mwigulu nchemba

Mwigulu Nchemba
Mwigulu Lameck Nchemba Madelu ni mwanasiasa na mwanachama wa chama cha kisiasa nchini Tanzania, Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Mwigulu alikuwa Waziri wa Fedha na Mipango tangu 31 Machi 2021, mpaka July 2023 ambapo wizara hiyo ilivunjwa na kuwa wizara mbili yaani Wizara ya Fedha inayoongozwa na Mwigulu Nchemba na Wizara ya Mipango na Uwekezaji inayosimamiwa na Waziri Kitila Mkumbo.
  1. McLaren

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kuna kitu sijaelewa. Mwaka 2020 Serikali ilitenga Bilioni 268 kugharamia Uchaguzi, mwaka huu wametenga Bilioni 741. Hili ongezeko ni la nini?

    Wakuu, Rasmi sasa Mwigulu Nchemba ametangaza kiasi cha pesa ambacho Serikali kitatumia kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2025 Mwigulu amesema kwamba kwa mwaka huu, Serikali imetenga Tshs Bilioni 741.5 kwa ajili ya Uchaguzi tu. Ikumbukwe kuwa mwaka 2020, Serikali ilitenga Tshs Bilioni 268 kwa ajili ya...
  2. McLaren

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Niwahakikishie hakuna maisha ya Mtanzania yatapotea kwa kuwa tu kumepungua fedha za misaada au wahisani kutoka nje

    Wakuu, Leo Mwigulu Nchemba amewahakikishia Watanzania kuwa hakuna Mtanzania atakayekufa kwa sababu baadhi ya nchi wahisani wamesitisha kuipa misaada Tanzania "Tunao uwezo wa kushirikiana na sekta binafsi tukazalisha dawa za Malaria, Kifua Kikuu. magonjwa mengineyo ndani ya nchi na jambo hili...
  3. McLaren

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Video: Inasikitisha kuona Waziri Mwigulu amegeuza wasilisho la Bajeti ya Serikali kama Jukwaa la Kampeni. Huu ni uchawa uliopitiliza!

    Wakuu, Hivi hili suala limekaaje wakuu? Yaani watanzania wenye itikadi za vyama mbalimbali wako kitako kusikiliza bajeti ya Serikali lakini humo humo Waziri Mwigulu anafanya uchawa kumsifia Rais na kumwambia watu wamachague kwenye Uchaguzi Mkuu Hili ni jukwaa la kampeni au wasilisho la...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Mataifa yaliyowahi kuingia kwenye mifarakano kwa kiasi kikubwa ilisababishwa na mizaha mizaha

    Waziri wa fedha wakati akiwasilisha bajeti ya taifa amewataka wananchi kuilinda amani na wasikubali mksingi ya taifa ikatikiswa kwani mataifa yaliyofanya mazaha na jambo hilo iliingia kwneye mifarakano.
  5. Kayabwe

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba anawasilisha Bajeti Kuu ya Serikali 2025/2026

    Naomba sana Mama yetu sisi walimu utumumbuke kwa kuongeza mishahara mwaka huu!Kumbuka mwaka juzi ulitupanga tu!Kumbuka mwaka huu tunafanya masmuzi kwenye box
  6. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mlio karibu na Mwigulu Nchemba mfikishieni ujumbe wake; Propaganda zake mfu aishie kuwalisha wasiojielewa huko UVCCM

    Leo jioni Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba amepost propaganda mfu wanazozitengeneza huko CCM kuwakebehi na kuwajengea picha mbaya Wanamageuzi wa kweli wa Tanzania Tundu Lissu na Godbless Lema eti wasiaminiwe kwa sababu familia zao zipo nje ya Tanzania. Napenda kutumia jukwaa hili kumwambia...
  7. Zemanda

    JamiiForums Tanzania Shilingi ya Tanzania inaporomoka, wachumi wetu mbona hamuongei chochote?

    Wachumi mbona mpo kimya na hamna maelezo? Waziri mwenye dhamana,nini kinaendelea katika uchumi wetu?
  8. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma mna kauli gani kuhusu tuhuma za Utajiri wa Mwigulu Nchemba?

    MOJA ya Jukumu kubwa la Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma ni kuchunguza Malalamiko au tuhuma zinazotolewa na wananchi dhidi ya kiongozi fulani wa umma, Mwigulu Nchemba amekuwa akituhumiwa na wananchi kuwa na ukwasi uliopitiliza huku wapi alikozitoa mali hizo ikibaki kuwa utata...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba: Dhidi ya Simba hata mtusifie hatuchezi mpaka mambo yetu yasikilizwe

    "Hata mkitusifia hatuchezi" Waziri wa fedha Mwigulu Nchemba ambaye pia ni shabiki wa Yanga SC "Kuhusu ile ya Simba hata mkitusifia hatuchezi hadi mambo yetu yasikilizwe.Unajua hawa jamaaa wanataka kuturudisha zile enzi za mpira kushona.Kwenye enzi hizo nayekuja na mpira hamruhusiwi kumkaba,na...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Dkt. Nchemba ahani msiba wa hayati Cleopa Msuya

    Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), amefika kuhani msiba wa aliyekuwa Makamu wa Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Waziri Mkuu Mstaafu, na ambaye pia aliwahi kuwa Waziri wa Fedha na Mipango (1973–1975) na Waziri wa Fedha na Uchumi (1986–1989), Hayati David...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba azishauri nchi zilizoendelea kurahisisha upatikanaji wa mikopo

    Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), ametoa rai kwa nchi zilizoendelea kupunguza gharama za mikopo na kutoa muda mrefu wa kulipa madeni ili kuziwezesha nchi zinazoendelea zikiwemo za Afrika kutekeleza miradi ya maendeleo itakayochochea ukuaji wa uchumi na maisha ya wananchi kwa...
  12. Doug Stamper

    JamiiForums Tanzania Dkt Mwigulu: Michezo itaanza kuhamasisha ulipaji wa kodi

    DODOMA - Waziri wa Fedha Dk Mwigulu Nchemba amesema wizara imetenga fungu katika Mamlaka ya Mapato Nchini (TRA) kwa ajili ya kuhamasisha elimu ya mlipa kodi akiwataka Simba kutumia fursa hiyo.
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba aipongeza klabu ya Simba bungeni na kuipigia debe

    Mwigulu Nchemba, Waziri wa Fedha aipongeza Klabu ya Simba bungeni; "Lakini tulisaini mkataba na federation, tutatumia ile, tutavitumia vilabu vya Simba na Yanga vina walipa kodi wengi wafuasi wengi ili viweze kusaidia kutoa elimu pamoja na michezo yote itumike katika kutoa masuala ya kuelimisha...
  14. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu Nchemba akiwa na maongezi na Wafaransa, kujenga viwanda vya madawa

    Natazama hapa Waziri Mwigulu Nchemba akiwa na maongezi na Wafaransa, ati kujenga viwanda vya madawa. Kwanza, Kuna kiwanda cha madawa ya kukuua vidudu vya mbu Kibaha. Kiwanda hiki kimejengwa kwa ushirikiano na nchi ya Cuba. Kiwanda vile vile kinazalisha dawa za binadamu. Serikali yenyewe...
  15. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu Nechemba aishukuru Italia kwa kuipa mkopo Tanzania kujenga SGR

    Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba ameishukuru Italia kwa kutoa dhamana ya mkopo wa kujenga Reli ya Kisasa (SGR), kipande cha Kwanza na cha pili kuanzia Dar es Salaam, Morogoro, Dodoma hadi Makutupora mkoani Singida, ambavyo ujenzi wake umekamilika na treni imeanza kutoa huduma kuanzia Dar es...
  16. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Picha: Baada ya kimya kingi, Freeman Mbowe aibukia kwenye msiba wa mkwe wa Mwigulu Nchemba

    Huyu akibanwa vizuri atatoa hadi kadi yake ya CCM. ================================ Mwenyekiti mstaafu wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe akisalimiana na kumpa pole Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba leo Jumanne Machi 25, 2025 kwa kufiwa na mkwe wake katika Kanisa la KKKT Usharika wa Boko jijini...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Klabu ya Singida Black Stars yamtangaza Dkt. Mwigulu Nchemba kuwa Mlezi wao

    Klabu ya Singida Black Stars imemtangaza Waziri wa Fedha na Mbunge wa Iramba Magharibi, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, kuwa mlezi wao rasmi. Awali, Dr. Mwigulu alikuwa akishiriki kama mdau wa kawaida kwa kutoa michango yake kusaidia timu hiyo, lakini sasa atakuwa na nafasi kubwa katika kuiunga...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mnahangaika sana na Speculations zenu ukweli ni kwamba Rais Samia hawezi ama kumbadilisha au kumtumbua Waziri wa Fedha Dk. Mwigulu Nchemba

    Na sababu Kubwa ninaijua Mimi na nadhani hata hapa JamiiForums nilishawahi kuisema. Fanyeni Kazi msipoteze muda.
  19. Doug Stamper

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Siasa chafu dhidi ya Mwigulu ni woga wa 2030

    Katika kila zama za siasa, kuna wanasiasa wachache wenye dira, msimamo, na rekodi safi ambao wanapopata umaarufu na kuwa tishio kwa wapinzani wao, huanza kushambuliwa kwa propaganda chafu, uvumi na hila ili kuwaharibia taswira yao kwa umma. Leo hii, Tanzania inashuhudia smear campaign ya wazi...
  20. G Sam

    JamiiForums Tanzania Harakati za Mwigulu Nchemba ni kama za hayati Edward Lowassa na mzee "Jumanne" kwenye urais

    Huyu jamaa ni waziri wa wizara nyeti ya fedha ila anafanya mambo ambayo hayaeleweki kabisa kwenye hizi mbio za kwenda ikulu mwaka 2030. Mara aage jimboni kuwa hatagombea tena mwaka 2030 bali anafikiria nafasi ya juu zaidi na anaweka na mrithi kabisa. Mara wachezaji wa timu yake B wapewe uraia...
Back
Top Bottom