Mwigulu Lameck Nchemba (born 7 January 1975) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Iramba West constituency since 2010.In December 2015, he was appointed as the Minister of Agriculture, Livestock and Fisheries.
In July 2018 he was sucked down by Magufuli due to poor performance as the Minister of Home Affairs
Ninatoa mfano wa Dr Mwigulu akiwawakilisha Mawaziri na Viongozi wote wa Serikali, hasa wale wateule wa Rais.
Pakikucha Dr. Mwigulu anakuta nje gari la Ofisi limepaki anachukuliwa na dreva - gari limejazwa mafuta na Ofisi, so kwa kuwa hatumii gari lake basi tozo ya mafuta haipo tena. Hili...
Dkt. Mwigulu Nchemba amesikika hadharani akisema miamala ya simu haijaathirika na uwepo wa tozo mpya kwa jina la uzalendo:
Hii si kweli na huu ni ushahidi ukiwahusisha mawakala na wenye mitandao:
Achilia mbali kuwa wengi wetu tuliokuwa wateja wa shughuli hizi za miamala tumeachana nazo...
mfumuko wa bei
doble taxation hapa anawakamua sana wananchi, madhara yake ni kupungua mzunguko wa pesa, uzalishaji
deni la taifa limeongezeka kwa zaidi ya asilimia 10
Na kama Benki Kuu ilishaondoa katika Mzunguko matumizi ya Sarafu ya Tsh 20 imekuwaje katika Makusanyo ya Mwezi ya Tsh 48,489,225,670 kukawepo hii Tsh 70?
Tsh 50 ya Sarafu najua ipo ila Tsh 20 ya Sarafu haipo tena je, hapa imeingiaje katika Mahesabu? Na kama Sarafu ya Tsh 20 haipo tena kwanini...
Ningependa tu kuonana na Mh Mbunge Mwigulu Nchemba. Nimetumia jina la Mh Mbunge kwa sababu inakuwa rahisi kuweza kumuona tofauti na Waziri, kwa maana jina la Uwaziri linamajukumu mengi
Nahisi nikikutana naye nitatimiza furaha yangu ya moyo wangu na ujumbe wangu atausikia na kuutendea kazi...
Nikupe mfano, muagize mtu wa "kawaida" ambaye muonekano wake ni wa kawaida yaani asiwe kama ofisa flani hivi aende duka maarufu hapa Mwanza linanoitwa Mwanza Huduma: wanauza vifaa vya ujenzi anunue sementi, mabati, nk pale kuna mbinu mpya. Unapewa risiti halali kabisa ya TRA na unaambiwa ni ya...
Je, ni Jumbe Katala?
Je, ni Zaipuna Yonah?
Je, ni Timothy Lyanga?
Je, ni Richard Mkumbo wa Ujenzi?
Je, ni Innocent Msengi? Diwani wa kata ya Mwigulu Kyengege?
Tujadili kwa faida ya Iramba yetu! Manake piga ua garagaza Dr. Mwigulu 2025 ni lazima agombee URais 2025 kama ambavyo ameshapangwa na...
Baada ya Mwigulu kutembelea China akiwa waziri ndogo alikuja akiwa kameza na kushiba siasa za kikomunisti.
Alianza kuvaa kofia yenye nyota nyekundu inayovaliwa na wachina. Na kunawakati alianza kuvaa nguo karibu sawa na za kijeshi. Kuonesha ameshiba Imani za kikomunist Kama akina Fidel castor...
Kwa namna Mwigulu alivyowakera na kuwaudhi Watanzania walio wengi na hata kusababisha kumpunguzia heshima na umaarufu Rais Samia, sasa ni wakati wa kumtimua Mwigulu kutoka Baraza la Mawaziri. Kwa kufanya hivi Rais Samia atarudisha hadhi yake mbele ya macho ya Watanzania.
Ni wazi Rais Samia...
Kumekuwa na mkakati mkali wa BAVICHA na BAWACHA kupata fedha na kuwalipa vijana wa vijiweni mikoa yote ili waandike maneno MBOWE si GAIDI kwenye mawe na miti mikubwa mikubwa pembezoni mwa barabara kama alivyofanya Mwigulu wakati akitafuata Urais wa nchi hii mwaka 2015.
Hii mbinu ninaona italeta...
Hii ni mikusanyiko ya lazima ukizingatia kwamba Corona inajua kwamba huyu ni Waziri anayehusika na fedha. Corona inajua hawa waliokusanyika wameitwa na Waziri kwa hiyo Corona itafanya process kisayansi inaitwa Kwepability. Hata taratibu za kujikinga na Corona zimesema tusikusanyike bila ulazima...
Kauli za viongozi kama Mwigulu, Ndugai na Mbunge Gwajima ziko wazi kabisa hawakubaliani na wewe katika yale unayo agiza.
Sio hayo ya miamala na chanjo za corona pekee, lakini kuna jingine kubwa mno ambalo Watumishi waathirika na zoezi la vyeti wanakutazama kwa mshangao.
Ulitoa agizo kuwa...
Bila kuficha Mwigulu anapenyeza kila njia kwa wananchi ili jina lake ling'ae kwa urais.
Magari ya Polisi kwenye msafara na polisi wanaomlinda alipokuwa ziarani Tunduma. Chakushangaza amegeuka njiani kuwa na misafara ya magari mengi kama naye ni Rais, haya sio matumizi mabaya ya muda kwa...
Yani huyu waziri bwana, sijui huwa anafanya maigizo ili kumfanya nani mjinga!
Alipokuwa waziri wa kilimo alikutana na watu waliozuia msafara wake huko Iringa wakimsifu. Ila kwa kuwa Magufuli hakutaka hivyo akamuonya akamuhamisha na wizara.
Alipoenda mambo ya ndani napo akawa vile vile na...
Bajeti ya Mwigulu imeshaonesha kwamba haitakuwa na matokeo mazuri kwenye uchumi. Hisia za kodi kuwa kubwa tena kwenye bidhaa muhimu ni dhahiri.
Kwenye uchumi, kuna kitu tunakiita 'Equillibrium Price' - yaani ile bei ambayo mnunuzi na muuzaji wataafikiana. Sasa kuna baadhi ya bidhaa ambazo...
Nawasalimu wanajamvi wote hapa javini,
Kwanza naomba nianze kwa kunukuu maneno ya waziri wa fedha Mr Mwigulu alietuambia watanzania kwamba,"kama mtu anataka kuhamia Burundi kwasababu ya tozo kwenye miamala na ahame".
Ndugu zangu leo nimelazimika kupoteza muda wangu ili mradi tu nikwepe kulipa...
Mfano mzuri ni tabia ya Mwigulu ambayo ilivumiliwa na marafiki kama akina Kikwete kwa sababu zao za kiharibifu hadi kupewa nafasi kubwa ktk CCM. JPM akamuondoa ktk uwaziri. Sasa ameingia rais ambaye wengi tunaamini anashauriwa. Bahati mbaya wanaomshauri ni wale wale wenye akili ya kiharibifu...
Mamlaka ya uteuzi tuseme Sasa imetoshaaaaa
Tozo ya Mafuta juu
Tozo ya Fedha mitandaoni juu
Tozo ya kiwanja kwa luku
Makato ya kwenye vocha juu.
Kodi ya pembejeo za kilimo mara mbili
Nauli mabasi mikoani juu (bado daladala any time wanapandisha)
Mnataka tuishije sasaa?
Najiuliza inamaana...
Dakika 45 za Mhe. Mwigulu Nchemba nilisikiliza kwa umakini mkubwa na baadaye nimekubaliana naye juu ya tozo ya miamala ya simu kwa sababu zifuatazo:- (1) Alitamka wazi kuwa makato yanayoelezwa na watu kuwa ni kubwa ni upotoshaji.
Yeye alisema kama mtu atatuma mathalani Tshs.1,000,000 makato...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.