mwezi

  1. JamiiForums Tanzania Diddy anaweza kuachiwa kati ya tar 8 mwezi wa 1 mwaka 2026

    Nyota ya Diddy inaonyesha nguvu kubwa sana ya uthibiti katika kila hali siku hizo so kwa makadilio Diddy anaweza kutoka Jela kati ya Tar 5 hadi tar 9 january na reccond zaidi Tar 8.
  2. JamiiForums Tanzania Lissu alishamaliza kazi yake tokea mwezi wa tano

    Hata serikali ikaamua kukaa naye tu hata mwaka hakuna shido. Maana sumu aliyoitema imeshaenea nchi nzima now yeye anapumzika tu kama bosi aliyeacha majukumu kwa wafanyakazi wake kisha yeye akasafiri. Tuombe mungu tu huu uchaguzi utaenda kumwaga damu za watu kama kutatumika nguvu bila akili...
  3. JamiiForums Tanzania Naliona giza baada ya mwezi wa 10

    Kinachoenda kutokea ni kama tumejifungia chumba kimoja na chui halafu tunatumia vibaya risasi zinaelekea kuisha halafu chui bado hajafa, last bullet Yani kuanzia hapo mwezi wa11 katikat mambo yatakua magumu sana kama tutashindwa kummaliza maana chui aliejeruhiwa nae atataka kuwakomesha...
  4. JamiiForums Tanzania Ushawahi kufiwa na watu au mtu ambae ulimpenda sana kiasi ya kwamba haiwezi kupita siku, week au mwezi bila kumuwaza au kumuota?

    Niaje waungwana Ni nature kwa kila binadam kufa au kufiwa. Nikimaanisha kuwa kila mwana JF anaesoma, na asiesoma thread hii including myself tutakufa, tutafiwa au pengine tayari wengine tumeshafiwa. Sasa kwa wale ambao tumeshawahi kufiwa na wapendwa wetu mfano mzazi, mke, mume, mtoto, ndugu au...
  5. JamiiForums Tanzania Tukio la Kupatwa Kwa Mwezi Leo Septemba 7, 2025

    Habari Leo kuanzia mida ya jioni jua linapozama hadi saa 6 usiku tutashuhudia tukio la kupatwa kwa mwezi Ni vizuri kuwaonesha watoto wetu wawe wanapata uzoefu wa matukio haya Itawasaidia hata wanapokuwa wakifundishwa kujua ni kitu gani wanafundishwa Walimu wametutumia nikaona sio vibaya kushare...
  6. JamiiForums Tanzania Kupata kwa mwezi kesho Jumapili Tanzania.

    Dr. Noorali Jiwaji mhadhiri wa Physics and Astronomy katika Open University of Tanzania anasema kesho kuanzia saa 6:28 pm,saa ya Magharibi ,watu wa Tanzania,hasa watu wa mwambao wataona kupatwa kwa mwezi. Mwezi utaingia giza. Total lunar eclipse. Now talking about eclipses,I noticed last time...
  7. JamiiForums Tanzania Lile jambo lililotabiriwa kutokea mwezi wa 07 na mwezi wa 08, nauliza bado halijatokea?

    Nauliza manabii wa Tz , including britanicca n.k walisema mwezi 07 na 08 litatokea jambo ? Tunasubiri bado au limeshatokea.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mashine ya miwa kuleta 100,000 kwa mwezi ikiwa imekodishwa

    Wananzengo habari za muda huu. Kuna mashine niliinunua miezi 4 iliyopita kwa sh.700,000. Sasa kuna mtu anasema nimpe aifanyie kazi kwa kuikodi ikiwa mtaji wa kila kitu na services zote ni zake. Anasema atatoa 100,000 kila mwezi ambayo sawa na sh 3300 kwa siku. Nimemwambia angalau iwe 5000 kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Kuna nini mshahara wa mwezi AUGUST?

    Watu kibao hawajapata mshahara wa mwezi AUGUST shida Nini? Kesho tarehe 25 na mmewazoesha watu tarehe 23 kulikoni?
  10. JamiiForums Tanzania Mshahara wa mwezi wa nane kitendawili

    Wakuu kuna madeni chungu nzima watu wamekopa ila mshahara wa mwezi huu August ni kitendawili, ofisi moja ila kuna wengine wamepata wengine bado. Mwenye majibu ya kutia moyo aje awafariji wasiopata mshahara adi sasa: maana hali ni tetee
  11. JamiiForums Tanzania Mshahara wa watumishi wa serikali mwezi huu August umetoka?

    Mshahara wa watumishi wa serikali mwezi huu umetoka?
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kagera: Walimu zaidi ya 80 Wilaya ya Ngara tuliohamishwa mwaka jana mwezi Mei hatujapewa hela za kujikimu. Hali ngumu

    HALI HIYO IMEPELEKEA BAADHI YA WALIMU KUKOSA FEDHA ZA KUJIKIMU NA KUPELEKEA KULALA MADARASANI KUTOKANA NA KUKOSA FEDHA ZA KODI. PIA WALIMU WENGI TUNANAISHI MBALI NA FAMILIA ZETU KWANI TULIKOSA FEDHA ZA KUSAFIRISHA FAMILIA NA MIZIGO YETU.
  13. JamiiForums Tanzania Sir Samwel: Naingiza kuanzia 5 - 50 Milion kupitia Forex

    Akiongea na East Africa huyu kijana anayeitwa Sir Samwel anasema anaingiza hadi Milioni 50 kutokana na Forex
  14. JamiiForums Tanzania DOKEZO Michango wangu wa NSSF mwezi wa 12 Mwaka 2022 & 2024 imetolewa japokuwa ililipwa

    Habari za muda huu wakuu, ni matumaini yangu kuwa mpo na afya na nguvu tele, na kama ni hivyo basi tumshukuru na kumtukuza Mungu wa mbinguni aliye hai. Moja kwa moja bila ya kupoteza muda niende kwenye mada yangu iliyonifanya niandike uzi huu. Suala hili huenda wengine wanalijua na wengine...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Chini ya Rais Samia kiasi cha fedha za mishahara kwa mwezi kimeongezeka kutoka TZS608bn mwaka 2020 hadi 856bn mwaka 2025

    Rais Samia ameongeza thamani ya mishahara kutoka shilingi bilioni 608.4 hadi bilioni 856 kwa kila mwezi, watumishi wa umma wote yamefikia shilingi trilioni 10.2 sawa na shilingi bilioni 856 kwa mwezi, hatua inayoonesha ongezeko linalochochewa na ajira mpya, nyongeza za mishahara na madaraja...
  16. JamiiForums Tanzania China kuanza kufundisha watoto masuala ya AI (Akili Mnemba) mwezi Septemba mwaka huu

    Wakuu, Kuanzia Septemba mwaka huu, Beijing, China itaanza kuwafundisha watoto wadogo kuanzia umri wa miaka sita masomo ya lazima ya Akili Bandia (AI) katika shule zote za msingi Shule zote jijini Beijing zitalazimika kutoa angalau masaa 8 ya ufundishaji wa AI kwa kila mwaka wa masomo, ama...
  17. JamiiForums Tanzania Mshahara wako wa mwezi una uwezo wa kukutana na mshahara wa mwezi mwingine ?

    Mshahara wako wa mwezi una uwezo wa kukutana na mshahara wa mwezi mwingine ?? Funguka
  18. JamiiForums Tanzania Ni kituko mtu anayeamini mwezi uliwahi kupasuka vipande viwili kisha ukajiunga tena kucheka muujiza wa gesi ya kupikia kujazwa kwa mdomo.

    Dini zote mbili kubwa huwa zinajitamba sana kwa miujiza mbalimbali, sasa kama unaamini miujiza inayosemakana kuwahi kutokea kwenye dini yako mfano mwezi kupasuka na kisha kujirudia tena au mtu kusafiri kwenda mbinguni na farasi kwa nini ushangae mtu kujaza gesi ya kupikia kwa kupuliza na mdomo?
  19. JamiiForums Tanzania Unabii wa mwezi Julai 2025 Tanzania na Duniani kwa ujumla

    Hello Shalom Najua kwasababu ya upofu walionao watu ni rahisi sana mtu anayeitwa nabii kuchukiwa. Hata kanisa linalojinasibu kuhubiri Injili siku ukiitwa nabii au ukijiita nabii tayari umeshatangaza vita. Hii ni kwasababu watu wengi wanapenda mavazi ya Kimungu na kufanya kazi za Mungu lakini...
  20. JamiiForums Tanzania Mwezi Mpya, Nafasi Mpya za Kuimarika!

    Anza kidogo, lakini anza kwa akili. Kila hatua unayochukua leo inaweza kubadilisha kesho ya mradi wako wa kuku. Usifuge kwa kubahatisha tena - Fuga App inakupa taarifa sahihi, ratiba za lishe, gharama, na kumbusho za chanjo ili kufuga kwa faida. → Mwezi huu, fanya uamuzi wa kukuza mradi wako...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…