mwigulu

Mwigulu Lameck Nchemba (born 7 January 1975) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Iramba West constituency since 2010.In December 2015, he was appointed as the Minister of Agriculture, Livestock and Fisheries.
In July 2018 he was sucked down by Magufuli due to poor performance as the Minister of Home Affairs

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Udhaifu wa marais unawapa umwamba sampuli za akina Mwigulu Nchemba

    Mfano mzuri ni tabia ya Mwigulu ambayo ilivumiliwa na marafiki kama akina Kikwete kwa sababu zao za kiharibifu hadi kupewa nafasi kubwa ktk CCM. JPM akamuondoa ktk uwaziri. Sasa ameingia rais ambaye wengi tunaamini anashauriwa. Bahati mbaya wanaomshauri ni wale wale wenye akili ya kiharibifu...
  2. JamiiForums Tanzania Mwigulu, it's enough. You MUST resign!

    Mamlaka ya uteuzi tuseme Sasa imetoshaaaaa Tozo ya Mafuta juu Tozo ya Fedha mitandaoni juu Tozo ya kiwanja kwa luku Makato ya kwenye vocha juu. Kodi ya pembejeo za kilimo mara mbili Nauli mabasi mikoani juu (bado daladala any time wanapandisha) Mnataka tuishije sasaa? Najiuliza inamaana...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Nimetazama dakika 45 ya Mhe. Mwigulu Nchemba -Waziri wa Fedha jana jumatatu nimemuelewa katika haya

    Dakika 45 za Mhe. Mwigulu Nchemba nilisikiliza kwa umakini mkubwa na baadaye nimekubaliana naye juu ya tozo ya miamala ya simu kwa sababu zifuatazo:- (1) Alitamka wazi kuwa makato yanayoelezwa na watu kuwa ni kubwa ni upotoshaji. Yeye alisema kama mtu atatuma mathalani Tshs.1,000,000 makato...
  4. JamiiForums Tanzania Mwigulu anawasalimia

    Mwigulu anawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzani. Wale mnaokwenda Burundi msisahau kumsalimia Ndaishimiye.
  5. R

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Dkt. Mwigulu Nchemba ni ya kishujaa na ya kizalendo; tunawataka akina Mwigulu 1000 kwenye taifa letu

    Hawa ndio wazalendo. Hawa ndio wanaojua nchi imetoka wapi na inakwenda wapi. Huenda wanajua bila maamuzi magumu nchi itatumbukia ktk dimbwi la umaskini na mkwamo wa kiuchumi. Sasa tunafunga na kukaza mkanda ili tusonge mbele kama nchi. Mwaka 1979 baada ya vita vya kagera Hatua kali za kiuchumi...
  6. JamiiForums Tanzania Mwigulu: Tumesikia malalamiko ya Watanzania kuhusu tozo za miamala na Rais ametoa maelekezo ya kuzitazama upya

    Mhe. Rais naye ameguswa na jambo hili, amesikia maoni ya Watanzania wote, ameshatoa maelekezo kwamba tuyafanyie kazi haya malalamiko ambayo wananchi wanayatoa." - Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba. Waziri wa Fedha na Mipango Dk. Mwigulu Nchemba, amesema jambo hilo tayari limefika...
  7. JamiiForums Tanzania Kauli ya Mwigulu kuhusu Burundi ni hatari kwa Usalama wa Taifa. Serikali ijitenge nae!

    Mh Rais Mama Samia suluhu Hassan bado hujastuka tu kuwa mtu huyu ni hatari katika utawala wako? Waziri wako anadharau amri ya Rais ambayo jana tu asubuhi umemuagiza yeye mwenyewe atwambie kwamba umesikia manung'uniko yetu na kwamba umeziagiza wizara zikae zishughulikie malalamiko yetu wananchi...
  8. JamiiForums Tanzania Mwigulu: Tozo za miamala zipo kisheria, Waziri hawezi kuzifuta

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba tozo za miamala na muda wa hewani zimepitishwa na bunge hivyo yeye kama waziri hawezi kuziondoa ila anaweza kuangalia kanuni kujua namna ya kurekebisha Amesema hayo alipohojiwa na BBC Swahili ambapo amesema kwa sasa wananchi wanatakiwa...
  9. JamiiForums Tanzania Kundi la Mwigulu linajipanga Uchaguzi mwaka 2025. Mwigulu anatumia nafasi hii Kushusha Umaarufu wa Rais Samia

    Anachofanya Mwigulu si kwa bahati mbaya. Anajua vizuri sana na anatumia mbinu ya kumchonganisha Samia na wananchi huku akijipanga kuja gombea Uchaguzi wa mwaka 2025/2030. Hafanyi kwa bahati mbaya. Hizi tozo mpya anajua anachofanya. Anamshusha Rais Samia huku yeye akijiwekea mazingira ya kupata...
  10. JamiiForums Tanzania Mwigulu Urais 2025 ameanza kujipanga leo, Tozo zimeshusha umarufu mdogo wa Samia kwa kiasi kikubwa

    Nilikuwa namsikiliza anayejiita Dr (Phd) Mwigulu Nchemba Waziri wa Fedha na Mipango akihojiwa na ITV kipindi cha Kipima Joto. Nilichosikitika sana... Nasikia Alipata First Class ya Degree yake ya kwanza ya Uchumi na anayo PhD! Amesema Burundi na Zambia wana population ndogo sana kuliko sisi...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Mwigulu apongezwa Iramba, achinjiwa maksai Mwekundu, licha la kulalamikiwa miamala!

    Weekend hii Dr. Mwigulu amekumbuka kwenda kutoa shukrani jimboni kwake na kama kawaida kaendelea kuongea misamiati ya KiNyiramba huku akiwaona wasikilizaji wake kama hawana uelewa wowote ule. Pamoja na kukwepa kugusia mambo ya kodi ya miamala lakini agenda kubwa ilikuwa ni kujiimarisha jimboni...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Dr. Mwigulu apongezwa Iramba licha ya kulalamikiwa kuhusu kodi za miamala!

    Weekend hii Dr. Mwigulu amekumbuka kwenda kutoa shukrani jimboni kwake na kama kawaida kaendelea kuongea misamiati ya KiNyiramba huku akiwaona wasikilizaji wake kama hawana uelewa wowote ule. Pamoja na kukwepa kugusia mambo ya kodi ya miamala lakini agenda kubwa ilikuwa ni kujiimarisha jimboni...
  13. JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu anatufanya Watanzania wote wajinga, atawezaje kutujaza wananchi shilingi trillion 5 mifukoni mwetu?

    Hii siyo hadithi ambayo nimejitungia, bali nimemnukuu Waziri Mwigulu Nchemba, wakati akizungumza kwenye uzinduzi wa benki mpya biashara Tanzania (TCB) siku 2 zilizopita, eti serikali yake ina mpango wa kutujaza wananchi shilingi trillion. 5 mifukoni mwetu, katika mzunguko wa pesa katika bajeti...
  14. JamiiForums Tanzania Msimlaumu sana Mwigulu, pengine anafuata tu maelekezo

    Wakuu, nawasalimu kwa Jina la Jamhuri. Nimepita mitandaoni, nimeona jinsi watu wanavyomshambulia Mwigulu kuhusu tozo ya miamala. Naunga mkono mashambulizi, lakini nadhani tunakosea tunayemwelekezea mashambulizi hayo. Wanasema kila zama na kitabu chake. Wakati wa enzi za Mwendazake, taifa...
  15. JamiiForums Tanzania Tungekuwa na Katiba inayotaka Mawaziri wasiteuliwe, Mwigulu Nchemba angetufanyia dharau namna hii?

    Msomi wa hadhi ya Phd ya uchumi bila aibu anaongea mbele ya luninga ya taifa kuwa serikali ikilipa madeni kutakuwa na mzunguko wa pesa hivyo mzigo wa tozo za miamala ya simu utakuwa stahimilivu. Hii ni dharau kubwa. Mkandarasi akilipwa madeni na serikali kweli pesa inaingia kwenye mzunguko...
  16. JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu Nchemba, nani kakutuma umchonganishe Rais na wananchi wake? Hautafanikiwa...

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, pamoja na mambo mengine, ni mkuu wa nchi na mkuu wa Serikali. Kuongoza nchi na Serikali ni kuongoza watanzania wote: furaha na karaha zao huelekezwa kwa Rais. Mazuri yao na mabaya kwao wananchi husemwa kuwa yametokana na uongozi wa Rais aliye madarakani...
  17. JamiiForums Tanzania Kodi ya Miamala ya Simu: Swali kwa Waziri Mwigulu baada ya maelezo yake TBC

    Jana nilimsikiliza Waziri Mwigulu pale TBC nikapata mashaka sana na kuona ameamua kudanganya kutaka kuupooza umma. Akijaribu kufafanua amedai kuwa makato ya tozo hizi yanaenda kwenye huduma za afya haswa afya ya mama na mtoto. Ningependa atoe ufafanuzi wa asilimia ngapi ya tozo itaenda huko...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Dr Madelu Mwigulu Nchemba, kuwa na Tozo za ubunifu

    Kama ulivyo kawaida ya salamu yetu, Mama anaupiga mwingi. Majibu: Mama Endelea kukamua Ushauri wa BURE kwa Mwigulu Ebu tafuta tozo hata kdg kwa watu Hawa, wape leseni kisanya hicho kidogo kitasadia 1. Mafundi ujenzi wawe na leseni 2. Mafundi bomba 3. Mafundi umeme 4. Vinyozi 5. Mafundi...
  19. JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu si ulisema ni Vocha tu? Imekuwaje?

    Mh Waziri, Nilisikiliza Hotuba ya Bajeti Na kuelewa kuwa makato yanaendana na kiasi cha vocha unayoweka na nikaona sio mbaya ...solidarity fund.. Hotuba ile sikusikia ni tozo kwenye huduma za kutoa na kuweka katika mitandao ya simu.,au wengine mliisikia hii? Sikiliza huu utetezi wa Mh Waziri...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Dr. Mwigulu kushukuru na kupongezwa Jimboni kwake Iramba juma lijalo

    Mamba aliyepo kwenye kina kirefu kuanzia Jumamosi ijayo atakuwa Jimboni Iramba akitembelea kata na tarafa zake kwa ajili ya kupongezwa na wanaCCM kwa kuteuliwa kuwa Waziri wa Fedha na pia kuwashukuru wapiga kura wake wa Chamani kwa kumwezesha kuingia bungeni na hatimaye kuteuliwa katika nafasi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…