mwezi

  1. Natabiri kwa watu 21 kuinuka kiuchumi kabla mwezi huu haujaisha. Pokea kuinuka!

    Natabiri kwa watu 21 kuinuka kiuchumi kabla mwezi huu haujaisha. Pokea kuinuka!
  2. Ombi langu Kwa serikali kuzuia majaribio yanayofanywa kwenye mwezi na jua

    Wadau nimekuwa nikifikiria sana kuhusu majaribio yanayofanywa kwenye jua na mwezi. Hivi karibuni ndugu zetu India japo Wana matabaka makubwa sana ya matajiri na maskini lakini wameweza kufika kwenye mwezi Tena kwenye darkside of the moon ambako hakuna inchi umewahi fika. Media hasa za uingereza...
  3. G

    Hivi wanaotumia milioni 3+ kwa mwezi kumlea mtoto mchanga, hizo pesa wananunua nini ambacho akina sisi tunaotumia laki 1 kwa mwezi hatununui?

    Jamani milioni 3 ni pesa ndefu. Sasa inawezaje kuisha kwa malezi ya mwezi mmoja tu ya mtoto mchanga? Mshahara wa house girl, maziwa ya formula na pampas tu ndiyo vinamaliza milioni 3? Au kuna kipi kinapelekea hiyo gharama kufika au kuzidi hapo?
  4. Paul makonda apewe wizara ya maji mwezi mmoja tu

    Kuna watu hawapendi maneno mengi. Mchi inalalamika kukosekana maji. Cha ajabu Mh Rais anawachekea chekea wakina awesoambao uwezo umeishia pale alipo. Huyu jamaa kama ilivyo hata tabia za wake zake naye ndio alive ni msanii saniii sana anaweka usanii kwenye maisha ya watu. Akimuondoa mhalifu...
  5. Mwezi huu wa December peke yake nimeombwa hela na wanawake takriban 29

    Wengine nimewapiga block, Wengine nimewapotezea sipokei simu zao,wengine nawqoiga kiswahili. Hakuna niliyemuambia kuwa sina.na hakyna niliyenpa hata mia Mwanaume usiseme sina.utakuwa John Cena, Hivi wanawaje hudhani sisi tunaikotahela?
  6. M

    Idara ya Elimu kuanzia Julai, Agosti na Septemba 2024 aliyehusika na upandishaji wa madaraja kwa walimu aje atoe majibu

    Waziri wa utumishi na Tamisemi mnatakiwa kutoa majibu ni nani aliyehusika na hili. Umeajiriwa mwaka mmoja na mtumishi mwenzio mwingine umemtangulia lakini kilichotokea july-septemba kuna watumishi walipanda madaraja ya mishahara kwa lugha ya mserereko, waliobaki majibu yaliyotolewa na HR na TSC...
  7. Ushauri: Dada yupo kwenye ndoa miezi miwili sasa anaona ndoa kama utumwa

    Tumpe ushauri huyu dada
  8. Kumbe Rais anapewa Milioni 60 kila mwezi kufanyia chochote anachoona kinafaa? Utaratibu gani huu?

    Wakuu, Kumbe ukiachana na mshahara Rais wa JMT anapewa Milioni 60 nyingine kila mwezi kutoka kwenye kitu kinachotambulika kama MFUKO WA RAIS? Kwa mwaka hiyo ni Milioni 720. Kwa hiyo kwa mwaka Rais ana Milioni 720 ambazo atachagua atafanyia nini? Hii pesa yote inapita kwenye wizara gani? And...
  9. Zanzibar kwenye sikukuu ya Idd mwezi Aprili walilipwa mshahara tar 16. Huku Tanganyika Christmas mshahara hakuna

    Hivi inakuwaje waislamu walilipwa mapema ili wajiandae na sikukuu yao tar 16 Tu!! Ila ona huku mpaka leo kimya.. Tujikumbushe hapa Pia soma > Wafanyakazi wa Serikali Zanzibar wamelipwa tayari Mshahara wa Aprili 2023
  10. Pendekeza bei ya petrol n diesel Kwa mwezi January

    Nchi hii ni yetu sote. Lakin vile vile serikali itambue Dunia sasa ni Kijiji sababu ya utandawazi. Hapo kabla tuliambiwa Sana kuhusu kushika thamani Kwa sarafu ya Tanzania dhidi ya Dola ya Marekani kunavyopandisha bei za Mafuta. Hayawi hayawi sasa yamekuwa ,, Shilingi yetu inapanda thamani...
  11. M

    Mimi ni mgeni hapa, nikimaanisha nimejiunga na JF mwezi uliopita

    Naomba kufahamu ni nini nachotakiwa kufanya ili kuweza kupost posts nzuri hapa. Napenda kujiona kama mhamasishaji wa uongozi bora hasa kwenye ngazi za chini, nikimaanisha uongozi wa jumuia ndogo ndogo, uwakilishi wa nyumba kumi kumi nadhani hii ni kama mabalozi, uongozi wa mitaa, kata au...
  12. Ubongo wa mwanadamu na majira ya mwezi: Dhana ya mwezi mchanga ni kweli ipo ? Je, kuna mahusiano gani kati ya majira ya mwezi na uchizi/utahira ?

    Huwa najaribu kutengeneza heading fikirishi ili tujaribu kudadisi ukweli. Nilisikia watu wanaongea kwamba kuna uhusiano kati ya majira mbali mbali ya mwezi na akili/ubongo wa binadamu. Wengine wanasema kuna supernatural power ambayo ukikaa sehemu tulivu kama mlimani au sehemu yoyote tulivu...
  13. B

    Mpenzi/mke wako akishika mimba mwezi huu jiandae mwakani mwezi 8 kuitwa baba

    Tunaanza weekend salama.Poleni kwa mihangaiko wapambanaji wenzangu Ila ni muhimu kuepuka Mimba zisizotarajiwa.🤣👇
  14. Mwanaume Baki na chako mwezi December, ni kipindi cha kuwa single Kwa wanaume

    Nawapa mbinu ya kimafya, Hii mbinu sitarudia tena kuitoa Ukipuuza usije unalia January Kipindi hiki ndo washamba wanapata mademu na majukumu mapya na magumu Kipindi hiki ndo utalipa nauli za kwenda Moshi Kipindi hiki ndo utamnunulia viwalo Kipindi hiki Watoto wake wapo likizo laZima uwatoe...
  15. Q

    CCM haina Makamu Mwenyekiti kwa miezi sita sasa

    Tangu aliyekuwa makamu mwenyekiti wa CCM Abdulrahman Kinana atofautiane na Mwenyekiti wake na baadae kufukuzwa mwezi wa 7, hadi leo hakijapata mbadala wa kujaza nafasi hiyo. WanaCCM wengi wanahoji inakuwaje chama kikongwe kama hiki kikose mtu sahihi wa kumsaidia Mwenyekiti, wanahoji kwanini...
  16. Kuombana hela mwezi huu imekaa kikuda sanaa🤔🤔😂😂😁

    Kuombana hela mwezi huu imekaa kikuda sanaa🤔🤔😂😂😁
  17. Dar Es salaam: CG Mwenda , Desemba ni mwezi wa kuwashukuru walipakodi na kuwasikiliza

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema mwezi huuu wa Disemba ni mwezi wa kuwashukuru na kuwasikiliza walipakodi wote nchini. hayo yamebainishwa na Kamishna Mkuu wa Mamlaka hiyo Bw. Yusuph Juma Mwenda leo tarehe 11/12/2024 ofisini kwake jijini Dar es Salaam alipokutana na Umoja wa Mabenki...
  18. Kesi ya Mwalimu wa Shule ya Msingi Green Acres anayetuhumiwa kulawiti Mwanafunzi yaahirishwa Mwezi mzima, Hakimu apata udhuru

    Kesi Namba Cc 32444/24 inayomkabili Saleh Ayoub (39) Mkazi wa Salasala Jijini Dar es Salaam, Mwalimu wa Shule ya Msingi Green Acres iliyopo Mbezi-Africana anayedaiwa kumlawiti Mwanafunzi wake mwenye umri wa Miaka 11 imeshindwa kuendelea kutokana na Hakimu kupata hudhuru. Mara ya mwisho kesi...
  19. Vigezo gani kocha wa Azam kuwa kocha bora wa mwezi?

    Ni vigezo gani vimetumika kocha wa Azam kuwa kocha bora wa mwezi november na siyo kocha wa Simba? Mechi 3 za mwezi november Azam wameshinda mechi 3, Azam 1 Kagera Sugar 0 Azam 2 Singida Big Star 1 Yanga 0 Azam 1. Mechi za Simba Pamba 0 Simba 1 Simba 4 KMC 0 Mashujaa 0 Simba 1 Azam mechi 3...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…