mwigulu

Mwigulu Lameck Nchemba (born 7 January 1975) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Iramba West constituency since 2010.In December 2015, he was appointed as the Minister of Agriculture, Livestock and Fisheries.
In July 2018 he was sucked down by Magufuli due to poor performance as the Minister of Home Affairs

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mwigulu aagiza Kurejeshwa Sh500 Milioni zilizobainika kuhamishwa kutoka akaunti mbalimbali za miradi ya maendeleo Manyoni

    Waziri Mkuu Dk Mwigulu Nchemba ameamuru kurejeshwa mara moja kwa zaidi ya Sh500 milioni zilizobainika kuhamishwa kutoka akaunti mbalimbali za miradi ya maendeleo katika Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni, mkoani Singida. Akizungumza katika ziara yake waliyani Manyoni Jumamosi, leo Mei 30, 2026...
  2. JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu arejea nchini akitokea mkutano wa AFDB, Congo

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amerejea nchini Tanzania akitokea jijini Brazzaville, Jamhuri ya Kongo alikomwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa 61 wa Mwaka wa Bodi ya Magavana wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB). Dkt. Mwigulu aliagwa na Meya wa Jiji la Brazzaville...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Ado Shahibu: Watekaji, Wauaji wamepata mtetezi Mwigulu Mchemba, Waziri Mkuu

    Sikiliza clip! Sina la kuongeza , si mimi bali Ado Shahibu! Hotuba ya jana ya Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba imewakosea sana Watanzania na ACT Wazalendo tusipoweza kusimama kwa kujaiamini na kuusema ukweli hakika chama hichi akitopendwa na Watanzania
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba hufai kuwa rais au waziri mkuu hata kama unataka sympathy kupitia dhehebu la walutheli.

    Kwanza kabisa nikuambie ukweli waziri mkuu upo hapo kwenye hicho kiti lakini Watanzania wanakuchukia sana. Unahusishwa na ufisadi mwingi. Kumiliki mabasi yanayofahamika huku wewe ni kiongozi wa umma na haukutaja namna ulivyoyapata wewe na mke wako. Tatu unachukiwa sababu ulishawahi kuwatamkia...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mwigulu kama amemsikia Lema huko Dodoma leo, sijui atakuwa kwenye hali gani

    Kwa waliomsikia Godbless Lema akihutubia mkutano wa hadhara mkoani Dodoma leo hii, bila shaka watakubaliana na mimi kwa jinsi Lema alivyomshukia Mwigulu kwa kauli yake kuhusu watu kutekwa kuwa ni michezo. Binafsi, siamini kama Mwigulu anaweza kusikiliza hiyo clip mpaka mwisho na akabaki sawa...
  6. JamiiForums Tanzania Mwigulu: Walimpiga Lissu risasi ili ionekane ni Serikali

    Hebu fikiri tu kuwa, huyu eti ndiye PM wa Tanganyika. Ndiye mshauri wa karibu wa Rais Samia. Kwanini tuendelee kushangaa kwa kuwa na serikali inayojua kuteka, kutesa, kufira, kulawiti na kuua tu wakosoaji wake..? Kwa sababu, ukimsikiliza huyu jamaa (Nchemba), unakosa kabisa coordination ya...
  7. JamiiForums Tanzania Kama Mwigulu asingesoma na kuwa mwanasiasa angukua tapeli

    . Huyu bwana haoni haya kudanganya. Anaropoka chochote anashusha hadhi ya waziri mkuu hizo cheap propaganda amwachie kihongosi
  8. JamiiForums Tanzania Bwana Mwigulu, Mchumi wa Makaratasi, uliyetembelea 'Uwezo wa Mzee Mpango", Acha Siasa za 1900, Unabwabwaja, Watanzania wa Sasa sio wa kuambiwa Upuuzi

    Yaan unajiita Mchumi, mara msomi, alafu kwenye Mkutano Unasema TUKIO la Lissu lilitengenezwa?? Yaan wewe unaona Watanzania ni Mazwazwa ? Au TU umeamua kuwatia Watanzania Hasira wachukie zaidi?. Niku challenge? Kwakua Ni TUKIO la kutengenezwa kwa Lengo la kuchafua Serikali, Toka 2017 Hadi...
  9. JamiiForums Tanzania Mwigulu: Awamu ya 5 kuna Kiongozi mkosoaji alishambuliwa ilionekane ni Serikali

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesayasema hayo Mei 23, 2026 wakati akizungumza na wananchi wa mkoa wa Iringa, katika viwanja vya kichangani. Dkt. Mwigulu yupo mkoani Iringa kwa ziara ya kikazi ya siku mbili.
  10. JamiiForums Tanzania Mwigulu: Nchi yetu inao vibaraka wengi. Inafanyika michezo ya kulipia baadhi ya watu wafanye vitendo vya kihalifu

    Wakuu Waziri mkuu Mwigulu Nchemba akiwa mkoani Iringa anasema: Ujasusi wa dunia hii, ameufuatilia kwa miaka mingi sana. Anaijua michezo mingi. "Najua haya yaliyotokea Ghana, najua yaliyotokea Congo, najua yaliyotokea Angola, na... najua maeneo mengi yaliyowahi kutokea. Tanzania si alikuwa...
  11. JamiiForums Tanzania Mwigulu: Nchi haina upungufu wa Umeme, Ina ziada—Changamoto ipo kwenye Uimarishaji wa Gridi

    "Sasa hivi nchi yetu haina upungufu wa umeme, ina ziada ya umeme. Na kama kuna eneo umeme bado unakatika-katika, tatizo sio upungufu. Sasa tatizo lililopo ni kwamba, gridi ile ilitengenezwa kwa ajili ya mtawanyo mdogo. Tulivyoongeza mtawanyo, tumeongeza na uzalishaji, lazima pawe na uimarishaji...
  12. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba, unafanya kazi nzuri sana. Kaza buti

    Kiukweli PM unafanya kazi nzuri sana za kutatua kero za wananchi.. Ukitangaza tu ziara sehemu yoyote kiukweli watendaji wa serikali wanawajibika kwa wananchi 100%..juzi ulitangaza kwenda mkoa X kiukweli wanahaha kutatua kero za wananchi mpaka usiku kabisaa. Naomba usikatishwe tamaa na viongozi...
  13. JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu asema Serikali imejipanga kujenga jengo lenye hadhi ya kimataifa Airport ya Mwanza

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali inaendelea kuchukua hatua kuhakikisha Uwanja wa Ndege wa Mwanza unaboreshwa na kujengwa katika hadhi ya kimataifa ili kuendana na hadhi ya jiji la Mwanza kama kitovu muhimu cha shughuli za kiuchumi Kanda ya Ziwa. Amesema hayo bungeni jijini...
  14. JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu ashiriki chakula cha jioni kilichoandaliwa na Rais Ruto

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba jana Mei 11, 2026 alishiriki chakula cha jioni cha kitaifa kilichoandaliwa na Rais wa Kenya Dkt. William Ruto kwa heshima ya Wakuu wa Nchi na Serikali wanaoshiriki Mkutano wa Ushirikiano wa Afrika na Ufaransa Dkt. Mwigulu yupo nchini Kenya akimuwakilisha Rais...
  15. H

    JamiiForums Tanzania WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba akisalimiana na Rais wa Kenya Dkt. William Ruto wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa Ushirikiano kati ya Afrika

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba akisalimiana na Rais wa Kenya Dkt. William Ruto wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa Ushirikiano kati ya Afrika na Ufaransa (Africa Forward Summit: Africa-France Perternship for Innovation and Growth) unaofanyika jijini Nairobi Kenya, leo Mei 12...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Mwigulu aipongeza Simba kwa Ushindi wa mbinde dhidi ya Yanga

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza Bungeni leo Aprili 30, 2026, ameipongeza klabu ya Simba kwa ushindi wa bao 1 dhidi ya Yanga. Klabu ya Simba ilitwaa ubingwa wa Muungano mbele ya Yanga katika fainali iliyochezwa katika Uwanja wa New Amaan Complex...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Inadaiwa gari lililotumika kuua watu Oktoba 29, 2025 limeonekana tena kwenye Ziara ya Dkt Mwigulu

    Swali, Mpaka hapa bado kuna mtu hajajibiwa swali la nani alitoa amri ya kuua watu iwapo magari yaliyotumika kuua watu bado wanayatumia kuonesha hawajali wala kuogopa chochote?
  18. H

    JamiiForums Tanzania Huruma ya Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba kwa Mwenyekiti wa ALAT anayemaliza muda wake.

    Huruma ya Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba kwa Mwenyekiti wa ALAT anayemaliza muda wake.
  19. JamiiForums Tanzania Mwigulu amejipa umasihi wa kuponya mioyo na sasa nchi nzima wanaimba jina lake. Mungu amtangulie afike mbali

    Katika kipindi hiki ambacho watanzania wanahitaji majibu ya matatizo yao hasa dhuluma, unyanyasaji, unyang'anyi wa mfumo ,maonevu ya kijamii hasa ndugu Mungu amemuinua Mwigulu kuja kuwapa majibu ya haraka na yauhakika wa haki zao papo kwa hapo hapa Mungu anamtumia Mwigulu kuwa masihi wa taifa...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Tufunge Camera uwanjani kukomesha ushirikina

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba ameagiza uwanja wa mpira wa miguu Arusha ufungwe kamera nyingi ili kukomesha vitendo vya ushirikina ndani ya uwanja.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…