mwigulu

Mwigulu Lameck Nchemba (born 7 January 1975) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Iramba West constituency since 2010.In December 2015, he was appointed as the Minister of Agriculture, Livestock and Fisheries.
In July 2018 he was sucked down by Magufuli due to poor performance as the Minister of Home Affairs

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mwigulu na CAG nani amedanganya umma suala la malipo ya Bilioni 350 kwa Symbion?

    Mwigulu Nchemba amesema Bungeni kuwa madai ya Kampuni ya Symbion kulipwa bilioni 350 sio ya kweli. Sasa tunajiuliza nani muongo, Mwigulu au CAG kuhusu suala la Symbion?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mwigulu acha kupanick, jibu hoja za Luhaga Mpina. Kwanini utumie reserve ya dola kujengea madarasa nje ya bajeti? Mbona awali hukusema kweli?

    We Mwigulu umekengeuka sana. Unajifanya mbabe na maneno ya dharau wakati unahojiwa hoja za msingi. Hivi kwanini ulidanganya hapo awali kuwa ulitumia bil 124 kujenga madarasa nje ya bajeti. Sasa hivi unadai kutumia reserve ya dola zenye thamani ya tril moja kujenga madarasa. Tukuamini kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Inakuwaje Mwigulu anawadharau na kuwaona Watanzania wajinga? Alituambia tuhamie Burundi sasa hivi anadai tujadili uganga

    Huyu mtu anadharau sana na ana tuona watanzania ni wajinga. Fikiria kipindi kile anatengeze tozo kandamizi kwa raia wasiojiweza alisema kwa dharau tuhamie burundi. Leo hii mfumuko wa bei upo juu na watu wanakula mlo mmoja yeye anadai eti tujadili uganga. Maana yeye ni mchumi pekee hapa...
  4. JamiiForums Tanzania Mwigulu mzee wa proffesional ya uchumi. Kama pesa za Uviko zilijenga madarasa Mbona ulitumia bil 124 nje ya bajeti? Acha kumshambulia shujaa Mpina

    Kelele kibao na kejeli. Eti wewe ni mjuvi wa uchumi? Mbona umeshindwa kusimamia fiscal policy na kudhibiti bei ya maharagwe? Eti tujadili uganga? Wewe ndio una amini uchawi? Pesa za uviko zilijenga madarasa na mkatuambia yanatosheleza. Sasa kwa nini udokoe bil 124 nje ya bajeti?
  5. D

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba sahau Urais 2030, Wewe ni Radical kuliko Hayati Magufuli

    Majibu ya juzi dhidi ya mpina yamenifanya nimwondoe Mwigulu Nchemba kwenye ajenda ya urais 2030, hafai ni Magufuli mwingine, tena radical sana Aendelee kuwa chini ya watu wengine
  6. J

    JamiiForums Tanzania Wachumi jitokezeni mmalize utata kati ya Mwigulu na Mpina

    Wachumi wakubwa Tanzania na mlioko nje ya Tanzania tusaidieni kufanya uchambuzi kati ya Mpina na Mwigulu nani yuko sahihi kwenye hoja ya Mfumko wa Bei na usimamizi hafifu wa Sera za Fedha. Hebu tuwasikilize kwa makini hawa viongozi wetu wawili alafu mtusaidie uelewa tanzania ni yetu sote.
  7. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe yuko wapi mjadala wa kitaifa wa Mfumko wa Bei na majibu ya Mwigulu?

    Zitto Kabwe ni moja ya wanasiasa wachambuzi wazuri wa Uchumi, kwenye hoja inayotikisa taifa kwa sasa ni Mfumko wa Bei za bidhaa na ugumu wa maisha hadi watu kushindia kukoroga uji kwa mujibu Dk Bashiru kwa kushindwa kununua unga wa ugali. Jambo la kusikitisha mjadala huu mpana unaogusa masilahi...
  8. JamiiForums Tanzania Mwigulu Bungeni amesema fedha aliyolipwa Symbion nje ya bajeti sio Bilioni 350

    Waziri Mwigulu bungeni Februari 1, 2022 amesema fedha aliyolipwa Symbion nje ya bajeti sio Bilioni 350 kama ilivyosemwa na wabunge. Swali ambalo Mwigulu hakulijibu Symbion amelipwa shilingi ngapi? Pascal Mayalla na wachambuzi wengine tusaidieni majibu na uelewa maana tumeambiwa watanzania...
  9. JamiiForums Tanzania Mwigulu mjibu Mpina ishu ya Mkataba wa SGR Tabora Kigoma

    Mwigulu Nchemba naona jana umepambana bungeni kumjibu Mpina kuhusu hoja ya Mfumko wa Bei na waliokuelewa wamekuelewa na ambao hawajaelewa hawataelewa. Kuna jambo kubwa sana Mpina amelizungumzia kuhusu Mkataba wa Kampuni ya China inayojenga reli ya SGR Tabora Kigoma nadhani ni muhimu pia umjibu...
  10. JamiiForums Tanzania Kwa hili nimemuelewa na naungana na Waziri Mwigulu Nchemba

  11. JamiiForums Tanzania Mwigulu soon out

    Mwigulu soon ataondoka hapo alipo na mwingine atachukua nafasi. Ni mzigo sana
  12. JamiiForums Tanzania Maulid Kitenge wa E-FM amvaa Mwigulu kuhusu Deni la Taifa. Maswali ni mengi kuliko majibu, kulikoni?

    MTANGAZAJI Maarufu nchini Maulid Baraka Kitenge amemtaka Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Lameck Nchemba kujitokeza hadharani na kujibu hoja zinazohusu Mikopo kwani sasa Deni limefikia Trilioni 91 na walipaji ni sisi wananchi tunataka majibu "tunazungumza na wewe Mwigulu kama taifa haya maswali ni...
  13. JamiiForums Tanzania Mwigulu na Makamba wamesema uongo utekelezaji wa Bwawa la Nyerere. Mamlaka zichukue hatua

    WAZIRI MWIGULU amesema wakati Rais Samia anaingia madarakani Mradi wa Bwawa la Nyerere ulikuwa umefikia 12% lakini Waziri Januari Makamba mbele ya Mh Rais anasema wakati Rais Samia ulikuwa umetekelezwa kwa 37. Taarifa ya Wizara ya Nishati iliyowasilishwa bungeni Juni 2021 ilisema Mradi ulikuwa...
  14. JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu Nchemba mkumbushe Rais kuwa hata madai ya watumishi yame 'mature'

    Ni habari ya kuhuzunisha kwa watumishi wa umma nchini, kupitia hotuba yake ya kusaini mikataba ya ujenzi wa reli ya mwendo kasi (SGR), Rais Samia Suluhu Hassan akitoa ufafanuzi wa ulipaji wa madeni alisema nchi lazima ilipe madeni ya nje kwasababu yame "Mature", akasisitiza kuwa tukikopa kama...
  15. JamiiForums Tanzania Mwigulu kwenye hili la kuudanganya umma ni lazima uwajibike

    Kwa muda Mrefu Waziri Mwigulu Nchemba amekuwa akitoa kauli tata ambazo humlazimu Mh Rais kutoka hadharani na kuzitolea ufafanuzi kwenye hili Mwigulu inakupasa kuwajibika
  16. D

    JamiiForums Tanzania Warning call Makamba na Mwigulu, unganeni au mtoswe wote 2030

    Iko hivi Celebrities waliojitokeza kwa wingi kwenye kinyang'anyiro hiki walipigiwa simu wakaombwa waje kugombea UNEC kimkakati, target ni kudhibiti mjadala baada ya matokeo yenu waadhibiwe pamoja na nyie ili umma uamini matokeo ni sahihi, lilikuwa ni igizo. 2030 amueni muungane au mkubali...
  17. JamiiForums Tanzania Machawa wa Mwigulu na Januari Makamba waliokuwa mitandaoni 2015 wako wapi leo?

    Mwaka 2015 watia nia ya urais kupitia CCM Mwigulu Nchemba na Januari Makamba walikuwa na timu kubwa sana za vijana wa kuwashangilia mitandaoni ili kuuhadaa umma kwamba ni viongozi wanaokubalika sana na jamii na wanafaa kushika madaraka makubwa ya nchi. Najiuliza leo Mwaka 2022 Makamba na...
  18. JamiiForums Tanzania Wito wa Waziri wa Fedha Mwigulu, juu ya Wazazi kuwasaidia watoto wao kujiajiri uko sawa!

    Wito wa Waziri wa Fedha, juu ya Wazazi kuwasaidia watoto wao kujiajiri uko sawa! Anaebisha aseme! Yupo Sahihi kabisaa maana ukiangalia hawa wazazi ni mfano wa kuigwa kwake.... 1. Samia amemsaidia mtoto wake kujiajiri kwani binti yake mmoja ni Mbunge na mkwe wake ni Mbunge na ni Waziri...
  19. JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Tutanunua madeni yaliyowahi kukopwa kwa masharti ya kibiashara

    “Tumeshafanya majaribio hata kutaka tupate fedha zenye masharti nafuu tununue madeni ya nyuma ambayo yaliwahi kukopwa commercial [kukopwa kwa masharti ya kibiashara] tuyapeleke kwenye masharti nafuu, [..] ili tuwape Watanzania unafuu.” -Waziri Dkt. Mwigulu Nchemba
  20. Q

    JamiiForums Tanzania Mwigulu anasema hakuna Mtanzania atagongewa mlango alipe Deni la Taifa, kwani tozo maana yake nini?

    Mimi ni layman wa uchumi lakini alichoongea leo Mwigulu Nchemba katika kipindi cha 360 Clouds TV ni Doctorial Rubbish, amesema, "Hakuna siku Mtanzania atakwenda kugongewa mlango kwamba sasa atoe mbuzi alipe Deni la Taifa. Na hakuna siku Mtanzania ataambiwa alipe Deni la Taifa atoe mchango...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…