mwigulu nchemba

Mwigulu Nchemba
Mwigulu Lameck Nchemba Madelu ni mwanasiasa na mwanachama wa chama cha kisiasa nchini Tanzania, Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Mwigulu alikuwa Waziri wa Fedha na Mipango tangu 31 Machi 2021, mpaka July 2023 ambapo wizara hiyo ilivunjwa na kuwa wizara mbili yaani Wizara ya Fedha inayoongozwa na Mwigulu Nchemba na Wizara ya Mipango na Uwekezaji inayosimamiwa na Waziri Kitila Mkumbo.
  1. R

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba hahusiki kuratibu maandamano ya wakatoliki

    Wana Jukwaa, Tafadhalini sana naomba mpokee ujumbe kutoka kwa watu wa karibu na Mwigulu Nchemba wamesema Mwigulu hahusiki kwa namna yoyote kuratibu maandamano ya makundi ya kulichafua Kanisa Katoliki. Pamoja na Mwigulu kuonekana na picha ya mmoja wa waratibu wa maandamano hayo ndugu Ludovick...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba awasili Zanzibar

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 04, 2026 amewasili Zanzibar ambapo atashiriki katika uzinduzi wa miradi ikiwa ni sehemu ya shamrashamra kuelekea kilele cha maadhimisho ya miaka 62 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
  3. Heparin

    JamiiForums Tanzania Sakata la Ugaidi wa Lwakatare na uhusika wa Dkt. Mwigulu Nchemba, TISS, Michuzi na Ludovick anayepambana na TEC

    Internet haisahau. Miaka 12 iliyopita katika kesi ya Lwakatare, aliyekuwa mkurugenzi wa Sheria na Haki za Binadamu wa CHADEMA, Tundu Lissu, aliwatuhumu mpiga picha wa Rais Kikwete wa wakati huo, Issa Michuzi, Idara ya Usalama wa Taifa (TISS), Waziri Mkuu wa sasa, Mwigulu Nchemba na bwana Joseph...
  4. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Mpangaji wa Mikakati Dhidi ya TEC na Fr. Kitima atambulika

    GT Kwa ufupi sana 1. Ni kweli ludovick ni mkatoliki lakini ni msaliti kama yuda 2.Alisoma mpaka ngazi ya frateri ambayo ni ngazi ya juu kabisa kuelekea upadri. 3. Alifukuzwa na kushindwa kupata daraja takatifu la upadre. 4 Ludovick ana kisasi na kanisa kisa kufukuzwa kwa utovu wa nidhamu...
  5. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwigulu: Vurugu za Oktoba 29 zilipangwa ili kuharibu uchaguzi. Hakuna katiba inayopatikana kwa miezi sita

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema wanaharakati walijipanga kuhamasisha vurugu Oktoba 29, 2025 kwa lengo la kuharibu uchaguzi mkuu ili wasipatikane viongozi na kutoa nafasi ya maandamano ya kudai viongozi wapya kwa maandamano. Akiongea na wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaam, Dkt. Nchemba...
  6. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Tusijifiche kwenye kichaka cha HAKI bila WAJIBU

    Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba, leo Desemba 29, 2025, akiwa Bunju B jijini Dar es Salaam, amefafanua mjadala unaoendelea mitandaoni kuhusu HAKI na AMANI. Amesema kuwa HAKI ni jambo muhimu na linatambuliwa na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hata hivyo haki haiwezi kutenganishwa na...
  7. McLaren

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 ‘Mmiliki’ wa mabasi ya Esther: Kampuni imehusishwa kimakosa na wanasiasa. Walivamia na kuchukua fedha, tulipata hasara ya Bilioni 2.1

    Mtu mmoja aliyejitambulisha kama mmiliki wa magari ya Esther Joseph Didas Ngelewiya akiongea na wanahabari hivi karibuni alisema: “Mimi ndiye mmiliki wa mabasi ya Esther Luxury Coach, hivi karibuni kampuni yangu imehusishwa kimakosa na baadhi ya viongozi wakuu wa kisiasa hapa nchini kwa madai...
  8. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya Waziri mkuu haipaswi kuwa na kiongozi kama Mwigulu Nchemba. Watu namna ya Sokoine au Majaliwa

    Msimamizi mkuu wa shughuli za serikali anapoongea watu wanatakiwa waogope na anapotoa maagizo watu lazima waone kweli lazima yatekekelezwe. Angalia ziara za Mwigulu Nchemba ni kama vile anafanya maigizo na sio tena kusimamia na kutoa amri shughuli za serikali zitekelezwe Namna Kasimu...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye Waziri Mkuu wetu, msikilize

    Tumepatwa na jua! Msikilize na toa maoni
  10. kingphisher

    JamiiForums Tanzania Mwigulu amekuwa na wimbo mkuu wa URANIUM. Mbona maisha yetu hayaendani na utajiri wa rasilimali?

    Kila kukicha waziri mkuu amekuwa na wimbo mkuu wa " wanataka madini ya nchi yetu". Sasa kama nchi ina URANIUM, Lakini mbona maisha ya watanzania hayaendani na rasilimali zilizopo? Au hizi rasilimali wanaoziona ni serikali tu. Mbona maisha yetu hayaendani na "utajiri" wa rasilimali ambazo kila...
  11. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwigulu Nchemba: Aliyehamasisha vurugu za Oktoba 29 amekiri kuna taifa limemsaidia

    “na wale wanaotukana tukana wa yale mataifa wanaotukana mimi niwaambie tunasoma wanachokiandika, tunasoma wanachotukana na yule aliyehamasisha maandamano amekiri kwa mdomo wake kwamba kuna taifa moja limetusaidia…”-Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba.
  12. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwigulu Nchemba: Msanii kuimba kwenye kampeni za CCM ni ajira yake

    Waziri Mkuu Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, emewashangaa wanaharati wanaohimiza watanzania kuacha kusikiliza nyimbo na kuhudhuria matamasha yanayowahusisha wasanii wa Tanzania kwakuwa waliiunga mkono CCM Kwenye kampeni za uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025. Akizungukza na wa wakazi wa Tunduma mkoani...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Waziri Mkuu, Mwigulu umeishiwa hoja, ziara zako zote unaongea vitu vilevile, wananchi siyo wajinga

    Sioni haja ya Waziri Mkuu kuendelea na ziara zako ikiwa kila unapokwenda unarudia mambo yale yale uliyoyaongea sehemu nyingine, kana kwamba wananchi ni wajinga wasioyajua mambo; hali hii ni kuendelea kutumia vibaya kodi za wananchi. Ishu ya huyo mwanaharakati aliyelipwa tangu ukiwa Arusha...
  14. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Waziri Mkuu Mwigulu: Mpango wa Bima ya Afya kwa wote kuanza Januari. Hakuna kushikilia maiti

    waziri mkuu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania, Mwigulu Lameck Nchemba, amesema kuwa mpango wa bima ya afya kwa wote unatarajiwa kuzinduliwa kuanzia mwezi januari 2026, huku akizihimiza hospitali zote nchini kujiandaa kikamilifu kwa ajili ya utekelezaji wa mpango huo. Ameyasema hayo leo...
  15. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu Nchemba: Kama mkandarasi ametumia fedha kwingine kamata Passport yake

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Mwigulu Lameck Nchemba amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Brigedia Jenerali Ahmed Abbas Ahmed kumuita mkandarasi aliyekua anajenga barabara ya Kitai-Ruanda na kumtaka aendelee na ujenzi wa barabara hiyo kwa haraka kwani alishakabidhiwa malipo...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Jenista Mhagama alikuwa ni kiongozi anayehakikisha kazi anazofanya zinakuwa na matokeo

    Mheshimiwa Jenista Mhagama alikuwa ni kiongozi anayehakikisha kazi anazofanya zinakuwa na matokeo - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba. 📍Dodoma. 🗓️Desemba 11, 2025.
  17. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Waziri Mkuu: Watu wa majiji msichukue bidhaa za raia, Ndio Ofisi

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba ameagiza Halmashauri zote Nchini Majiji kutochukuwa bidhaa halali za Wananchi ambao ni wafanyabiashara wadogo wanaojitafutia riziki zao Barabarani kulingana na mitaji yao hata kama wakikutwa na makosa ushughulikiwe utaratibu tu! na sio kuua mitaji yao midogo...
  18. McLaren

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Prime Minister Mwigulu Nchemba: Citizens who will not have urgent matters on December 9, take the day off and stay at home

    The Prime Minister of the United Republic of Tanzania, Dr. Mwigulu Nchemba, has conveyed the greetings of the President of the United Republic of Tanzania, Dr. Samia Suluhu Hassan, to the people of Tanzania, marking the commemoration of Tanzania Mainland's Independence Day, which is celebrated...
  19. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba anapata wapi nguvu ya kusema watu walilipwa kuandamana wakati hayo yakifanyika yeye alikuwa ni Waziri wa Fedha?

    Hii nchi bwana ukisikia kesi ya mbuzi anashirikishwa mwizi wa mbuzi ndio sasa. MwiguLu alipokuwa waziri wa fedha kila pesa ilitaka ipitie kwake ila leo kawa waziri mkuu anasema walilipwa bilioni 5 vijana kabla ya maandamano na kijana mmoja ambaye tunga story. Tena waziri wa fedha mwenye sihihi...
  20. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wahadhiri wa Kiislam: Mwigulu Nchemba ameanza kupigwa fitina kwasababu siyo Mkatoliki

    Sheikh anasema kwasababu Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba siyo Mkatoliki zimeanza kuibuka fitina mbalimbali na kupigwa vita kutoka kwa Wakatoliki ili kumtoa kwenye reli
Back
Top Bottom