Kwa sababu Rais kasema ni nzuri..Sasa kibwagizo kipya kinakuja...Eti hakuna haja ya katiba nyingine
Ukweli ni nini?Hadi leo sijaona kwa jicho la mwananchi wa kawaida ubaya wa katiba hii.Kwa sababu Rais kasema ni nzuri..Sasa kibwagizo kipya kinakuja...
Lipuuzi tu, inabisdi asimamie ukweliHuyu alipoteza uwaziri kwa kuwa a reasonable man ameona ukiwa mkweli is a waste of time
Wanasema "mwenye kupenda haoni...chongo huita...."Ukweli ni nini?Hadi leo sijaona kwa jicho la mwananchi wa kawaida ubaya wa katiba hii.
Hujaona kwa sababu hujaamua kufungua macho.Ukweli ni nini?Hadi leo sijaona kwa jicho la mwananchi wa kawaida ubaya wa katiba hii.
Macho yangu yameona uroho wa madaraka wa wanasiasa ndio driving force ya harakati hizi zisizolenga kujibu kiu ya maendeleo na ustawi wa wananchi.Hujaona kwa sababu hujaamua kufungua macho.
Tusiangalie nani ana uroho wa madaraka, bali tunawezaje kuhakikisha kwamba yeyote anayeshika madaraka hawezi kuyatumia kinyume na maslahi ya wananchi.Macho yangu yameona uroho wa madaraka wa wanasiasa ndio driving force ya harakati hizi zisizolenga kujibu kiu ya maendeleo na ustawi wa wananchi.
Katiba tuliyonayo ina uwezo wa kumnyoosha yoyote anayetumia madaraka vibaya na kama hisia zako zinakuongoza kuwa haiwezekani utakuwa hujaisoma kikamilifuTusiangalie nani ana uroho wa madaraka, bali tunawezaje kuhakikisha kwamba yeyote anayeshika madaraka hawezi kuyatumia kinyume na maslahi ya wananchi.
kuimba mapambio ya kusifu na kuabudu ni faida ujueBaada ya kuona wenzake wananeemeka kupitia mapambio. Na yeye amemua kuzihamishia akili zake zote tumboni ili arejeshwe kwenye uwaziri.
Kama katiba iko sawa, nijibuKatiba tuliyonayo ina uwezo wa kumnyoosha yoyote anayetumia madaraka vibaya na kama hisia zako zinakuongoza kuwa haiwezekani utakuwa hujaisoma kikamilifu
Sasa hapo una tatizo na katiba au una tatizo na watu wanaotakiwa kuitekeleza?Kama katiba iko sawa, nijibu
Nani anamwajibisha mwenye madaraka?
Nani anaweza kuchunguza bila kuingiliwa?
Nani anaweza kusema “hapana” bila kuogopa madhara?
Na mwananchi ana njia gani ya kupata haki pale taasisi za dola zinapomkosea?
Hapo ndipo udhaifu wa mfumo unapojitokeza.
Kwa hiyo, kusema Katiba “ina uwezo wa kumnyoosha yeyote” bila kuangalia uhuru wa taasisi, mgawanyo wa madaraka, uwajibikaji wa viongozi na uwezo wa wananchi kutumia haki zao kikatiba ni kuangalia maandishi ya Katiba bila kuangalia mfumo unaotekeleza maandishi hayo.
Katiba nzuri si ile yenye vifungu vingi vya kuzuia matumizi mabaya ya madaraka tu; Katiba yenye nguvu ni ile ambayo hata mwenye madaraka makubwa hawezi kujiweka juu ya sheria.
Ndiyo maana mjadala wa Katiba Tanzania haupaswi kuishia kwenye Katiba yetu inasema nini? Bali uende kwenye swali muhimu zaidi,
nani ana uwezo wa kumlazimisha mwenye madaraka kuitii Katiba pale anapoivunja?.
Hapo ndipo nguvu halisi ya Katiba inapopimwa.
Jibu yale maswali.Sasa hapo una tatizo na katiba au una tatizo na watu wanaotakiwa kuitekeleza?
Narudia tena umewahi kuisoma katiba?
Ukweli ni nini?Hadi leo sijaona kwa jicho la mwananchi wa kawaida ubaya wa katiba hii.