mwigulu nchemba

Mwigulu Nchemba
Mwigulu Lameck Nchemba Madelu ni mwanasiasa na mwanachama wa chama cha kisiasa nchini Tanzania, Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Mwigulu alikuwa Waziri wa Fedha na Mipango tangu 31 Machi 2021, mpaka July 2023 ambapo wizara hiyo ilivunjwa na kuwa wizara mbili yaani Wizara ya Fedha inayoongozwa na Mwigulu Nchemba na Wizara ya Mipango na Uwekezaji inayosimamiwa na Waziri Kitila Mkumbo.
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Tanzania haijauza Dhahabu, ni mambo ya Wanaharakati wanaotaka kutengeneza chuki na mizozo ndani ya nchi

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amekanusha vikali taarifa zinazosambaa kuwa serikali imeuza dhahabu inayohifadhiwa kama akiba ya taifa, akisisitiza kuwa mkakati uliopo ni kuongeza akiba hiyo na si kupunguza. Akiwasilisha majibu ya serikali mbele ya Bunge jijini Dodoma Juni 18, 2026, Mwigulu...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Sigrada: Waziri Mkuu anaenda kusikiliza Walioachana na Waume zao kweli?, Tuwe Serious!

    Sigrada Wilhem Mligo, Mbunge wa Viti Maalum wa Mkoa wa Njombe kupitia CHAUMMA, amehoji bungeni nafasi ya viongozi wakuu kushughulikia masuala madogo ambayo yanaweza kutatuliwa na viongozi wa ngazi nyingine. Akichangia bungeni, Sigrada amesema inashangaza kuona Waziri Mkuu akiacha majukumu...
  3. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Mwigulu na Watoto Wake (Joshua na Isack) Jukwaani, Je ni mkakati wa kulinda Legacy ya Kisiasa?

    Habari wakuu, Jana nimeona watoto wa Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba wakivutia mjadala mkubwa mtandaoni baada ya baba yao kuwapa nafasi ya kuzungumza jukwaani. Miongoni mwao, Isack tayari anafahamika kwa kuwa ameonekana mara kadhaa kwenye majukwaa ya kisiasa. Tangu tukio hilo, kumekuwa na maoni...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu aagiza bidhaa zilizochukuliwa kwa wafanyabiashara Shelui kurejeshwa mara moja

    WAZIRI MKUU AAGIZA BIDHAA ZILIZOCHUKULIWA KWA WAFANYABIASHARA SHELUI KUREJESHWA MARA MOJA Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba ameagiza bidhaa zilizochukuliwa kutoka kwa baadhi ya wafanyabiashara wadogo wa Tarafa ya Shelui, Wilaya ya Iramba mkoani Singida kurejeshwa mara moja na kuwataka watendaji...
  5. n00b

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Mwigulu amshukuru Samia kwa teuzi mbalimbali kwa baba yake ikiwemo kuwa Waziri Mkuu

    Wakuu, Mnazionaje siasa za Mwigulu Nchemba na familia yake? Wanatuonaje watanzania?
  6. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Nacheka ninapofuatilia ziara za Mwigulu Nchemba (PM), suala la mbuzi wa zawadi kupotea nalo litampa kick?

    Madelu hana ujanja wa kutengeneza mazingira au maigizo ili aonekane kama anakubalika. Kwa mantiki hii nakubaliana nae kuwa ukiacha mechi ya dabi ya simba na Yanga kinachofuata kufatiliwa ni ziara zake hii ni kwa sababu ni Comedy mwanzao mwisho.
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Msiseme mimi ni zaidi ya Magufuli, mnawatisha Watu!

    Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba kuhusu Wananchi kusema yeye ni zaidi ya Hayati Magufuli kwani inawatisha watu "...Yule dada anasema huyu ni zaidi ya Magufuli. Usiwatishe watu bwana, maana hivi tu wana..... Ametoa kauli hiyo Juni 5, 2026 wakati anazungumza na wakazi wa Isimani, Mkoani Iringa.
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Nchi bado iko salama dhidi ya mlipuko wa ugonjwa wa Ebola, Wananchi waendelea kuwa waangalifu

    Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba, amesema kuwa nchi bado iko salama dhidi ya mlipuko wa ugonjwa wa Ebola unaoripotiwa katika baadhi ya nchi za Afrika. Akijibu swali la Mbunge Asha Moto wakati wa kipindi cha Maswali ya Papo kwa Papo Bungeni Juni 4, 2026 Waziri Mkuu amesema serikali inaendelea...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwigulu: Uchaguzi umepita, watu wote wajikite kwenye kufanya kazi. Tusiwe nchi wanaowaza uchaguzi kila siku

    "Na sasa inageuza kwamba shughuli inakuwa uchaguzi badala ya shughuli zile ambazo zinafanywa na uongozi unaopatikana. Na kwa sababu hiyo, pana mantiki ya kuliangalia upya..." "Tuendelee kusimamia misingi hii kwamba uchaguzi umepita, watu wote wajikite kwenye kufanya kazi. Tusiwe na nchi na...
  10. Idugunde

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo: Rais amfute kazi Mwigulu Nchemba ameshindwa kutekeleza majukumu yake

    Act wazalendo wamedai kuwa Waziri mkuu ameshindwa kusimamia majukumu hasa usalama wa raia. Hii ni baada Bibi mzeee kulia mbele ya waziri mkuu kuwa mtoto wake ametekwa na polisi tangu Aprili 21 lakini hakupata msaada Au sababu wanaotekwa wanaigiza?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nimeona mama mmoja analia kwa uchungu mbele ya Mwigulu Nchemba kuwa mtoto wake alitekwa na polisi. Je haya ni maigizo yanayofanywa na Chadema?

    Mama huyu amelia kwa uchungu sana. Tena Waziri mkuu ameona kwa kauli yake kwa kusema kuwa wanaChadema wanajiteka akimaanisha hakuna utekaji. Mama amelia kwa uchungu sana maana anadai polisi walifika nyumbani wakijifanya wamachinga na kumteka mtoto wake tangia mwezi wa nne. My take; hata kama...
  12. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Hekaya za Idu: ziara za Waziri Mwigulu Nchemba zinatafakarisha sana. Ni kama taifa halina waziri mkuu na limepotea.

    Waziri mkuu kwa mujibu wa katiba JMT ndio msimamizi wa shuguli zote za serikali. Sasa Msimamizi wa shughuli za serikali anapokuwa namna hii taifa letu linaenda wapi? Limepotea na shughuli za serikali zimekwama. Huwezi kuwa waziri mkuu alafu unatatua kero za wanancho kisanii namna hii. Mfano...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Nani kawaambia madaraka niliyonayo ni madogo, ebu wasome Katiba wapumbavu hawa

    Nukuu ya Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, Jumamosi, Mei 23, 2026 alipozungumza na wananchi wa Manispaa ya Iringa katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Kichangani mkoani Iringa: “Wanaotumika kwenye ukibaraka, wanaohangaika na vyeo tusipotezeane muda, kwangu kubwa ni...
  14. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Bwana Mwigulu, Mchumi wa Makaratasi, uliyetembelea 'Uwezo wa Mzee Mpango", Acha Siasa za 1900, Unabwabwaja, Watanzania wa Sasa sio wa kuambiwa Upuuzi

    Yaan unajiita Mchumi, mara msomi, alafu kwenye Mkutano Unasema TUKIO la Lissu lilitengenezwa?? Yaan wewe unaona Watanzania ni Mazwazwa ? Au TU umeamua kuwatia Watanzania Hasira wachukie zaidi?. Niku challenge? Kwakua Ni TUKIO la kutengenezwa kwa Lengo la kuchafua Serikali, Toka 2017 Hadi...
  15. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba (PM) omba radhi kwa familia za watu waliopoteza ndugu zao. Azory Gwanda na wenzake waliopotea hadi hii leo Maigizo?

    Kauli yako imewachafua sana Watanganyika kwa ujumla. Nasema hivi sababu wazanzibar hawawezi kuchukia. Azory Gwanda na wengine wengi waliotekwa na kupotea ni maigizo ya kuichafua nchi yetu. Yule kijana mchoraji wa Mbeya yupo wapi? Mdude Nyagali yupo wapi? Soma Pia; Mwigulu: Kutekwa kwa Djumbe...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Kutekwa kwa Djumbe ni Michezo na haijaanza Jana

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema hayo Mei 23, 2026 wakati akizungumza na wananchi katika Viwanja vya Kichangani kwenye ziara yake ya kikazi ya siku mbili. "Tunagombanishwa mno. Watu wanapoteza muda hata wa kutafakari kila jambo, kwamba hili limetokeaje. Unakaa hivi, unasikia sister...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Nimekuja, Nitawashikisha adabu wote wasio na Adabu, tuache kushikilia Mali ya Mtu anayedaiwa

    Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba amesema serikali haitavumilia vitendo vya kushikilia mali na vitendea kazi vya wafanyabiashara, akisisitiza kuwa tabia hiyo inakwamisha uzalishaji na ukuaji wa uchumi. Amesema viongozi na watendaji wanapaswa kuacha mazoea ya kukamata mali za watu wanaodaiwa, kwa kuwa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu Mwigulu Nchemba jiuzulu kwa kuyachafua mataifa ya jirani hasa Kenya kuwa raia wake walikuja Tanzania kushiriki kupindua serikali ya CCM

    Wakili Maduhu anasema amekagua hati za mashitaka nchi nzima za watu walioshitakiwa kwa kuhusika na uhaini wa Oktoba 29 lakini hakuna hata raia kigeni aliyeshitakiwa. Wewe kama Waziri mkuu baada ya kuapishwa ulitamka kuwa kwenye maandamano hayo raia wa kigeni hasa Kenya walihusika na walikuwa...
  19. H

    JamiiForums Tanzania WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba akisalimiana na Rais wa Kenya Dkt. William Ruto wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa Ushirikiano kati ya Afrika

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba akisalimiana na Rais wa Kenya Dkt. William Ruto wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa Ushirikiano kati ya Afrika na Ufaransa (Africa Forward Summit: Africa-France Perternship for Innovation and Growth) unaofanyika jijini Nairobi Kenya, leo Mei 12...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Serikali itaendelea kusimamia sera, sheria na miongozo inayohusu afya na lishe

    Akizungumza Mei 7, 2026 Bungeni jijini Dodoma Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba alisema Serikali itaendelea kusimamia sera, sheria na miongozo inayohusu afya na lishe ili kuhakikisha elimu inayotolewa kwa wananchi inalinda usalama wa afya za Watanzania
Back
Top Bottom