mwili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    LIVE Rais Samia kuongoza maelfu ya waombolezaji kuaga mwili wa William Lukuvi Viwanja vya Karimjee Dar es Salaam

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Jasiri muongoza njia na Shujaa wa Afrika anakwenda Kuongoza Maelfu ya Waombolezaji Kuaga Mwili wa Mheshimiwa William Lukuvi Viwanja Vya Karimjee Dar es salaam. Mheshimiwa Lukuvi Aliaga Dunia baada ya Kuugua...
  2. LIVE Rais Samia akiwaongoza waombolezaji kuaga mwili wa William Lukuvi, Viwanja vya Karimjee, leo Machi 28, 2026

    https://www.youtube.com/live/y_iXq1YH0ag?is=DwDqptaqYbLwT_3I Rais Samia kuwaongoza waombolezaji kuaga mwili wa William Lukuvi, Viwanja vya Karimjee, leo Machi 28, 2026. Hadi mauti yanamkuta Lukuvi alikuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) na Mbunge wa...
  3. H

    Ghati Chomete aungana na waombolezaji katika ibada ya kuaga mwili wa Lukuvi, bungeni Dodoma

    GHATI CHOMETE AUNGANA NA WAOMBOLEZAJI KATIKA IBADA YA KUAGA MWILI WA MHE. LUKUVI, BUNGENI DODOMA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Mhe. Ghati Zephania Chomete, tarehe 27 Machi 2026 ameungana na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb), Spika wa Bunge...
  4. Kwanini chumvi ni hatari katika mwili wa binadamu na si sukari?

    Ni karne nyingi tumekuwa tukiaminishwa kwamba chumvi ni hatari katika mwili wa binadamu lakini sijawahi kusikia habari za sukar kupigiwa chapuo kuwa ina athari. Kama chumvi ina athari katika mwili wa binadamu kwann mgonjwa huwekewa dripu ya maji yenye chumvi ? na si sukari? 🤣🤣 tunafichwa nin...
  5. M

    Huwa unafanya vitu gani baada ya kutoka kazini ili kuuweka mwili sawa kwa siku nyingine?

    Huwa unafanya vitu gani baada ya kutoka kazini ili kuuweka mwili sawa kwa ajili ya siku nyingine au ukitoka kazini unaingia kazini tena huna muda wa kufanya vitu vingine kabisa Mimi huwa napumzika kidogo hata kama kuna shughuli nyingine ya kufanya siingii kuifanya moja kwa moja hasa zile nzito...
  6. Shetani kama ni kidume avae mwili kama Yesu kristo aje Duniani alete hizi tabia zake za kipumbavu

    Hapo vip! Nimetafakari sana juu ya Shetani anavyojificha katika ulimwengu wa roho na kuwatenda watu kwa hila kwa maarifa na kujificha...hii ni ishara ya uwoga,udhaifu,unafiki na uwongo. Sidhani kama akija Duniani na kwa wanadamu walivyokuwa na hasira naye kama watamuacha ata akae kwa amani kwa...
  7. Wengi hamjui protocol, Jana Rais hakutambulishwa,aliitwa mbele ahage mwili kwa taratibu za kiislamu na aondoke au azungumze,je mwanamke yupi uzungumza

    Kwanza tangu lini kwa uislamuni wakaaga maiti? Pili lini mwanamke wa kiislamu akazungumza kwenye msiba wowote? Hapo nipo utaamini yakuwa KATOLIKI sio dhehebu uchwara limejaa wered mnoooo! Yaani alichokitamka faza Kitima ilikuwa ni kumpa salamu yakuwa hawamtambui, Kwanza kusema atatambuliwa...
  8. H

    Dkt. Mwigulu ashiriki ibada ya kuaga mwili wa Kardinali Pengo

    DKT. MWIGULU ASHIRIKI IBADA YA KUAGA MWILI WA KARDINALI PENGO WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba Februari 27, 2026 ameshiriki ibada ya kuaga mwili wa Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo iliyofanyika katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Yosefu...
  9. M

    Msaada wa dharura mtoto 2yr anajoto kali sana mwili mzima amechemka sana

    Msaada bint yangu ana umri wa miaka2 usiku huu mda huu kapata joto kali sana mwili mzima kachemka haswaa .hapa nimefanya kumpa panadol nakumpaka vitunguu swaumu mwili mzima Msaada wenu wakuu wa tiba ya dharura kushusha joto uku tukisubiria kukuche kumuwahisha hospital
  10. Mazishi kwa kuchoma moto mwili wa marehemu( cremation)

    Wiki iliyopita niliongoza ibada fupi na zoezi la kuchoma mwili wa raia mmoja wa nje pale Makumbusho Zoezi lile lilinikumbusha mbali sana enzi za ujana wangu huko ughaibuni nilipokuwa nalifanya kwa raha zangu Japo kwasasa inachukuliwa kama njia ya kuokoa nafasi lakini haya ni mazishi ya kimapokeo...
  11. Tatizo la mwili kuwasha

    Jaman kuna tatizo limenipata kipindi hiki huwa nawashwa kwenye mwili ikifka muda wa kulala ndio kabisa nazidi hii inatokana na nn jaman inanisumbua mno
  12. SARCOPENIA: Hali ya afya ya kupoteza misuli katika mwili

    Sarcopenia ni hali ya kupoteza misuli, nguvu, na uwezo wa mwili kufanya kazi kulingana na umri. Kitaalamu, kuanzia umri wa miaka 30 hadi 40, mwanadamu huanza kupoteza wastani wa asilimia 3 hadi 8 ya misuli yake kila baada ya miaka kumi. Hali hii isipodhibitiwa, husababisha udhaifu mkubwa...
  13. Mwili wa mateka Ran Gvil wapatikana-Huyu ni mateka wa mwisho

    WOW. Mara tu mwili wa Ran Gvili ulipopatikana na ulipotambuliwa, wanajeshi wa Israeli walianza kuimba: "Ninaamini katika kuja kwa Masihi!" Sasa kazi tu imebaki ni kubonda magaidi wa Hamas na kuwapokonya silaha zao Rais wa Israeli Isaac Herzog: naye leo hii kasema; Ran Gvili, shujaa wetu...
  14. Mwili wa Mzee Edwin Mtei kuwasili nyumbani kwake Tengeru jioni ya leo Januari 23, 2026

    Mwili wa Mwasisi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Gavana wa kwanza wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Mzee Edwin Mtei (94), unatarajiwa kuwasili nyumbani kwake Tengeru, nje kidogo ya Jiji la Arusha, leo saa 11:00 jioni. Shughuli za mapokezi ya mwili huo, zitaongozwa na Makamu...
  15. E

    Nina zaidi ya kilo 100 na nina umri wa miaka 19: Nifanyeje?

    Wakuu Nimejaribu kukimbia, kujibana sili chakula asubuhi wala mchana, nakula jioni ila uzito bado haupungui. Nifanyeje kukabiliana na hali hii?
  16. T

    Misheni ya siri ya kuusafirisha mwili wa Rais nyumbani - Rubani aifichulia BBC

    Takriban miaka 31 iliyopita, marubani wawili wa Kenya, Hussein Mohamed Anshuur na Mohamed Adan, walitembelewa na mgeni ambaye hawakumtarajia katika ofisi yao katika Uwanja wa Ndege wa Wilson, nje kidogo ya jiji la Nairobi. Ni mwanadiplomasia wa Nigeria, ambaye aliwaomba kumfanyia kazi nyeti na...
  17. T

    Misheni ya siri ya kuusafirisha mwili wa Rais nyumbani - Rubani aifichulia BBC

    Takriban miaka 31 iliyopita, marubani wawili wa Kenya, Hussein Mohamed Anshuur na Mohamed Adan, walitembelewa na mgeni ambaye hawakumtarajia katika ofisi yao katika Uwanja wa Ndege wa Wilson, nje kidogo ya jiji la Nairobi. Ni mwanadiplomasia wa Nigeria, ambaye aliwaomba kumfanyia kazi nyeti na...
  18. Baada ya miaka 35, mwili hufika ukomo wa ukuaji

    Unapofika miaka 3, viungo vyote vya mwili hufika ukomo wa ukuaji hivo kila kitu kinaanza kurudi chini, mfano unachelewa kupona vidonda, dawa nyingi zinakukataa na maradhi huja mara kwa mara, kitakchokusaidia ni kama ulikua mtu wa mazoezi nyuma! kama ulikua na lifestyle nzuri ya mazoezi basi...
  19. R

    YESU aliyezaliwa, hana baba wala mama, Ni Mungu aliyekuja Katika mwili wa mwanadamu

    Salaam ,shalom! Hii ni habari njema!! GOOD NEWS😅💥🔥🎉🎊 Asomaye na afahamu, Imeandikwa zamani vitabu vya unabii kuwa YESU ni mwana wa Daudi. Pia ukisoma kuzaliwa kwa YESU Mathayo chapter 1, ukoo wa YESU umeanzia huko Kwa Daudi, Mwana wa Ibrahim. Mathew 1:16. Yakobo akamzaa Yusuph mumeweMariam...
  20. B

    Mwili wa mwalimu John Ogutu aliyeuawa Tanzania uliishia wapi?

    Katika vurugu zilizotokea Octoba 29,2025 jijini Dar es Salaam miongoni mwa watu waliouawa ni pamoja na Mwalimu John Ogutu aliyekuwa akifundisha katika shule ya Msingi Sky. Baada ya mauaji hayo, mwili wake ulidaiwa kutoweka katika mortuary ulimokuwa umehifadhiwa na kupelekea mijadala kuibuka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…