Wakuu , ukimtoa super black pia hata yule jamaa katibu Mkuu kiongozi aliyekula mshahara wa mwezi mmoja . hakupewa fomu pale Bukoba.
Yote haya mtayapata kesho
Naanza kuwa na hofu na tabiri za Mchungaji au Nabii yule wa Arusha ambaye miezi michache iliyopita alitekwa na watu wasiojulikana kabla ya kukutwa porini akiwa ametendewa vibaya hadi makalio yalikuwa yanavuja damu.
Mchungaji huyo baada ya Waziri Mkuu kuahidi bungeni kuwa atagombea ubunge na...
Waliotaka kususa wanatafuta huruma ya kurejea.
Kamwe huruma hii isitolewe na kwa nguvu za Mwenyezi maanani uchaguzi utafanikiwa kwa amani na kazi itaendelea.
Habari!.
Fikisha kwa jamii.
Halmashauri ya wilaya ya Muleba imeamua kututapeli pesa zetu za kujikimu,tukiuliza tunapewa majibu ya kutoridhisha. Kwa Mujibu wa maelekezo ya Tamisemi ya Muongozo wa ulipaji wa ajira mpya mwaka 2024 ilibidi uwe hivi:-
Degree 170k *7
Diploma 150k*7
Certificate 100k*7...
Anonymous
Thread
afya
ajira
ajira mpya
habari
halmashauri
kagera
kujikimu
mkoa
mkoa wa kagera
mpya
muleba
mwezi
ndugu
pamoja
pesa
pesa za kujikimu
wenzake
wilaya
yangu
Bashiru Ally Kakurwa sijamuona akichukua Form
Na sioni Kama akiteuliwa tena kwa Sababu alipopewa nafasi ya kutawala kosa kubwa alilofanya alitumia nguvu kubwa kutengeneza maadui .
Je, atarudi Ubungo Maziwa na Udsm kuendelea kufundisha political science.
Ushauri, mitaala imebadika kwa hiyo...
PSSSF Tanzania tunaomba Maelezo kwanini baadhi ya wastaafu wa JWTZ mwanza hawajapata Mafao yao ya kila mwezi kwa mwezi june hadi leo ?
Moderator Active naomba kichwa cha habari kisome PSSSF.
Nakusihi ukipanda gari unaposafiri tanguliza jiwe kwenye gari kabla ya kupanda kafara kubwa zinatolowa kwa kasi mno mwezi huu hadi wa 10 mwishoni na kama huna ulazima wa kusafiri tulia nyumbani.
Asili huponya
Asili Ina sili.
Mazarau hasili hufa kikatili😂😂😂🏃🏽♂️🏃🏽♂️
Kwa nini tofauti na maandiko kutoka Mecca hakuna rekodi nyingine yoyote ya kihistoria duniani kwingine kote kuhusu binadamu mwingine yeyote kuwahi kushuhudia mwezi ukigawanyika vipande viwili kama ilivyoandika katika Surah Al-Qamar 54:1–2?
Hii ni kwa kuzingatia pia kwamba dunia ni sayari yenye...
Bila kubeza ubora wa idara za ki usalama za Rusia toka kipindi cha Coldwar, ikasemekana KGB ndo shirika tishio kwa intelengnce kwa kipindi icho ikafatiwa na wana wa malkia MI6 , CIA walikua wanapata taarifa kutoka kwao,
na japo kwa ishikiano wote ila bado walikua wana salimu amri kwa ubora wa...
Mimi kama mganguzi napenda tu kuweka mambo sawa! Mwezi huu ndio utakutana na wagonjwa wengi wenye sukari na presha ! Mwezi wa kujidhalilisha ndio huu ! Na Mimi Sasa nimefungua dirisha kuanzia Leo kutakuwa na huduma ya kuoga dawa kabla hujarudi jimboni na hujakutana na wajumbe wenye roho mbaya...
Katika dunia ya leo ya kidigitali, social proof ni kila kitu. Watu wanataka kuonekana wanafuatiliwa, na biashara nyingi zinahitaji followers ili kuwashawishi wateja wao. Hii ndiyo sababu kuu iliyoifanya biashara ya kuuza social media followers kuwa fursa halali, rahisi, na yenye faida kubwa —...
Hizi teams zina mambo ya kipuuzi sana lakini nashukuru YANGA MATAKWA YETU YOTE YALITIMIZWA ILI LEO TUIFUNGE SIMBA KWA UHAKIKA KABISA...
SIMBA HAWAWEZI ISHINDA YANGA HII AMBAYO INAPIGA MTU BAO 3,4,5,6 bila huruma kabisa.
Tupo Salama!
Wanasema ukipigana na adui mwenye nguvu usimshambulie kwa harakaharaka.
Usiende kwa Kasi Sana.
Kadiri unavyomshambulia kwa haraka adui mwenye nguvu kukuzidi ndivyo unavyojimaliza kwa upesi.
Adui mwenye nguvu hupigwa na kuangushwa polepole! Polepole kwa uhakika.
Polepole ni...
Hello,
Kama ushapata mafao ya kukosa kazi NSSF Kwa miezi mitatu.
NSSF Wana utaratibu wa kukulipa 33% ya mshahara Kwa miezi sita.
Je malipo ya Kila mwezi ulipwa tarehe zipi za mwezi?
Uchaguzi uliopita Karia aliweza kutwaa kiti cha urais kwa mara ya pili kwa kuengua wapinzani wote kisha yeye mwenyewe kubaki kugombea.
kwa mujibu wa Katiba ya TFF, Karia kashamaliza muda wake wa mihula miwili, hawezi kugombea tena.
Je ni nani atakuwa Rais mpya ?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.