mwigulu nchemba

Mwigulu Nchemba
Mwigulu Lameck Nchemba Madelu ni mwanasiasa na mwanachama wa chama cha kisiasa nchini Tanzania, Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Mwigulu alikuwa Waziri wa Fedha na Mipango tangu 31 Machi 2021, mpaka July 2023 ambapo wizara hiyo ilivunjwa na kuwa wizara mbili yaani Wizara ya Fedha inayoongozwa na Mwigulu Nchemba na Wizara ya Mipango na Uwekezaji inayosimamiwa na Waziri Kitila Mkumbo.
  1. kassim035

    JamiiForums Tanzania Unadhani nini kifanyike ili utandawazi wa sayansi na teknolojia usieendelee kuharibu vijana waliokua kwenye foolish age?

    Unadhani nini kifanyike ili utandawazi wa sayansi na teknolojia usieendelee kuharibu vijana waliokua kwenye foolish age
  2. McLaren

    JamiiForums Tanzania Mwananchi: Kwanini magari ya Serikali, Mapolisi na Wanajeshi hayafuati sheria za barabarani? Au wako juu ya sheria?

    Wakuu, Kama unaishi Dar au Arusha alichokisema huyu dada ni kitu ambacho tunakutana nacho kila siku humu mababarani Nisiongee zaidi msikilizeni dada hapa Soma Pia: Wenye magari ya Serikali wanaowasha ving’ora wao ndio wanaharaka kuliko wengine kila siku? Alichokisema: "Hivi why no one...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Dkt Mwigulu Nchemba Aunguruma. Apiga Marufuku Na kutoa Maagizo ya Kukamatwa na kufuatiliwa viongozi Wanaojadili kuhusu Uchaguzi Wa 2030

    Ndugu zangu Watanzania, Waziri Mkuu wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba Mr CLEAN Amepiga Marufuku Na kutoa Maagizo Mazito kwelikweli ya kufuatiliwa na kukamatwa wale Viongozi Wote Ambao wamekaa maofisini na kwenye makundi ya Wasapu wakifanya kazi ya kujadili kuhusu Uchaguzi...
  4. Q

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Kimondo (KKKT): Kwanini Waziri Mkuu anafanya mikutano ya hadhara wakati kuna zuio

    Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Steven Kimondo, akiongea na waandishi wa habari jijini Mbeya jana, amehoji na kashangazwa na tangazo la kuzuia mikutano kwa vyama vya siasa wakati huo viongozi wa ngazi za juu wa serikali, akiwemo Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba...
  5. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba, Kauli zako zinahatarisha Usalama wa Nchi

    "Wamepanga kupiga Risasi Waandamanaji ili Waseme ni Serikali " Hiii Kauli haikupaswa kutolewa na Mtu wa aina yako kiuongozi hata km ni Serikali Haramu. Hii ni Kauli inayovua Nguo Vyombo vya Usalama na wakati huohuo kuweka Usalama wa NCHI hatarini.
  6. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba, Unavidhalilisha Vyombo vya Usalama,, inamana Vyombo vinashindwa Kuwakamata hao walopanga kupiga Risasi waandamanaji?

    Mwigulu hivi kweli wewe usomi wako ulitokana na Akili KICHWAN? Au baada ya kua Mwanaccm, ukafahaamika, Wakufunzi wako wakaamua kua wanakufaulisha na kukuuzia Ufaulu?. Matendo na Kauli zako mbona unazidiwa na Musukuma wa Darasa la Saba??. Au wee Jamaa una roho mbaya tu inayotokana na Hofu yako...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Wanataka kwenda kushambulia watu kwa risasi wasingizie Polisi, ili nchi ichafuke

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imegundua mipango ya uvunjifu wa amani inayopangwa, na inapochukua hatua wahamasishaji wanakuwa wakali wanatafuta pa kuegemea pamoja na kusingizia vyama vya siasa, huku akifafanua kuwa serikali haina ugomvi na vyama vya siasa. Akizungumza Julai...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Tumezuia mikutano ya siasa kuepusha watu wenye nia mbaya kurusha mabomu na kuua watu wengi

    Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba amesema hatua za kudhibiti mikusanyiko mikubwa zimechukuliwa baada ya taarifa za kiintelijensia kuonesha uwepo wa watu wenye nia mbaya ya kutumia mikutano hiyo kusababisha madhara makubwa, ikiwemo mashambulizi ya mabomu au ufyatuaji risasi. Kwa mujibu wake, baadhi...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu aanza ziara ya kikazi ya siku tano mkoani Mara

    WAZIRI MKUU AANZA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU TANO MKOANI MARA Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Seronera, wilayani Serengeti mkoani Mara, kuanza ziara ya kikazi ya siku tano mkoani humo. Katika ziara hiyo itakayofanyika kuanzia leo, Jumatano Julai 1 hadi Julai...
  10. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa TCD: Zuio la mikutano ya vyama vya siasa ni halali kwa sababu CHADEMA wanamsema vibaya Rais Samia na Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba!

    https://youtu.be/6J2JmIcz8jM?si=yQX0B9XISyGvqc9L Sasa Chawa wamefumka, wanaanza kujiropokea hovyo... Kusema ukweli, hawana hoja. Wako desperate kutetea maovu na uovu wao wakidhani wataokoka. Hawataki kukosolewa. Wanatoka tuwaze na tufikiri kama wanavofikiri wao, ujinga na upumbavu. HAIWEZEKANI...
  11. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Je, anatambua uzito wa dhamana ya madaraka yake kweli huyu? Na Je, hujipa nafasi ya kufikiri kwanza kabla ya kusema neno? Something is wrong with him!

    Ni sifa au dongo?👇👇👇 "...Natoa PONGEZI kwa Serikali kwa kugundua MIPANGO MIBAYA dhidi ya nchi yetu. Ili kuendelea KUIMARISHA USALAMA nchini, naiomba Serikali IWALIPE VIJANA FEDHA NYINGI ILI WASIANDAMANE. Nina UHAKIKA, vijana WAKILIPWA hata TZS 20,000 TU kwa kila mtu, HAKUNA KIJANA...
  12. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Mwigulu unazungumzia rasilimali gani ambazo una uchungu nazo kuzidi wananchi na Watanzania wote?

    Mwigulu amekua na propaganda ya kusema wanaotaka kuandamana wanatumiwa na nchi ambazo zinataka rasilimali zetu. Suala la kujiuliza rasilimali gani hizo ambazo nchi nyingine inazitaka? Waziri mkuu anaongea propaganda miaka nchi inapata Uhuru anaweza kuzitaja hizo nchi au waziri mkuu kutoa...
  13. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba acha uongo wewe!

    Wewe Mwigulu Nchemba ni muongo sana. Na inavyoelekea, kusema uongo ni asili yako [pathological liar]. Unadanganya kipumbavu sana. Na kufanya hivyo ni moja ya dalili za kuwa pathological liar. Unaropoka tu kuwa watu wamepewa hela waandamane. Hutoi ushahidi wowote ule. Ukibanwa kidogo tu...
  14. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Wamelipwa ili wawapeleke Vijana wa kitanzania Barabarani na Wameleta watu wa kuwapiga hao vijana ili ionekane ni serikali

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Juni 27, 2026 akizungumza na wananchi wa Ikungi, Mkoani Singida amesema Pia soma > Waziri Katambi apiga marufuku mikutano ya siasa kwa vyama vyote Kuna watu wanataka kuwatumia vijana wa Kitanzania kwa maslahi yao binafsi. Kama serikali ambayo tuna wajibu...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba Wilaya ya Ikungi, Singida

    Ni Singida Tena Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 📆 27 Juni, 2026. 🕰️4:00 Asubuhi
  16. M

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Wanaotumia group za WhatsApp kuchochea vurugu waje wenyewe wasitumie watoto wa Kitanzania kama chambo

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza bungeni leo Juni 26, 2026, amesema Mipango yote ya serikali ikiwe Dira ya Maendeleo pamoja na Bajeti Kuuu ya serikali kwa mwaka 2026/2027 ambayo imepitishwa na Bunge yote hayawezi kutekelezwa bila uwepo wa amani na usalama nchini. Ametoa wito kwa...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Dkt Mwigulu Nchemba Awa Mshauri wa Kanisa La Anglikana Tanzania Baada ya Kuridhishwa na Uchapakazi wake. Achangisha Zaidi ya Billion Moja.

    Ndugu zangu Watanzania, Waziri Mkuu wetu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba maarufu kama Mr Clean kama ambavyo watanzania wengi hupenda kumwita . Amepata na kupewa heshima ya kipekee kabisa ya kuwa Mshauri wa Kanisa la Anglikana Tanzania Baada ya...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Maveterani wa Vita vya Kagera kuanza kulipwa Pensheni zao

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema maveterani wa Vita ya Kagera wataanza kulipwa pensheni zao kuanzia mwaka wa fedha 2026/27, baada ya Serikali kukamilisha hatua zote za kisheria na uhakiki wa wanufaika. Akijibu maswali ya wabunge bungeni Juni 18, 2026, Mwigulu alisema Serikali ilitoa...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Unatibiwa Zanzibar ukiwa na NHIF, bila kujali upande wa Muungano

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kuwa yeyote mwenye kadi ya bima ya NHIF anaweza kupata matibabu Zanzibar katika hospitali zinazopokea bima ya ZHIF, na vivyo hivyo kwa Wazanzibari wanaokwenda Tanzania Bara. Amesisitiza kuwa kinachoangaliwa si mtu ametoka upande gani wa Muungano, bali ni...
  20. W

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Tumianeni maua Whatsapp, hizo hela wapeni wahitaji

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Mwigulu Nchemba amesema Serikali inaandaa mpango wakuhakikisha halmashauri zote nchini zinahusika kutoa mchango wa moja kwa moja wa kujikimu kwa walemavu wale ambao hawawezi kufanya kazi ili kujiingizia kipato Dkt Mwigulu ametoa kauli hiyo...
Back
Top Bottom