mwezi

  1. JamiiForums Tanzania Umoja wa Mataifa (UN): Kumbukumbu ya Hayati Dkt. John Magufuli

    Salama Wana Mapinduzi wa JF? Ndugu zangu huko Duniani kwa sasa ni Viongozi wa Dunia wanavyomuenzi Mpendwa Wetu Hayati John Pombe Joseph Magufuli kwa kuelezea Uimara na Misimamo Yake thabiti katika Kuunganisha Taifa Letu na Mapinduzi Makubwa ya kiuchumi. Link hii hapa chini karibu tufatilie...
  2. JamiiForums Tanzania Dodoma: Rais Samia awatunuku Kamisheni Maofisa wa JWTZ

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan. Atawatunukia Kamisheni Maafisa wanafunzi wa Jeshi la Wananchi Tanzania. Viwanja vya Ikulu Chamwino Dodoma. Matangazo yataanza saa nane kamili mchana leo tarehe 17 Aprili 2021. ==== Dar es Salaam. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu...
  3. JamiiForums Tanzania Nigeria: Watu nane wakamatwa na Polisi kwa kosa la kula mchana mwezi wa Ramadhani

    Watu wanane wamekamatwa na polisi wa Kiislamu katika jimbo la kaskazini mwa Nigeria Kano kwa madai ya kukataa kufunga Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Polisi wa Hisbah wanasimamia sheria za Kiislam huko Kano – moja ya majimbo 12 ya Waislamu kaskazini mwa Nigeria wanaotumia mfumo wa sheria wa...
  4. JamiiForums Tanzania Magufulists wamebaki kutapatapa, hatutawasikia tena ifikapo mwezi Julai

    Mpo poah humu Waliaanza na mitano tena, wakaja aongoze milele, sasa mambo yamewachachia na hawana tumaini wamejikuta katika vijikundi kama vya team tembo na team chuii. Sasa wanajiita Magufulists. Kwa kweli wanatia huruma sana. Mitano ilishindikana, hata mwaka mmoja hakuumaliza, Aongoze milele...
  5. JamiiForums Tanzania Mwezi wa RAMADHANI ndio umefika ila please tuvumiliane

    Ni juzi tu 04.04.2021 Wakristo tulimaliza mfungo wa kwaresma Tokea Kwaresma inaanza hadi inaisha hatujawahi kuwapangia watu (dini yoyote) ni vitu gani wapost kwakuwa sisi tupo kwenye mfungo. So na sasa mambo yawe yale yale msianze kutupa masharti ya nini cha kupost kwenye mitandao ya kijamii...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mwezi wa Ramadhani umeingia Masheikh wako Jela

    Tunakwenda mwaka wa saba au nane, Masheikh wasio na hatia wako Jela. Waliwekwa ndani na Kikwete, Wakakandamizwa ndani na Magufuli, na Sasa Samia anakaribia Mwezi mmoja madarakani bado serikali yake imewaweka Jela. Siyo masheikh wa Uamsho tu, kuna mamia kwa mamia ya Masheikh nchi nzima wasio na...
  7. JamiiForums Tanzania Kheri na baraka za funga ya swaumu ya mwezi wa ramadhan 2021

    Kwa mujibu wa Mamlaka ya serikali ya Mfalme wa Saudi Arabia waislamu wa Saudi Arabia na nchi zinazofuata mwezi wa kimataifa wataanza kufunga swaumu kuanzia kesho tarehe 13/04/2021. Kwa mujibu wa mufti wa Tanzania, waislamu wataanza kufunga tarehe 14/04/2021. Nachukua fursa hii kuwatakia mfungo...
  8. JamiiForums Tanzania NASA kumpeleka mwanamke, mtu mweusi kwa mara ya kwanza mwezini kwa bajeti ya shilingi trilioni 55

    Baada ya kutangaza hapa awali kuwa itampeleka mwanamke mwezini kwa mara ya kwanza, Shirika la Marekani la Anga za Juu (NASA) sasa limesema kuwa itampeleka mwezini mtu mweusi katika Mpango wake wa Artemis. NASA imetoa pia ombi la bajeti yake itakayowezesha kumpeleka mwanadamu mwezini kwa mara ya...
  9. JamiiForums Tanzania Mchango wangu kwa Serikali kufikia lengo la Trilioni mbili kwa mwezi

    MCHANGO WANGU KWA SERIKALI KUFIKIA LENGO LA TRILIONI MBILI KILA MWEZI. Leo 12:15hrs 04/04/2021 Inafahamika kwamba kila siku duniani kote wafanyabiashara wanapanga mbinu za kila aina kuweza kukwepa kodi,ndio maana watu kama Ronaldo na Messi wamewahi kukamatwa na kushtakiwa kwa kukwepa kodi...
  10. JamiiForums Tanzania Kwa Mambo anayofanya Rais Samia Suluhu, ukiisha mwezi mmoja tutamsahau kabisa Hayati Magufuli

    Kwa Mambo anayoendelea kuyafanya Rais Samia Sasa hivi,mfano kutokutumia nguvu kukusanya Kodi,kupokea ripoti za CAG zisemazo ukweli,ukaguzi wa BoT na kadhalika. Hakika nakuambieni akiendelea hivi Hadi mwezi mmoja tu ukaisha, tutamsahau kabisa kabisa Hayati Magufuli kwani mama atakuwa amekonga...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Chato: Wananchi walilipia umeme wa REA tangia mwezi wa tisa lakini hadi sasa hajapewa umeme

    Wananjamvi-Mbunge Kalemani aliahamaisha sana watu kufanya wiring tayari kwa kuvuta umeme, Vijiji vya Bikaka na Nyakakarango tukafanya hivyo hadi tukaletewa Control namba ya kulipia umeme mnano mwezi wa tisa lakini hadi hivi sasa haujapata umeme. Je, huu waziri wa Nishati na Pia Mbuge sijui...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango: Nusu ya wabunge hawajalipwa mshahara wa mwezi Machi

    Waziri wa fedha Dr Mpango amesema nusu ya wabunge hawajalipwa mshahara wa mwezi March 2021. Ndugu Mpango amesema amekuwa akifuatilia huku na kule kuhakikisha wabunge wanalipwa. Kwa sasa Dkt. Mpango ameteuliwa kuwa makamu wa Rais. Kila zama na kitabu chake Maendeleo hayana vyama!
  13. J

    JamiiForums Tanzania Press za John John Mnyika mwezi huu zinafikirisha sana

    Wiki iliyopita Katibu mkuu wa CHADEMA J J Mnyika aliitisha kikao cha waandishi wa habari na kuhoji alipo Rais Magufuli na kama yupo salama. Waziri mkuu mh Majaliwa alijibu siku hiyo hiyo akiwa mkoani Njombe kikazi. Jana J J Mnyika alitangaza kikao kingine cha waandishi wa habari ambacho...
  14. JamiiForums Tanzania Bilionea wa Japan anatafuta watu 8 kwenda naye mwezini

    Hii ni bahati ya mtende kuota jangwani! Bilionea mmoja nchini Japan anatafuta watu 8 kutoka kote duniani watakaomsindikiza kwenda mwezini mwaka 2023 katika safari ya kibinafsi. Bilionea huyo, Yusaku Maezawa mwenye umri wa miaka 45 aliyejipatia utajiri wake kupitia fasheni mtandaoni, alitangazwa...
  15. JamiiForums Tanzania Kumbe wanaume nao wanapataga siku zao kwa mwezi 😱

    Sasa huwa mnazitumia vipi hizi pads? Na nyinyi pia huwa mnaumwa wakat wa siku zenu km tumbo au kiuno?
  16. JamiiForums Tanzania Heri ya wiki mpya na mwezi mpya

    Kumekucha. Ni siku mpya, wiki mpya na mwezi mpya. 1/3/21. Tuendelee kupambana huku tukilinda afya zetu katika nyakati hizi zenye changamoto lukuki za afya. Mungu abariki makusudio yetu. Amin.
  17. JamiiForums Tanzania Shule ya msingi kila mwezi tulipe pesa wapewe waalimu wasiokuwa na ajira ni sahihi?

    Wakuu Nina wadogo zangu watatu,nimejikaza niishi nao na niwasomeshe kwa kila hali ingawa sina kitu.lakini shule ya msingi waliyopo wazazi tuliambiwa waalimu ni wachache(sikuwepo kikaoni) Hivyo ikapangwa kila mwezi,kila mzazi alipie Tsh 1000 wameletwa waalimu ambao tuliambiwa hawajaajiriwa wawe...
  18. JamiiForums Tanzania ATCL kujigamba kuhudumia wateja 60,000 kwa mwezi ni failure. Ni wazi kuwa ndege nane zilinunuliwa kwa cash bila kufanya tathimini yakinifu

    Hivi kwa akili za kawaida unaweza kujisifia kuhudumia watu 60,000 kati ya watu mil 60? Na wewe ukatoka kifua mbele kuwa uko vizuri! Kwamba eti soko lako limekua? Hii ni aibu kubwa. Nilitegemea sababu hii nchi ipo uchumi wa kati basi mje na idadi ya watanzania mil 15 ambao wana uwezo wa kulipia...
  19. JamiiForums Tanzania Hawa mbwa hawana urafiki na mtu wasiyemfahamu. Ulinzi Shirikishi niliwakatalia baada ya kuwa naibiwa home then wanataka niwachangie mwisho wa mwezi

    Hawa mbwa nawapenda ni very strong. Imagije dume anafika kilo 80 asili yao ni South Africa. Kwa Makaburu huko Wanaitwa Boerboel. Hawa jamaa hawana woga kabisa. Na miaka ya nyuma walikuwa wakitumika mpaka kupambana na leopards au mbwa mwitu. Home ninao watatu na nlipata kutoka kwa rafiki yangu...
  20. JamiiForums Tanzania Marekani yaidhinisha Dawa ya VVU ya kutumika mara 1 kwa mwezi badala ya vidonge vya kila siku

    Idara ya Chakula na Dawa nchini Marekani (FDA), imeidhinisha dawa aina ya "Cabenuva" iliyoundwa dhidi ya virusi vya Ukosefu wa kinga ya mwili (VVU) kutumika mara moja kwa mwezi. Maafisa wa Marekani walitangaza kwamba idara hiyo ya FDA imeidhinisha dawa inayoitwa "Cabenuva", ambayo inaingizwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…