mwigulu nchemba

Mwigulu Nchemba
Mwigulu Lameck Nchemba Madelu ni mwanasiasa na mwanachama wa chama cha kisiasa nchini Tanzania, Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Mwigulu alikuwa Waziri wa Fedha na Mipango tangu 31 Machi 2021, mpaka July 2023 ambapo wizara hiyo ilivunjwa na kuwa wizara mbili yaani Wizara ya Fedha inayoongozwa na Mwigulu Nchemba na Wizara ya Mipango na Uwekezaji inayosimamiwa na Waziri Kitila Mkumbo.
  1. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba aongoza kikao cha Mawaziri kujadili masuala ya Muungano Zanzibar

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba ameongoza Kikao cha Mawaziri wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, kilichojadili masuala ya Muungano. Kikao hicho kimefanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Golden Tulip, Uwanja wa Ndege-Zanzibar leo Aprili...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Tasnia ya mazao ya bustani ni sekta ya kimkakati-Dkt. Mwigulu Nchemba

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kuwa tasnia ya mazao ya bustani siyo tu sehemu ya sekta ya kilimo, bali ni sekta ya kimkakati ya biashara ya kimataifa inayounganisha Tanzania na Masoko ya Dunia. Amesema kuwa kwa kutambua umuhimu huo, Serikali ya Tanzania imeendelea kutoa ruzuku ya...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Tuepuke migogoro na mizozo

    Asema kuna miradi inakwama utekelezaji sababu ya migawanyiko WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka viongozi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa waepuke migogoro na mizozo kwa sababu kuna miradi inakwama utekelezaji kutokana na migawanyiko. “Twendeni tukatimize wajibu wetu, tuache migawanyiko...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Huruma ya Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba kwa Mwenyekiti wa ALAT anayemaliza muda wake.

    Huruma ya Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba kwa Mwenyekiti wa ALAT anayemaliza muda wake.
  5. L

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Dkt Mwigulu Nchemba Kuna Uwezekano Ni Waziri Mkuu Wa Kwanza kukutana na Wananchi wengi zaidi ndani ya Muda Mfupi na kuwasikiliza kero zao

    Ndugu zangu Watanzania, Mpaka sasa na muda huu wananchi na wasomi mbalimbali Nchini wanaendelea kufanya Tathmini ,utafiti na kufuatilia ziara za Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba katika Mikoa mbalimbali Nchini. Ambapo Mpaka Sasa...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Rais aelekeza fedha za Muungano zikarabati miundombinu

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Rais, Samia Suluhu ameelekeza fedha zilizokuwa zimepangwa kugharamia maadhimisho ya Sherehe za Muungano mwaka huu, zitumike kukarabati miundombinu ya barabara iliyoharibiwa na mvua zinazoendelea kunyesha nchini. Ameyasema hayo, Jumatatu, Aprili 20...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kuhusu suala la Mwigulu Nchemba; Elimu ya msingi kuwa miaka kumi

    Kwa kawaida mtoto mpaka afike chuo kikuu na kuhitimu tyari anakuwa na umri wa miaka 25 na zaidi. SWALA hili la elimu ya msingi miaka kumi ni kuzeesha WATANZANIA madarasani na kupotezeana muda Imajeni mpaka mtoto amalize shule ya msingi miaka kumi ajiunge sekondari o'leval atoke hapo aende...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akiongoza Kikao cha Kazi cha Mawaziri na Makatibu Wakuu Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Ofisi ya Waziri Mkuu, Se

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akiongoza Kikao cha Kazi cha Mawaziri na Makatibu Wakuu Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, TAMISEMI na Wizara ya Elimu Sanyansi na Teknolojia kuhusu utekelezaji wa Elimu Msingi ya Lazima...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Vijana watumie vyeti vya chuo kama dhamana ya mikopo baada ya kuhitimu

    Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba, ameweka wazi mpango mpya wa Serikali unaolenga kutatua changamoto ya mitaji kwa vijana wanaohitimu masomo yao nchini. Akizungumzia hali ya upatikanaji wa mikopo, Nchemba amebainisha kuwa Serikali imeanza mchakato wa kuangalia uwezekano wa kijana kutumia cheti chake...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Taarifa za CAG pamoja na Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma zinaonesha kuwa changamoto - Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba

    Taarifa za ukaguzi za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali pamoja na Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma zinaonesha kuwa changamoto katika ununuzi wa umma siyo Sera, Sheria wala Kanuni, bali ni waliopewa dhamana ya kusimamia Sera, Sheria, Kanuni na Taratibu za Ununuzi-Waziri Mkuu...
  11. Etwege

    JamiiForums Tanzania Kila nikijitahidi nimuone Mwigulu Nchemba kama Waziri Mkuu nashindwa

    Kwa kweli Dk Mwigulu Lameck Nchemba anajitahidi sana ili ajae kwenye kiti cha uwaziri mkuu kupitia kusikiliza kero mbalimbali za wananchi wanyonge lakini moyo wangu bado umegoma kumuona kama waziri mkuu. Shida ya Mwigulu Nchemba ni kwamba ana sura mbili, sura ya kwanza ni ya utendaji na sura ya...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Uongozi ni kusikiliza: Somo kwa Dkt. Mwigulu Nchemba

    UONGOZI NI KUSIKILIZA: SOMO KUTOKA KWA DKT. MWIGULU NCHEMBA Katika siasa na utumishi wa umma, nguvu ya kiongozi mara nyingi hupimwa kwa uwezo wa kuzungumza na kuamua. Hata hivyo, kipimo cha juu zaidi ni uwezo wa kusikiliza ambacho mara nyingi hupuuzwa. Katika mazingira ya maombolezo, Waziri...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya Waziri Mkuu yaomba Tsh. Trilioni 12.5 mwaka 2026/2027

    Ofisi ya Waziri Mkuu na taasisi zilizo chini yake imeliomba Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuidhinisha jumla ya shilingi trilioni 12.5 kwa mwaka wa fedha 2026/2027. Hayo yameelezwa leo Aprili 1, 2026 na Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba wakati akiwasilisha hotuba ya bajeti ya ofisi...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Hadi Februari, 2026 ajira 625,275 zimezalishwa

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema hadi kufikia Februari, 2026, fursa za ajira 625,273 zimezalishwa Tanzania ambapo kati ya ajira zilizozalishwa, ajira 242,656 za wazawa zilitokana na vibali 12,549 vilivyotolewa kwa wageni. Mwigulu amesema hayo April 01, 2026 Bungeni Jijini Dodoma wakati...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Lukuvi atakumbukwa kwa mengi - Waziri Mkuu Nchemba

    WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) na Mbunge wa Isimani, Mheshimiwa William Lukuvi atakumbukwa kwa mengi na Watanzania kutokana na utumishi wake uliotukuka katika nafasi mbalimbali alizohudumu...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Bunge ladumu kwa dakika 15 kisha kuahirishwa. Kisa, Mwigulu kutokuwepo Bungeni

    Kikao cha kwanza cha mkutano wa tatu wa Bunge la 13 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kimeanza leo Machi 31, 2026, ambapo hata hivyo, kimedumu kwa dakika 15 pekee kisha kuahirishwa mpaka Aprili 1, 2026 saa 3:00 asubuhi. Sababu ya kuahirishwa ni kutokana na Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Coco Beach haiuzwi, ni ya Wananchi

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, ametoa ufafanuzi rasmi kuhusu hatma ya eneo la Coco Beach, akisisitiza kuwa halitauzwa kwa mwekezaji yeyote bali maboresho yatafanyika kwa manufaa ya wananchi waliopo katika eneo hilo. Amesema hayo leo, Machi 29, 2026, alipotembelea eneo la Coco Beach jijini...
  18. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Dk Mwigulu: Kwa kweli Lukuvi alikuwa ‘profesa’ wa utendaji wa kazi kwa ufanisi mkubwa

    Naona wanaendelea kutoa ya moyo! =========== Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Mwigulu Nchemba amesema aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Sera, Uratibu, Bunge na Walemavu, marehemu William Lukuvi, alikuwa kiongozi wa kipekee, akifanana na ‘profesa’ kutokana na utendaji...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Niliongea na Lukuvi jana tukapanga kikao

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema ameshtushwa na kifo cha aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu), William Lukuvi kwani walizungumza jana na kupanga mkutano.
  20. H

    JamiiForums Tanzania Salamu za Eid Kutoka kwa Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba

    EID MUBARAK Naungana na Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kuwatakia Waislamu na Watanzania wote Sikukuu njema ya Eid el-Fitri. Tuyaishi na kuyaendeleza mema yote tuliyojifunza katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani: upendo, huruma na kusaidiana, ili...
Back
Top Bottom