mwili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GenuineMan

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Mkuu 2005 Ulisogezwa Mbele Kwa Mwezi Mmoja na Wiki Mbili

    Awali ulipangwa kufanyika tarehe 30 October 2005, Baadae ukasogezwa mbele hadi Tarehe 14 December 2005. Hiyo ni baada ya aliyekuwa Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chadema Kufariki, Jumbe Mohamed Jumbe. Kumbe Uchaguzi unaweza kusogezwa mbele.
  2. kyagata

    JamiiForums Tanzania Mke wa Mrisho Mpoto alikua na cheo gani mpaka mwili wake ubebwe na bus la jeshi?

    Nimeona mitandaoni huko,mwili wa mke wa mrisho mpoto umebebwa kwenye bus la jwtz. Je huyo marehemu alikua ni Askari wa jwtz?
  3. haszu

    JamiiForums Tanzania Mke wangu kakasirika kisa nimekataa asinipake mafuta mwili mzima

    Yani mapenzi muda mwingine shida sana, amekasirika kwa jambo la ajabu sana. yeye analazimisha kua asubuhi nikitoka anipake mafuta mwili mzima, ila mimi sipo comfortable kabisa. Anaona ni nini namficha na yeye ni mke wangu. Hili hapana
  4. W

    JamiiForums Tanzania Raia kupewa Haki Miliki juu ya Mwili na sura zao ili kupambana na Video na Sauti za kughushi

    Denmark iko mbioni kuwa nchi ya kwanza barani Ulaya kutoa haki miliki kwa watu juu ya sura, sauti na miili yao ili kukabiliana na deepfakes za AI. Kupitia pendekezo jipya linaloungwa mkono na karibu vyama vyote nchini humo, sheria ya hakimiliki itarekebishwa ili mtu aweze kudai haki juu ya...
  5. Now and then

    JamiiForums Tanzania Hivi haiwezekani huyu jamaa Sura ya kizee mwili wa kijana akawa amelazimishwa kutem tonge kama super black.

    Wakuu msikimbilie kupongeza kila kitu. Yawezekana Sura ya mzee mwili wa Kijana akawa amelazimishwa kutema tonge. Tujipe muda wakuu.
  6. Equation x

    JamiiForums Tanzania Mapenzi yanayo pendezesha mwili

    Wapo wanaoingia kwenye mahusiano na kuambulia kukongoroka mwili, mwili kupungua na kupoteza nuru. Na wapo wanaoingia kwenye mahusiano na mtu fulani, na kujikuta mwili unaongezeka na kuwa na mvuto mzuri. Sasa utajuaje, mpenzi uliyenaye anaweza kuufanya mwili wako unenepe na kuonekana mzuri...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Msiogope wauwao mwili peke yake bali mwogopeni Mungu auwaye mwili na roho ,Twendeni kwenye ibada pale pale ubungo maji injili lazima isonge mbele

    Injili lazima ihubiliwe kwa viumbe wote! Yesu alisema; Msiogope hawa wanaowatishia kuuwa mwili peke yake, Bali mwogopeni sana Mungu ambaye anauwa vyote yaani Mwili na roho na hao wanaowatisha! Shetani kazi yake ni kutisha na kuuwa mwili peke yake! LAKINI mwenye mamlaka ya MWILI NA ROHO ni...
  8. Frank Mazagazaga

    JamiiForums Tanzania Kuna ndoto ambazo haziwezi kubebwa na mwili mlegevu

    “Ndoto zako hazistahili gari mbovu.” Hii ndiyo kauli kuu kutoka kwa mwanafikra kutoka mwaka mwaka wa mbele, anayerudi kuandikia kizazi cha sasa — kizazi kilichojaa ndoto kubwa, motisha kali, lakini miili dhaifu. "Leo nataka nikushike mkono kwenye jambo linaloonekana dogo sana — lakini ndilo...
  9. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Baraka Zinazoumiza, na Laana Zinazojenga: Umezaliwa na Kipi Kinachokuletea Faraja? Na Kipi Kinakubebesha Huzuni?

    Katika utulivu wa usiku, peke yako, kabla hujalala, kuna sauti ile ya ndani inayokuuliza: “Ningekuwa nani kama singezaliwa hivi nilivyo?” Sauti hii haijibu kwa haraka, haipigi kelele, lakini huacha mdundo fulani moyoni—wa tafakuri, wa uchungu, wa kukiri kimya kuwa maisha hayakuwahi kuwa meza...
  10. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Zambia: Familia ya Hayati Lungu yasema aliacha maelekezo Rais Hichilema asihudhurie msiba wala kusogea popote ulipo mwili wake

    Familia ya aliyekuwa Rais wa Zambia, Edgar Lungu, ambaye alifariki wiki iliyopita akiwa nchini Afrika Kusini, imedai kuwa marehemu aliacha maelekezo mahsusi akitaka Rais wa sasa, Hakainde Hichilema, asijihusishe kwa namna yoyote na shughuli za msiba wake wala kuwa karibu na mwili wake. Kwa...
  11. Gabeji

    JamiiForums Tanzania Amos Makalla roho yake ipo CHADEMA mwili upo CCM

    Ukifuatilia mikutano yote cha huyu Amosi Makalla, utujua kuwa huyu jamaa, anaipenda sana chadema, akilala, uck ,akila chakula, anaoga mda wote ana tamka chadema, chadema, hii inathibithibisha kwenye mikutano yake kila akisimama anasema sera za chadema. Huu ndo ukweli mchungu CCM wote kama...
  12. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania Siasa Sio Netflix – Ni Maumivu ya Mwili Mzima!

    "Ukiwa mwanasiasa, jifunze kwa team Hatuchezi Ng’oo, ukilala chali, unaamka chali, hakuna kuegemea ubavuni! Maumivu yana GPS, yanakupata popote ulipo. Siasa si sinema, ni gym ya roho." — Alloyce, P.R.
  13. Setfree

    JamiiForums Tanzania Wanawake, jipambeni kwa mavazi ya kusitiri mwili

    Katika ulimwengu wa leo, mitindo ya mavazi imegeuka kuwa uwanja wa mashindano ya kuonyesha miili badala ya kuonyesha heshima, adabu, na utu wa mwanamke. Kinachosikitisha ni kwamba hata wanawake wanaodai wanamjua Mungu sasa wamekumbatia mavazi mafupi, suruali za kubana na mavazi yanayoacha wazi...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Baba Mzazi wa Daktari aliyepotea na Mwili kupatikana Coco Beach asema wamejulishwa mwili umeshazikwa

    Dokta Hashimu Titho Kilosa alikua ni mwanafunzi wa udaktari bingwa katika Chuo cha Muhimbili na pia ni mtumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini (Mtwara). Juhudi za kumtafuta Dk.Hashimu zilianza mwanzoni mwa mwezi wa tano baada ya kutopatikana kwa takribani wiki moja, ambapo baba yake...
  15. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Wasio julikana waua na kutupa mwili kwenye makaburi ya Kola - Morogoro mjini

    Asubuhi ya leo, umepatikana mwili wa mtu ambaye hajatambulika kutokana na mwili kuharibika vibaya baada ya kuuawa kisha kutupwa vichakani kwenye eneo la makaburi ya Kola - Morogoro mjini.
  16. Lambo jini

    JamiiForums Tanzania Tatizo la mwili kuwasha baada ya kuoga pamoja na koo pamoja na masikio kuwashA

    Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu anasumbuliwa sana na koo na masikio kuwasha pia mwili kuwasha baada ya kuoga. Je tatizo linaweza kuwa ni nini!?
  17. a sinner saved by Christ

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya GPS Cheap iliyopachikwa ndani ya mwili kusaidia kupatikana unapotekwa na watu wasiojulikana kufuatia kuongezeka matukio ya kutekana

    Ili kurahisisha kupatikana kwako ukiwa HAI au MWILI wako ukiwa umekufa au kuuwawa KURAHISISHA KUPATIKANA kwako kwa haraka pindi inapotokea kutekwa/kupotea katika mazingira mbalimbali mfano AJALI mtu amezama ndani ya maji baharini kufuatia ajali ya boti,n.k. ndege kutopoteza uelekeo na kupotelea...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Mossad waupata mwili wa Sajenti Zvi Feldman, aliyepotea miaka 43 iliyopita kwenye Vita ya Israel na Syria bonde la Bekaa nchini Lebanon

    Wadau hamjamboni nyote? IDF na Mossad wameupata mwili wa Sgt. Daraja la Kwanza Zvi Feldman, ambaye hajapatikana tangu Vita vya Kwanza vya Lebanon vya 1982 vya Sultan Yacoub, Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu atangaza. Feldman alipotea pamoja na Sgt. Darasa la Kwanza Yehuda Katz na Sgt. Darasa la...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki kuaga mwili wa Hayati Cleopa Msuya Mei 11, 2025

    Rais Samia akishiriki kuaga mwili wa Hayati Cleopa Msuya Mei 11, 2025 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitoa heshima za mwisho kwenye jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Waziri Mkuu Mstaafu Hayati...
  20. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Mwenza ana madoa meusi ya vipele mwili mzima kuna usalama hapa?

    Msaada wakuu naona hapa mwenza ana madoa meusi ya vipele mwili mzima kuna usalama hapa? Ni kama aliwahi kuwa na vipele vikubwavikubwa vikapona. Mule kulikokuwa na vipele kumebaki madoa meusi kama amezimiwa sigara. ni mwili mzima. Eti wakuu kitaalamu hii imekaaje? Chukulia ingekuwa ni wewe...
Back
Top Bottom