MakinikiA
JF-Expert Member
- Jun 7, 2017
- 5,698
- 7,884
Kwa kweli kuamua kuacha mikate na siagi na kuamua kutoka kwenye himaya ni kitendo kitakatifu sana.
Wote waliobaki nikiwaangalia wamebaki wapiga zumari na machawa ...
Unapopewa nafasi na kisha nafasi hiyo umewekwa kama kivuli ni sawasawa na Zombi tu hakuna tofauti...
Katiba ya Kambarage ndio iliyotufikisha hapa.....