mwili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Shetani kama ni kidume avae mwili kama Yesu kristo aje Duniani alete hizi tabia zake za kipumbavu

    Hapo vip! Nimetafakari sana juu ya Shetani anavyojificha katika ulimwengu wa roho na kuwatenda watu kwa hila kwa maarifa na kujificha...hii ni ishara ya uwoga,udhaifu,unafiki na uwongo. Sidhani kama akija Duniani na kwa wanadamu walivyokuwa na hasira naye kama watamuacha ata akae kwa amani kwa...
  2. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Wengi hamjui protocol, Jana Rais hakutambulishwa,aliitwa mbele ahage mwili kwa taratibu za kiislamu na aondoke au azungumze,je mwanamke yupi uzungumza

    Kwanza tangu lini kwa uislamuni wakaaga maiti? Pili lini mwanamke wa kiislamu akazungumza kwenye msiba wowote? Hapo nipo utaamini yakuwa KATOLIKI sio dhehebu uchwara limejaa wered mnoooo! Yaani alichokitamka faza Kitima ilikuwa ni kumpa salamu yakuwa hawamtambui, Kwanza kusema atatambuliwa...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu ashiriki ibada ya kuaga mwili wa Kardinali Pengo

    DKT. MWIGULU ASHIRIKI IBADA YA KUAGA MWILI WA KARDINALI PENGO WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba Februari 27, 2026 ameshiriki ibada ya kuaga mwili wa Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo iliyofanyika katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Yosefu...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa dharura mtoto 2yr anajoto kali sana mwili mzima amechemka sana

    Msaada bint yangu ana umri wa miaka2 usiku huu mda huu kapata joto kali sana mwili mzima kachemka haswaa .hapa nimefanya kumpa panadol nakumpaka vitunguu swaumu mwili mzima Msaada wenu wakuu wa tiba ya dharura kushusha joto uku tukisubiria kukuche kumuwahisha hospital
  5. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Mazishi kwa kuchoma moto mwili wa marehemu( cremation)

    Wiki iliyopita niliongoza ibada fupi na zoezi la kuchoma mwili wa raia mmoja wa nje pale Makumbusho Zoezi lile lilinikumbusha mbali sana enzi za ujana wangu huko ughaibuni nilipokuwa nalifanya kwa raha zangu Japo kwasasa inachukuliwa kama njia ya kuokoa nafasi lakini haya ni mazishi ya kimapokeo...
  6. Naxria abdalla

    JamiiForums Tanzania Tatizo la mwili kuwasha

    Jaman kuna tatizo limenipata kipindi hiki huwa nawashwa kwenye mwili ikifka muda wa kulala ndio kabisa nazidi hii inatokana na nn jaman inanisumbua mno
  7. stakehigh

    JamiiForums Tanzania SARCOPENIA: Hali ya afya ya kupoteza misuli katika mwili

    Sarcopenia ni hali ya kupoteza misuli, nguvu, na uwezo wa mwili kufanya kazi kulingana na umri. Kitaalamu, kuanzia umri wa miaka 30 hadi 40, mwanadamu huanza kupoteza wastani wa asilimia 3 hadi 8 ya misuli yake kila baada ya miaka kumi. Hali hii isipodhibitiwa, husababisha udhaifu mkubwa...
  8. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Mwili wa mateka Ran Gvil wapatikana-Huyu ni mateka wa mwisho

    WOW. Mara tu mwili wa Ran Gvili ulipopatikana na ulipotambuliwa, wanajeshi wa Israeli walianza kuimba: "Ninaamini katika kuja kwa Masihi!" Sasa kazi tu imebaki ni kubonda magaidi wa Hamas na kuwapokonya silaha zao Rais wa Israeli Isaac Herzog: naye leo hii kasema; Ran Gvili, shujaa wetu...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mwili wa Mzee Edwin Mtei kuwasili nyumbani kwake Tengeru jioni ya leo Januari 23, 2026

    Mwili wa Mwasisi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Gavana wa kwanza wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Mzee Edwin Mtei (94), unatarajiwa kuwasili nyumbani kwake Tengeru, nje kidogo ya Jiji la Arusha, leo saa 11:00 jioni. Shughuli za mapokezi ya mwili huo, zitaongozwa na Makamu...
  10. E

    JamiiForums Tanzania Nina zaidi ya kilo 100 na nina umri wa miaka 19: Nifanyeje?

    Wakuu Nimejaribu kukimbia, kujibana sili chakula asubuhi wala mchana, nakula jioni ila uzito bado haupungui. Nifanyeje kukabiliana na hali hii?
  11. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Misheni ya siri ya kuusafirisha mwili wa Rais nyumbani - Rubani aifichulia BBC

    Takriban miaka 31 iliyopita, marubani wawili wa Kenya, Hussein Mohamed Anshuur na Mohamed Adan, walitembelewa na mgeni ambaye hawakumtarajia katika ofisi yao katika Uwanja wa Ndege wa Wilson, nje kidogo ya jiji la Nairobi. Ni mwanadiplomasia wa Nigeria, ambaye aliwaomba kumfanyia kazi nyeti na...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Misheni ya siri ya kuusafirisha mwili wa Rais nyumbani - Rubani aifichulia BBC

    Takriban miaka 31 iliyopita, marubani wawili wa Kenya, Hussein Mohamed Anshuur na Mohamed Adan, walitembelewa na mgeni ambaye hawakumtarajia katika ofisi yao katika Uwanja wa Ndege wa Wilson, nje kidogo ya jiji la Nairobi. Ni mwanadiplomasia wa Nigeria, ambaye aliwaomba kumfanyia kazi nyeti na...
  13. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Baada ya miaka 35, mwili hufika ukomo wa ukuaji

    Unapofika miaka 3, viungo vyote vya mwili hufika ukomo wa ukuaji hivo kila kitu kinaanza kurudi chini, mfano unachelewa kupona vidonda, dawa nyingi zinakukataa na maradhi huja mara kwa mara, kitakchokusaidia ni kama ulikua mtu wa mazoezi nyuma! kama ulikua na lifestyle nzuri ya mazoezi basi...
  14. R

    JamiiForums Tanzania YESU aliyezaliwa, hana baba wala mama, Ni Mungu aliyekuja Katika mwili wa mwanadamu

    Salaam ,shalom! Hii ni habari njema!! GOOD NEWS😅💥🔥🎉🎊 Asomaye na afahamu, Imeandikwa zamani vitabu vya unabii kuwa YESU ni mwana wa Daudi. Pia ukisoma kuzaliwa kwa YESU Mathayo chapter 1, ukoo wa YESU umeanzia huko Kwa Daudi, Mwana wa Ibrahim. Mathew 1:16. Yakobo akamzaa Yusuph mumeweMariam...
  15. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwili wa mwalimu John Ogutu aliyeuawa Tanzania uliishia wapi?

    Katika vurugu zilizotokea Octoba 29,2025 jijini Dar es Salaam miongoni mwa watu waliouawa ni pamoja na Mwalimu John Ogutu aliyekuwa akifundisha katika shule ya Msingi Sky. Baada ya mauaji hayo, mwili wake ulidaiwa kutoweka katika mortuary ulimokuwa umehifadhiwa na kupelekea mijadala kuibuka...
  16. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Mwili wa Jenista kuzikwa karibu na kaburi la Mume wake

    Mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama unatarajiwa kuzikwa leo katika Makaburi ya Senta B yaliyopo kijiji cha Ruanda, Halmashauri ya Mbinga mkoani Ruvuma, karibu na kaburi la mume wake, marehemu Leonard Mhagama. Mwili wa marehemu umewasili katika kijiji cha Ruanda tayari kwa...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hatimaye mwili wa Dainesy wapatikana hospitali ya Kivule, familia yapanga upya siku ya mazishi

    ‎Familia ya Dainesy, msichana wa miaka 28 aliyeuawa na polisi katika tukio la Oktoba 29 huko Tabata, imeupata mwili wa mpendwa wao baada ya siku kadhaa za sintofahamu na mateso ya kutokujua alipopelekwa. ‎Kupitia taarifa ya Esha Buheti, ambaye amejitambulisha kama ndugu wa marehemu, familia...
  18. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Polisi: MC Pilipili alifariki dunia kwa kipigo. Mwili ulikuwa na majeraha

    Nani kamuua mchekeshaji maarufu nchini Tanzania, Emmanuel Mathias, maarufu MC Pilipili pengine ndio swali linalogonga vichwa vya wengi kwa sasa. Nani amehusika kwenye mauaji yake na kwa nini amefikia hatua hiyo. Swali hilo linatokana na taarifa ya Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma kuthibitisha...
  19. W

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ndugu wathibitisha kuona mwili ya ndugu yao kwenye video ya Mwananyamala Hospitali

    Huyu kijana yupo kwenye ile video ya Mwananyamala ambayo wanasema sio video ya hapa Tanzania. Mwanamitandao Muna Love aliwahi kumpost kwenye ukurasa wake wa Instagram kuwa kijana huyo anatafutwa na alipigwa risasi Mabatini akidai hata ndugu yake amenuona, daaah. Tunachouliza miili ya hawa...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Video: Wananchi wazika nguo na viatu mara baada ya mwili wa marehemu aliyeuawa na polisi kutopatikana

    Wananchi, wakiwa na huzuni na mshikamano, walizika nguo za marehemu aliyeuawa na polisi baada ya mwili wake kutokupatikana ishara ya kuenzi utu na kupaza sauti ya haki.
Back
Top Bottom