mwezi

  1. JamiiForums Tanzania GE2020 Rais Magufuli anafanya makusudi kutokuidhibiti Corona ili waangalizi wa uchaguzi mkuu wasije nchini mwezi Oktoba

    Hatimaye siri tumeijua, kumbe analofanya Rais Magufuli la kuacha watanzania waishi kiholela na Corona analifanya kwa makusudi kabisa. Anadhamiria kuwashawishi waangalizi muhimu wa uchaguzi mkuu kutoka mataifa mbalimbali waisje nchini mwezi octoba. Hili limedhihirika hats huko kwenye baraza la...
  2. JamiiForums Tanzania Mchanganuo wa gharama nilizotumia na michepuko mwezi huu

    Twende wote Nauli Musoma- Mwanza 10,000x2 20,000 Boda 2,000 Gest 30,000x2 60,000 Villa kumwona Choki...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Shule na Shughuli zote kufunguliwa tarehe 29 Juni, 2020

    Rais ametangaza kwamba tarehe 29/06/2020 shule zote zifunguliwe. Amesema hali ya Corona nchini inaendelea vizuri na imepungua sana. Amesema shughuli nyingine zote kama kufunga ndoa nazo ziendelee na maisha lazima yarudi kama ilivyokuwa awali. Ameyasema hayo akihutubia wananchi kupitia kikao...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Suzan Kiwanga: Makato ya wabunge wa CHADEMA yako kikatiba na Spika Ndugai ameyabariki na hutukata sh 530,000 kila mwezi pale Bungeni

    Akiongea baada ya kuhojiwa na Takukuru mbunge wa Mlimba mh Suzan Kiwanga amesema makato ya wabunge wa Chadema yako wazi kwenye katiba ya chama na yamebarikiwa na Spika Ndugai. Kiwanga amesema kimsingi wabunge wa kuchaguliwa hukatwa na Spika Tsh 530,000 kila mwezi kutoka kwenye mshahara na posho...
  5. JamiiForums Tanzania Sudan: Omar Bashir alilipwa mshahara wa dola za kimarekani millioni 20 kwa mwezi (zaidi ya Shillingi bilioni 46 za kitanzania)

    Rais wa Sudan Kusini Omar Al-Bashir alikuwa akipokea mshahara wa kila mwezi wa dola milioni 20 sawa na shillingi bilioni 46 za kitanzania kutoka kwa vyanzo visivyojulikana, hii imebainishwa na kamati ya kupambana na ufisadi ya nchi hiyo. Mwenyekiti wa Kamati hiyo ya Kupambana na Rushwa na...
  6. JamiiForums Tanzania Mwezi wa saba, mwezi wa mateso, karaha, mauji , chuki kila baada ya miaka mitano

    Wana jamvi, Kila baada ya miaka mitano, mwezi wa vituko unaanza, tunaanza na mipango ya bajeti mpya ambayo hatujui atayeitumia ni nani? Au atayeisimamia ni nani, tukiwa kwenye ombwe LA uchaguzi ni shuhuda nyingi tutazipata baada ya kura za maoni, itatokea chuki kubwa kati ya wapenda madaraka na...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Tunaomba tufahamishwe gharama za matunzo ya ndege za ATCL za kila mwezi na hasara tuliyopata tangu zipaki kwa ajili ya matatizo ya Corona duniani

    Kwa wale wanaojua masuala ya uhandisi wa ndege pamoja na kuzitunza, wataelewa kwamba hakuna kitu chenye gharama kubwa kama kupaki ndege bila kuitumia. Unapokuwa na ndege ni lazima itumike karibu kila wakati. Gharama za kuitunza ndege iliyopaki ni kubwa sana. Tulikuwa na shamrashamra za kununua...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Trump aanza kuirudisha Marekani mahala pake, mwezi May aongeza ajira mpya 2.5M

    Ndio maana mimi sio muumini wa hizi zinaitwa projections au utabiri kutoka kwa wataalamu au wachambuzi wa utabiri sijui analysts projects this, projects that. Mimi hua nasema hizi ni sawa na usoma nyota na upiga ramli. Kwa mfano wanaoitwa wataalamu wa uchambuzi walitabiri Afrika tutakua na vifo...
  9. JamiiForums Tanzania Je, Mwezi unazunguka dunia kwa mwendo usiobadilika 'constant speed'? Inakuwaje tunakuwa na muda tofauti wa kupatwa kwa mwezi au jua?

    Wakuu habarini muda huu! Najua JamiiForums kuna watu wenye maarifa mengi ya kila aina, hivyo naombeni msaada wenu kunielewesha jambo hili Leo usiku hadi kuelekea kukucha kwa kesho kunatarajiwa kuwa na historia mpya kwenye hii dunia kuwa tukio la kupatwa kwa mwezi la leo litakuwa la muda mrefu...
  10. JamiiForums Tanzania Mwezi kupatwa mfifio kesho usiku Ijumaa Juni 05, 2020 - penumbral lunar eclipse

    Kesho Ijumaa usiku Mwezi utapatwa kififio siku ya tarehe 6 Juni sawa na ile iliyotokea mwanzoni wa mwaka huu Januari 10. Kiasi cha kufifia kwa mwanga wa Mwezi hakutakuwa kubwa safari hii kwa hiyo ifikapo saa 4:25 usiku Ijumaa hii, kama anga itwakuwa wazi bila mawingu tutaona tofauti kati ya...
  11. JamiiForums Tanzania Songwe: RC Brg. Jen. Mwangela, ametoa mwezi moja kwa DC wote Mkoani humo kuhakikisha kila mfanyabiashara mdogo ana Kitambulisho

    Songwe: Mkuu wa mkoa wa Songwe, Mhe. Brg. Jen. Nicodemus Mwangela ametoa mwezi moja kwa wakuu wa Wilaya Mkoani humo kuhakikisha kila mfanyabiashara mdodo anakuwa na kitambulisho cha mjasiriamali mdogo. Mkuu Wa Mkoa Wa Songwe ametoa agizo hilo alipokuwa anawakabidhi wakuu wa wilaya na...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Hivi Vyama vya Wafanyakazi pamoja na kuchukua michango kila mwezi vinakosa hata tovuti

    Niende kwenye mada kuna kijana kaniomba nimuelekeze wapi zilipo ofisi ya chama cha wafanyakazi kutokana na yeye kuwa na mgogoro na mwajili wake yaani TUCTA. Kwa kuwa ni mfanyakazi kwenye huduma za mahotel nilimweleza TUCTA ni muunganiko wa vyama vya wafanyakazi toka sekta tofauti ila yeye...
  13. D

    JamiiForums Tanzania WHO walitabiri hadi kufika katikati ya Mei maiti zitakuwa zinazagaa katika mitaa na vichochoro vyote katika Bara la Afrika kutokana na COVID-19

    Huo ulikuwa utabiri wa mke wa mzungu ambaye ni tajiri mkubwa dunia mama Melinda Getes ambapo utabiri wake ulipaliliwa na shirika la afya duniani WHO. Utabiri huo haukuishia hapo ulikwenda mbali zaidi kwa kusema kuwa ugonjwa wa Korona utaipiga Afrika barabara yaani thelusi 3 ya watu weusi...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Benki Kuu Kenya: 75% ya biashara ndogo na za kati zitafungwa hadi mwezi Juni

    BENKI KUU KENYA YASEMA 75% YA BIASHARA ZA NDOGO NA KATI ZITAKUFA Gavana wa Benki Kuu ya Kenya Zaidi ya 75% ya biashara ndogo na biashara za kati zipo hatarini kufungwa kutokana na ukosefu wa pesa Hii ni kutokana na shughuli kuzorota kutokana na kuwa na tishio la janga la #CoronaVirus Ukuaji...
  15. JamiiForums Tanzania Je, mwezi umeandama?

    Huku kwetu Kazuramimba bado haujaonekana, vipi maeneo ya kwako hapo umeonekana? ===== UPDATE
  16. JamiiForums Tanzania Kwa wale wanaofuata Saudia kwa muandamo wa mwezi

    Kila mtu na maamuzi yake, na una uhuru wa kufuata uonacho ni sahihi. Si BAKWATA WALA IMAN MEDIA, wote wana maslahi binafsi. Kwa wale wanao fuata Saudia. Eid Al-Fitr celebrations will begin in on Sunday May 24, according to authorities in Saudi Arabia. RIYADH: Eid Al-Fitr will begin on Sunday...
  17. JamiiForums Tanzania Vita vikubwa vya Badri, Jeshi la Waislamu. Ilikuwa siku ya Ijumaa mwezi wa Ramadhani 13th March/624 A.D

    .
  18. JamiiForums Tanzania Mwezi mwandamo, Zuhura, Utarid zote angani Magharibi

    Zuhura, Utarid na Mwezi hilali utaziona jirani angani upande wa magharibi karibu na upeo mara baada ya machweo. Picha inaoensha mpangilio wao kuanzia leo 21 Mei hadi Jumapili 24 Mei, zikibadilisha nafasi siku hadi siku. Siku ya Ijumaa 22 Mei sayari mbili, Zuhura (Venus) na Utarid (Mercury)...
  19. JamiiForums Tanzania Utafiti wa kutisha, waliokaa Lockdown kwa mwezi mmoja au zaidi hatarini kufariki hata kwa bakteria na fangasi baada ya kutoka nje, kinga zashuka!

    Mengi yanazidi kuibuka kuhusu sakata la Covid 19. Wataalam wa afya wanasema, kinga ya mwanadamu ni kitu endelevu, hivyo kinajiimarisha na kujiboresha siku hadi siku kulingana na jinsi mazingira yanavyobadilika. Wanasema jinsi binadamu anavyochangamana na wenzake kwa kugusana na kushikana mara...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Bakwata: Sikukuu ya Eid itakuwa tarehe 24 au 25 May, 2020 kutegemea mwandamo wa mwezi, hakutakuwa na Swala ya kitaifa wala Baraza

    Bakwata imetoa taarifa kwamba sikukuu ya Eid itakuwa ama siku ya Jumapili tarehe 24 may au siku ya Jumatatu tarehe 25 may kutegemea na mwandamo wa mwezi. Taarifa imesema ili kuepuka misongamano hapatakuwepo Swala ya Eid kitaifa na kila mtu atapaswa kuswali katika eneo la kwao. Kadhalika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…