mwingine, kutakua na watu wawili watasaidiana katika kutekeleza unyama/ukatili dhidi ya haki ya binadamu kuishi. Mtu huyo kimuonekano ni anaafya njema sana na nikama alikua na maisha mazuri na pengine hakua akiishi nchini bali nchi zenye uchumi...
  10. JamiiForums Tanzania Liwalo na Liwe. Nadhani leo inaweza kuwa mwisho. Naona imefikia hatua ambayo nakosa uvumilivu. Naweza kumpatia mwingine

    Inawezekana hata ile asubuhi kusema gari haiwaki battery imekufa kabisa ilikuwa ni mbinu na alianza tengeneza mazingira. Huyu demu nina miezi naye miwili tu. Yaani 2 months. Mbali na sisi kutumiana. Maana tumeshanyanduana sana. Hakuna faida nyingine tumepeana zaidi ya wakati flani aliomba...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Msaka uteuzi chawa mwingine huyu hapa

    Eti hakuna haja ya katiba nyingine
  12. JamiiForums Tanzania Je, wajua Tanzania ina Makamu wawili wa Rais? Mmoja ni halali na mwingine ni batilifu hadi Septemba 4 ndipo anakuwa halali. Rais na VP Sio Wabunge!

    Wanabodi Je wajua kuwa hapa tunapozungumza, Tanzania tunao Makamu wawili wa rais?,kati ya hao wawili,mmoja ni halali hadi tarehe 4 September, na mwingine ni batili kwa ubatilifu hadi tarehe 4 September ndipo anakua halali! Kwa mujibu wa barua ya kujiuzulu ya Dkt. Nchimbi aliwasilisha barua...
  13. JamiiForums Tanzania CHADEMA chagueni mwenyekiti mwingine, Makosa ya uhaini yamemkosesha Lissu sifa ya kuwa kiongozi

    Ibara ya 132(5)(c) inasema misingi ya maadili ya viongozi wa umma/chama/kikundi/taasisi inapiga marufuku mienendo au tabia inayomfanya kiongozi aonekane hana uaminifu, anapendelea, si muadilifu, mhaini au anahusika na kuchochea rushwa au vurugu. Kwa maana hiyo Tundulisu hafai kuendelea kuwa...
  14. JamiiForums Tanzania Je, kuna mtanganyika mwingine mwenye ujasiri?

    Kwa kweli kuamua kuacha mikate na siagi na kuamua kutoka kwenye himaya ni kitendo kitakatifu sana. Wote waliobaki nikiwaangalia wamebaki wapiga zumari na machawa ... Unapopewa nafasi na kisha nafasi hiyo umewekwa kama kivuli ni sawasawa na Zombi tu hakuna tofauti... Katiba ya Kambarage ndio...
  15. J

    JamiiForums Tanzania KERO Kuna changamoto kubwa ya upatikanaji wa maji Musoma Mjini, yanapatikana usiku

    Kuna changamoto kubwa ya upatikanaji wa maji katika Manispaa ya Musoma Mjini. Maji yamekuwa yakipatikana zaidi nyakati za usiku na kwa kusuasua. Wakati mwingine tunakaa hadi wiki nzima bila kupata maji. Tunaomba mamlaka husika ichukue hatua kuhakikisha wananchi wanapata huduma ya maji kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Mfiwa aanguka kwa mshituko baada ya mdada kuja na watoto wawili msibani na Lawyer akionesha WILL kuwa mdada na watoto hao wamegawiwa ardhi na nyumba

    Mahusiano ni jambo zito sana ila ndoa ni nuclear ya mambo mazito mnoo. Wengi wapo na wenzi wao physically kwa sababu inambidi tu kutokana labda ndoa au watoto wanao share pamoja ila kihisia yupo na mtu mwingine kabisa mwanamke inamuuma kuwa walivitafuta pamoja na mmewe na hata kuna kipindi...
  17. JamiiForums Tanzania Kitambaa cheupe, sijui ni nini kinaendelea ila wakati mwingine Maisha ni Bahati tu

    Sijawahi kikutana na huyu Dada, ila nakumbuka tokea enzi za fastjet, mpaka ki grocery kwenye frame moja pale tabata, mpaka baa kubwa, Tabata, sinza na mbagala, Mara kuna ile microfinance, mara ile biashara ya Real estate na kadhalika. Sijui ila kimpangia mtu maisha sio vyema nadhani huyu Dada...
  18. JamiiForums Tanzania Kwahiyo mkeo ni baby mama wa mwanaume mwingine?

    Imagine kuunga tela kwenye familia ya mwanaume mwingine wakati unaweza kuanzisha familia yako Kwanini ujiingize kwenye Mgogoro usiokuhusu? Una haraka sana ya kuoa? Umekosa mwanamks wa kuanza nae mechi 0-0? Imagine wakati lile bao la mimba linaingia mkeo alivyomshikilia baba mtoto kwa nguvu ili...
  19. JamiiForums Tanzania Kukosekana Mtaa wa Ellys Hoteli - Nyegezi, MWAUWASA yasema "Miundombinu binafsi ya Mteja inaweza kuchangia kukosa"

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) imejibu hoja ya Mdau wa JamiiForums.com aliyeandika ~ Baada ya ziara ya Waziri wa Maji, Mtaa wa Ellys Hoteli Nyegezi na maeneo jirani tunaendelea kukosa maji MAJIBU YA MWAUWASA... Habari mdau wetu, pole kwa changamoto iliyojitokeza...
  20. JamiiForums Tanzania Kama hakuna ukweli mwingine hakuna anayepotoshwa

    CCM Kila siku huishambulia CHADEMA kuwa inapotosha watanzania. Lakini CCM haisemi ukweli ni upi dhidi ya huo wanaouona ni upotoshaji wa CHADEMA. Kama kinachosemwa na CHADEMA ni upotoshaji na CCM haina ukweli dhidi ya hicho kinachosemwa, basi CHADEMA haifanyi upotoshaji. Uongo hupingwa kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…