mwezi

  1. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Kalenda hii inaonesha kesho ni tarehe 32/10/2024

    Hii taasisi imetoa kalenda na kesho ni 32/10/2024 Nini maoni yako?
  2. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Ndani ya mwezi mmoja Hezbollah imechakaza vifaru zaidi ya 40 vya Israel

    🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨Hesbollah wameonesha uwezo wao katika uwanja wa vita kwa kuviwinda vifaru vya adui na kuviangamiza pamoja na wanamgambo waliomo ndani ya kifaru.......tupate taarifa zaidi:- ..⚠️ 𝐁𝐫𝐞𝐚𝐤𝐢𝐧𝐠 𝐍𝐞𝐰𝐬 ⚠️ 𝟰𝟬 𝗠𝗲𝗿𝗸𝗮𝘃𝗮 𝗧𝗮𝗻𝗸𝘀 𝗗𝗲𝘀𝘁𝗿𝗼𝘆𝗲𝗱 𝗯𝘆 𝗛𝗲𝘇𝗯𝗼𝗹𝗹𝗮𝗵… Hezbollah has announced the destruction of two...
  3. and 998 others

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gachagua hatapokea mshahara mwezi Oktoba

    Aliyekua Naibu Rais Gachagua Mwezi huu hatapokea mshahara, kama ilivyo kawaida Bali nae inabid ajiajiri kama vijana wengi wanavyohusiwa na wanasiasa.
  4. T

    JamiiForums Tanzania Hivi mshahara wa mwezi huu umetoka? Mbona kwangu bila bila?

    Wakuu hivi mshahara umetoka? Kwa wanaoutumia benk ya NMB mshahara umetoka? Au ndiyo nill wote kama mimi?
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu wa Serikali; zoezi la kutafasiri sheria zote kwa lugha ya Kiswahili kukamilika mwezi Novemba.

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali amesema kuwa zoezi lililo kuwa linaendelea la kuzitafasiri sheria mbalimbali kutoka lugha ya Kiingereza kwenda kwenye lugha ya Kiswahili zoezi hilo litakamilika Mwezi Novemba mwaka huu 2024. Sisi wananchi tunaipongeza Wizara ya Katiba kwa kazi nzuri inayo ifanya...
  6. Chukwu emeka

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Ubungo Kibangu tumewakosea nini DAWASA? Maji hayajatoka sasa ni Mwezi, Waziri wa Maji fuatilia hili jambo

    Hili jambo linalosikitisha sana,maji hayatoki zaidi ya mwezi sasa, wakazi wa eneo la Ubungo Kibangu tunanunua dumu la maji elf moja kwa fresh na yenye chumvi Tshs 200-500. Imekuwa ni kawaida kwa eneo hili kuwa na kero ya maji,mara nyingi yalikuwa yakitoka Jumamosi jioni au jumapili,muda...
  7. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Simba ikimfunga Yanga narusha humu picha bila nguo. Kuonesha ni aibu na impossible

    Simba ni kikundi cha wahuni wamekusanywa wakaamua wawe wanacheza pamoja. Hamna kitu kabisa pale. Haiwezekani wakamfunga Yanga. Nitapost picha bila nguo kabisa muone kuwa nimedhalilika sana kufungwa na wahuni wa Simba.
  8. bjhjhj

    JamiiForums Tanzania KERO Nimeomba clearence certificate polisi, mwezi wa nne sijapewa

    Nimeomba clearence certificate polisi ni takriban miezi minne mpaka sasa hivi sijapata.Hili jeshi letu itabidi lijitathmini aisee vitu vidogo kama hivi kweli vinachukua miezi kupatikana.
  9. njiwaji

    JamiiForums Tanzania Angalia leo usiku - Sayari Zohali kufichwa na Mwezi

    WATCH TONIGHT - Lunar Occultation - Moon will hide Saturn today October 14 from 8 pm to 9:30 pm ANGALIA LEO USIKU - Sayari Zohali kufichwa na Mwezi leo Oktoba 14 kuanzia saa 2 usiku hadi saa 9:30 English version is below the Kiswahili information Sayari Zohali kufichwa na Mwezi leo usiku...
  10. Paul dybala

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naona nimpe sunspension kama ya mwezi hivi

    Wakuu, poleni kwa kuwasumbua sana. Ni vile naipenda familia yangu na pia naipambania sana licha ya mwenzi wangu kutokuwa na shukrani. Huenda yote haya yanatokana na kuzoeana sana ndani ya nyumba, yaani ile hali ambapo ugomvi huanza, halafu anajua kuwa hata nikinuna, mwisho wake huwa ni mwepesi...
  11. DAVID PALMER

    JamiiForums Tanzania Matumizi yangu ya mwezi

    Nna familia ya watu wazima 3, (mimi, wife, beki 3 na watoto 2) Kula 15,000/siku - 450,000 Tv azam 35,000 Umeme 30,000 Maji dawasco 15000 Beki 3 - 50,000 Wazazi 80,000 Nauli job 4000/siku - 120,000 Ada 4m/mwaka = 330,000/mwezi Silipi kodi Total 1.1m Income 1.3m
  12. J

    JamiiForums Tanzania Muda wa kwenda chuo mwezi huu vitu gani vya msingi kwa mwaka wa kwanza kuwa navyo hasa kwa Kozi za Udaktari

    Na kuhusu vyuo vya udaktari Bora
  13. N

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimeuza nyumba, niliyemuuzia hataki kunimalizia fedha yangu mwezi wa nne huu, nikiuza tena kuna kosa?

    Wakuu, nilitangaza kuuza nyumba yangu na nikaletewa na dalali mteja. Mteja huyo akaomba kulipia nyumba hiyo kwa installment mara tatu. Awamu ya kwanza ilikuwa tarehe 23/12/2023. Awamu ya pili ilikuwa iwe mwezi wa tatu lakini alichelewa akanilipa mwezi wa tano. Na malipo ya mwisho alitakiwa...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Je, ni idadi gani ya watu waliowezesha mapato ya shilingi trillioni 3.1 kwa mwezi Septemba?

    Nawasalimu wote kwa jina la jamhuri ya Tanganyika. Awali ya yote naipongeza TRA kwa kuvunja rekodi ya ukusanyaji wa mapato kwa mwezi Septemba hadi kufikia Trillioni 3.1. Pia nilishtushwa na taarifa za idadi ya watanzania wanaolipa kodi kwamba ni milioni mbili tu. Hata hivyo ni jambo jema kwa...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta chumba na sebule maeneo ya upanga. Ofa laki mbili kwa mwezi

    Habari wadau. Nimehatika kupata kazi hospital ya muhimbili hivyo nahitaji chumba na sebule maeneo ya upanga ofa yangu ni laki mbili kwa mwezi
  16. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Maji Malamba Mawili hayajatoka kwa mwezi 1 sasa, shida nini?

    Tatizo la maji lilikuwepo kwa muda mrefu baadaye mwezi wa 6 yakarejea yakawa yanatoka kwa wiki mara moja, sasa ni mwezi na siku bila hata tone shida nini? DAWASA mbona mnapenda kutuvuruga akili, au mnafurahia yale magari yaliyoandikwa DAWASA yanavyotuuzia lita 1000 kwa 15000? Kibaya zaidi...
  17. Mad Max

    JamiiForums Tanzania EWURA watangaza bei za kikomo za Mafuta kwa Mwezi October: Mwezi wa Road trips!

    Wakuu, Naona mzigo unazido kushuka tu. Tukilinganisha na mwezi uliopita: Tuombee hivi hivi..
  18. TRA Tanzania

    JamiiForums Tanzania TRA yaweka Rekodi Mpya. Yakusanya Trilioni 7.79 kati ya Julai na Septemba 2024

  19. milele amina

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wastaafu ambao wamelipwa kiinua mgongo na PSSSF kuanzia mwezi July 2024 hadi September 2024 tukutana ofisi ya ccm Lumumba tar 4.10.2024

    Taarifa muhimu kwa wastaafu wote: Wastaafu ambao wamelipwa kiinua mgongo na PSSSF kuanzia mwezi Julai 2024 hadi Septemba 2024 wanakaribishwa kukutana ofisi ya CCM Lumumba tarehe 4 Oktoba 2024. Mkutano utafanyika kuanzia saa tatu asubuhi. Tafadhali hakikisha unahudhuria ili kupata taarifa...
  20. BigTall

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Wakazi wa Shamaliwa - Mwanza hatuna Huduma ya Maji zaidi ya Mwezi, Wanaoboresha Barabara wameharibu Mabomba

    Sisi wakazi wa Shamaliwa A na B wengi wetu hatuna huduma ya Maji kwa muda wa zaidi ya mwezi sasa kutokana na wahusika wanaotengeneza Barabara kwa nia ya kuboresha wameharibu mabomba na hivyo Mamlaka ya Maji kulazimika kukata maji. Wanachofanya wanaotengeneza Barabara ni jambo jema lakini sasa...
Back
Top Bottom